duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BAK

    JamiiForums Tanzania Nchi nyingi duniani zimewazuia wasafiri toka India kuingia kwenye Nchi zao, Tanzania tunasubiri nini?

    Covid: India on UK travel red list as Covid crisis grows Coronavirus pandemic A medic tests a bus passenger in Jaipur, Rajasthan, India, on Thursday India has joined the UK's travel red list - effectively banning travel - as a deadly second wave of infections sweeps the country. British and...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Hili ni juma zima la vitabu duniani

    HILI NI JUMA ZIMA LA VITABU DUNIANI 5 ''Rajabu Ibrahim Kirama Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam'' Mwandishi: Mohamed Said Mchapaji: Readit Books Ltd Dar-es-Salaam Ukoo wa Rajabu Ibrahim Kirama wa Machame Nkuu umehifadhi kwanza kichwani historia ya wazee wao kwa simulizi kutoka kizazi...
  3. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Bondia mrembo zaidi duniani Laila Ali

    Bondia Laila Amaria Ali ni mtoto wa nane kati ya tisa wa Bondia Muhammad Ali, mwanadada huyu anatajwa kama ‘Bondia Mrembo zaidi Duniani’. Kwa sasa ameshastaafu mchezo huo wapili kwa kupendwa zaidi Tanzania baada ya Mpira wa miguu, akiwa ameanza mapambano mwaka 1999 mpaka 2007. Katika...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Duniani kuna mambo.

  5. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna foleni mbaya mida ya jioni zaidi ya hii ya Airport hapa duniani?

    Sikuwahi kudhani kama hapa duniani panaweza pakawa na sehemu yenye foleni ya kikatili namna hii, masaa mtu hujasogea??!!!!
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inajitahi sana lakini inafeli sana. Sasa Afrika, Ulaya na duniani watu wanakishangaa hicho chama

    Wakati ndani ya nchi wanasema wameonewa na kuibiwa kura kwa kupata mbunge mmoja wa kuchagulia kutoka wabunge mia na kenda awamu iliyopita na pia mgombea urais Tundu Lissu akiambulia kura chini ya asilimia kumi ya kura zote za urais. Hata hivyo baada ya aliyekuwa Rais wa Tanzania kufariki hayati...
  7. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Hakuna Serikali inayosimamia Katiba asilimia mia moja duniani

    Hakuna serikali inayosimamia Katiba yake kwa asilimia mia moja. Hakuna. Haijawahi kutokea na haitakuja kutokea. Kuna watu ambao kila siku ni kuikosoa serikali, yes ni haki yao. Hata wakikosoa mara trillion serikali haiwezi kufanya yote kwa kuwa serikali haiongozwi na Malaika. Binadamu ameumbiwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania CAG mstaafu Uttoh: Hakuna Shirika lolote la ndege duniani lililopata faida baada tu ya kuanzishwa, ATCL haijawahi kulipa Gawio Serikalini

    CAG mstaafu mh Uttoh amesema hakuna shirika la ndege lolote duniani lililowahi kupata faida katika miaka ya mwanzo ya operations zake. Kuhusu gawio mh Uttoh amesema dividend hutolewa baada ya biashara kupata faida na huamuliwa na bodi kiasi gani cha faida kigawiwe kama dividends. Uttoh amesema...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa mtandao wa 5G Afrika ni ishara ya uongozi wa China duniani kwenye enzi mpya

    Mwaka 2015, China ilitangaza kuwa itaongeza maendeleo ya dijitali kuwa sehemu ya miradi ya Ukanda Mmoja na njia moja. Hii ni njia moja ya kutosheleza mahitaji yanayoongezeka ya mtandao wa kasi ambao unategemewa na mamilioni ya biashara kila siku hasa kwenye nchi zinazoendelea. Tayari China...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona Soko la mbogamboga linaitwa jina la kiongozi mkubwa hapa duniani isipokuwa Dodoma

    Hata sielewi mwendazake Magufuli alifikiria nini? Maana yeye mwenyewe mwendazake Magufuli alipoombwa soko la mbogamboga la Morogoro liitwe jina lake akagoma kabisa akasema apewe chifu Kingalu Kimsingi sokoni ni pahala pa mambo ya kienyeji enyeji ukiona kiongizi mkubwa jina lake linabatizwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Kampala Uganda vyombo vya habari duniani ikiwemo TBC viko mubashara.

    Rais Samia Sukuhu Hassan amewasili Kampala nchini Uganda na kupoke!ewa na Rais Yoweri Museveni. Watu wote akiwemo Rais Samia wamevalia barakoa Tukio liko mubashara TBC!
  12. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

    Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi. Binafsi sijui hizo takwimu amezipata wapi za kua vichaa tu ndio wananunua ndege kwa pesa tasilimu ama cash...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo: Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati

    Akichangia katika mpango wa maendeleo wa Serikali bungeni amesema anashangaa watu wanavyohangaika na umeme wa maji na huku dunia ya sasa ni umeme wa gesi Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati. Mbunge wa Musoma Vijijini Profesa Sospeter Muhongo amesema...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kutokana na hali ya Covid 19 nchini Ujerumani

    Jana tarehe 7.4. 2021, Radio DW iliutangazia ulimwengu kwamba Ujerumani imepata maambukizi mapya ya Corona kwa kiwango kikubwa sana na wanajiandaa kusitisha baadhi ya shughuli ili kujikinga na maambukizi. Kutokana na taarifa hiyo, naomba mnisaidie kujibu maswali haya: (1) Je, Ujerumani...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mfuko wa PSSSF umefilisiwa na nani?

    Rais Samia amesema hajateua mkurugenzi mkuu mpya wa PSSSF ( Public Service Social Security Fund) na kumuacha yule yule aliyepo kwa sababu mfuko huo una hali mbaya kifedha hivyo anataka uchunguzi ufanyike kwanza. Naunga mkono hatua hii kwa 100% kuna jasho langu pale. Ukinizingua Nakuzingua!
  16. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Lugha ya kiswahili inaongelewa na watu wangapi duniani?

    Lugha ya kiswahili inaongelewa na watu wangapi duniani, ni ya ngapi kwa kuwa na waongeaji wengi?
  17. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Tunakuja Duniani tukiwa kamili; Kila kitu chetu kinakuwepo ndani yetu

    Uumbaji una mengi ambayo yanaonekana kama yamejificha ila ndivyo yalivyo na mengine ukiyaongea unaweza ukaonekana kama hayawani hivi lakini ndivyo ilivyo. Leo napenda kuonesha namna tunavyoingia Duniani tukiwa kamili. Ninaposema kamili namaanisha kuwa tunazaliwa tukiwa tayari tumeshakamilika...
  18. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu wa Nchi ya Ufini unavyolifanya Taifa hilo kuwa bora katika elimu Duniani; Tanzania inajifunza nini?

    Nchi ya Ufini (Finland) ni Nchi mojawapo kati ya Nchi zilizopo upande wa Kaskazini wa Ulaya inapakana na Sweden Norway na Russia. Nchi hii ina ukubwa wa kilomita a mraba 338,455 km². Inakadiriwa uwa na idadi ya watu milioni tano na laki tano (5.5 mill). Mji wake Mkuu unaitwa Finish Nchi...
  19. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna Covid za aina nyingi duniani? Na kwanini muda huu?

    Yawezekana kuna sababu kwanini kuna covid za aina nyingi ila mimi sijui, South Africa wana covid tafauti na iliopo duniani, Tanzania pia juzi kuna watu walikutwa na aina ingine ya covid! Kwa wale mnaolewewa hizi variants zinatoka wapi , na kwanini zimekuja muda huu pia mtueleze?
  20. 100 others

    JamiiForums Tanzania Afrika ingekuwa nchi, imagine wazo la mzee wetu Kwame Nkrumah lingefanikiwa, leo hii uchumi wa dunia tungekuwa tumeushikilia sisi

    Imagine Africa ingekuwa nchi, imagine wazo la mzee wetu Kwame Nkrumah lingefanikiwa, leo hii uchumi wa dunia tungekuwa tumeushikilia sisi, tungekuwa tishio kuliko China ilivyo kwa USA. Uwezo wetu kijeshi, sayansi,elimu na teknolojia ungekuwa tishio. Itazame USA kama nchi 50 ambazo hazina...
Back
Top Bottom