duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania JK alimleta Dangote, Rais Samia mlete Elon Musk, bilionea namba moja duniani ambaye mabilioni yanamchanganya na anayewaza kuwekeza Mars

    Utajili wa Dangote ni mkubwa Sana kwa Afrika. Kwa uwekezaji wake wa kiwanda kimoja tu Cha cement alifanikiwa Sana kuukuza uchumi na kupúnguza Bei ya cement na kuikuza sekta ya ujenzi Tanzania. Ila Kuna ili jini la sasaivi tajili lisiloshikika duniani Mtengenezaji wa gari la umeme Tesla na...
  2. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Fred Vunja Bei ateuliwa kuwa Mwenyekiti kamati ya Uchumi na fedha UVCCM Taifa

    Mfanyabishara Wa Nguo na Kijana Wa Kikinga Fredy Ngajiro Maarufu Kama Vunjabei ameteuliwa Kuwa M/kiti Wa Kamati Ya Fedha Ya Uvccm... Vijana Tafuteni Njuruku Hakuna Namna ---- Mfanyabiashara Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunjabei jana tarehe 23 May 2021 amepitishwa na Baraza kuu la UVCCM kuwa...
  3. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu mweusi anaifluence kubwa sana kwenye muziki duniani?

    Duniani leo karibu kila aina ya muziki utakuta watu weusi wana mkono wao. Kama hawakuanzisha basi walichangia pakubwa kuanzishwa kwake. Na sehemu kubwa ni wamarekani weusi. 1.Raggae, huu mziki ni kama ni wa watu weusi tu. Wameanzisha na wanauendeleza. 2. Jazz, huu wa watu weusi. 3. Hip hop...
  4. Upepo wa Pesa

    JamiiForums Tanzania Hakuna nchi iliyoendelea bila kuwekeza kwenye ELIMU BORA NA TEKNOLOJIA (Tatizo la LUKU, Wavaa miwani ya tinted mpo?)

    Wiki kadhaa niliposti uzi wa kulishauri jeshi (JWTZ) kuwekeza kwenye technolojia bahati nzuri kila mtu alitoa mawazo yake kuna walio kosoa kuna walio unga mkono nk nk!! Lakini leo acha niongelee hili kidogo! na nitapenda kuongea na hawa wavaa miwani myeusi (TISS) maana naamini kwenye nchi...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mitungi milioni 4 ya oksijeni yahitajika duniani kote kila siku kwa wagonjwa wa COVID-19

    Janga la ugonjwa wa Corona au COVID-19 limeongeza mara nne mahitaji ya kila siku ya hewa ya oksijeni kwa wagonjwa katika nchi za kipato cha chini na kati, amesema Philippe Duneton, Mkurugenzi wa UNITAID, ambalo ni shirika tanzu la shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO likiwa na...
  6. Shadow7

    JamiiForums Tanzania DJ Mkongwe duniani, Ray Cordeiro astaafu

    DJ wa miaka 96 huko Hong Kong ameandaa kipindi chake cha mwisho cha redio, baada ya zaidi ya miongo saba katika utangazaji. Ray Cordeiro aliwashukuru wasikilizaji wake alipomaliza kipindi chake ‘All The Way With Ray’ Jumamosi usiku. “Ndio hivyo. Asante sana kwa kuingia, kwaheri, asante kwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana lugha ya Kichina na nyingine duniani kunakuza utandawazi na maendeleo

    Kubadilishana lugha ya Kichina na nyingine duniani kunakuza utandawazi na maendeleo Na Ronald Mutie Utandawazi unavyozidi kukua ndivyo mahitaji ya kujifunza yanaongezeka kutoka kwa nchi moja hadi nyingine. Mojawapo ya vikwazo vya kujifunza hata hivyo imekuwa ni tofauti ya lugha na tamaduni...
  8. Mr pianoman

    JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari: Roketi ya Kichina yapoteza muelekeo na mawasiliano angani. Muda wowote kuanguka Duniani

    Siku ya Alhamisi iliyopita China imetuma rocket kubwa kuliko zote angani lakini pasina kujulikana sababu imetoka katika control yao na mpaka sasa haijulikani iko wapi? Ina uzito wa tani 21 na urefu wa futi 100 na upana wa futi 16. Ripoti za wataalamu wa anga zinasema roket hiyo itafika kwenye...
  9. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Hii ya CCM kuwa inawafagia watendaji wake wote bila kujali mafanikio yao inaweza kuwa Taasisi ya kwanza kwa ubora Duniani

    CCM Ina mfumo imara yeyote aingiapo hapo huheshimiwa kwa uwezo wa Chama Mafanikio haya ya CCM yamejidhihirisha kwenye changamoto kubwa iliyoikuta nchi yetu baada ya kuondewa na JPM nchi imeendelea kubaki salama hili limesababishwa na mfumo wa Chama kuwa imara CCM inaamini kwenye mfumo...
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Wanaanga Wanne Watua Duniani Baada ya Siku 167 Angani..

    Sisi tuendelee kupambana na waliokufa wakati wenzetu masaa machache yaliyopita wameshuka kutoka kwenye chombo cha Anga za mbali cha ISS. Najisikia hatia kila ninapofuatilia habari kama hizi na kurudisha akili kwa hizi nchi za kiafrika, baya zaidi nikiamtazama jamaa flani kwa mambo anayofanya...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tamko la Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora(THBUB) wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, 2021

    TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA Kitalu Na. 339, Mtaa wa Nyerere - Kilimani S.L.P 4019, DODOMA Simu: +255 734 047 775; 734 119 978 Barua Pepe: info@chragg.go.tz Tovuti: www.chragg.go.tz Mei 3, 2021 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Tamko la THBUB wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Uhuru...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Balozi wa Marekani Donald Wright Katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani

    Kwa takriban miaka 30, tarehe 3 Mei ya kila mwaka, dunia imekuwa ikiadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani. Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani inatupa fursa ya kuenzi nafasi na wajibu muhimu wa vyombo huru vya habari katika kimarishaa na kuhifadhi jamii zilizo huru na...
  13. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Kutana na DEEJAY(dj) maarufu Duniani anayetumia Simu ku mix Muziki na matangazo

  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kahawa ya TANZANIA yaongoza kwa ubora duniani, kahawa ya Kenya yawa ya kumi

  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kila mtoto duniani lazima afanane na baba yake.

    Huu ndio ukweli. Uzae mtoto wa kiume au wa kike lazima atafanana na wewe baba yake. Baba yetu ana watoto karibu 20, na wote kafanana nao kwa sehemu fulani bila kujali jinsia zao. Mungu ameamua kufanya hivi ili kumpa baba imani zaidi au uhakika na uhalali wa mtoto wake. Huwezi kuwa na doubt juu...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huenda Mwenyezi Mungu sasa katuchoka Wanaume na ameamua kuwainua Wanawake katika nyadhifa kubwa za kiuongozi Duniani ili tujifunze kwao

    Huko Marekani kwa mara ya Kwanza katika Historia yao Makamu wa Rais wa sasa ni Mwanamke Kamala Harris. Nchini Tanzania kwa sasa na haikuwahi kutokea Rais wa nchi ni Mwanamke Mama Samia Hassan. Huko nchini Kenya pia katika Historia yao kwa mara ya Kwanza leo imempata Jaji Mkuu Mwanamke Martha...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya ‘Surnames’ ni kitu kipya duniani. Uliletwa kubaini waliokataa kulipa kodi

    Matumizi ya SURNAMES Ni kitu kipya duniani na kilianza kutumika rasmi Mwaka 1066 baada ya Mapinduzi ya Norman Conquest. Hata kwenye vitabu vitakatifu Mtume Mohammad aliitwa kwa jina lake, hata Yesu aliitwa kwa jina hilo. Hata ilipotokea kuitwa YESU wa Nazareth, ilionesha mahali alipotokea na...
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuna sehemu takatifu duniani au ngonjera na ukoloni wa kijamii?

    Kwanza salamuni wana jamvi. Huwa siachi kujiuliza tena kwa kusononeka nisikiapo maeneo kama Jerusalem na Makka na mengine yakiitwa matakatifu kana kwamba dunia iliyobaki ni chafu. Huwa sipati jibu. Ajabu ya maajabu, sehemu tuambwazo ni takatifu ni majangwa yasiyo na uzuri wowote kuishi viumbe...
  19. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Umbali kutoka usawa wa bahari na tokeo la maisha ya viumbe na uhai

    Umbali kutoka usawa wa bahari una uhusiano mkubwa sana na maisha ya viumbe hai, nadharia mbalimbali zinaonesha asili ya viumbe engi kuwa na ukaribu na maji na hata viumbe wanaoishi kwenye maji. Kadiri umbali kutoka usawa wa bahari unavyoongezeka aina ya viumbe, mimea n.k hubadilika na uwezekano...
  20. Naton Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania World Bank 2021: Kenya yaongoza duniani kwa ufukara uliopitiliza

    Report mpya ya world bank inasema Kenya yaongoza katika nchi zenye ufukara wa kutisha, huku ikibainisha kwamba zaidi ya 50% ya wakenya wote wanaishi kwenye umaskini wa kutosha. Report inaenda mbele zaidi na kudai hata Zimbabwe ina hafueni ukilinganisha na aina ya ufukara unaopatikana Kenya...
Back
Top Bottom