World Bank 2021: Kenya yaongoza duniani kwa ufukara uliopitiliza

Naton Jr

JF-Expert Member
Oct 5, 2016
7,868
19,258
Report mpya ya world bank inasema Kenya yaongoza katika nchi zenye ufukara wa kutisha, huku ikibainisha kwamba zaidi ya 50% ya wakenya wote wanaishi kwenye umaskini wa kutosha.

Report inaenda mbele zaidi na kudai hata Zimbabwe ina hafueni ukilinganisha na aina ya ufukara unaopatikana Kenya, wakati huo huo Newport kutoka WB hiyo hiyo inadadavua katika kipindi cha corona zaidi ya wakenya million 4 wametupwa kwenye ufukara ambao awali hawakuwepo.

Screenshot_20210426-135605.png
Screenshot_20210426-135624.png
 
Report mpya ya world bank inasema Kenya yaongoza katika nchi zenye ufukara wa kutisha, huku ikibainisha kwamba zaidi ya 50% ya wakenya wote wanaishi kwenye umaskini wa kutosha.

Report inaenda mbele zaidi na kudai hata Zimbabwe ina hafueni ukilinganisha na aina ya ufukara unaopatikana Kenya, wakati huo huo Newport kutoka WB hiyo hiyo inadadavua katika kipindi cha corona zaidi ya wakenya million 4 wametupwa kwenye ufukara ambao awali hawakuwepo.

View attachment 1764693View attachment 1764694
Bado unadandia hii propaganda😂😂😂😂😂, pole pambana na hali yenyu bro., Hapa mtachukua mda kutoka, your brains ziko slow sana!
1612944186467.jpg
 
Back
Top Bottom