Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Kwa nini Mkuu wa Mkoa, Wilaya au mtu yoyote yule apige viboko Mtanzania mwingine ? Nani anampa hiyo haki, kwa Sheria gani ? Waziri Kabudi tuokoe hapa kujua haki zetu, Mkuu wa Mkoa akinipiga kibogo niende wapi kushitaki ? Tafadhali Waziri Kabudi ongea na mshua, tunadhalilishwa sana na weusi wenzetu, Tanzania ukigusa mnyama wa Hifadhi unaenda Jela sasa iwje tunachapwa viboko hovyo?