duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maleven

    Akili ya ajabu sana, ukimpenda mtu unamuona mzuri kuliko wote duniani

    Yani ukimuangalia humamlizi, kila kilichochake unakiona kizuri, unamuona ni mrembo kuliko wote, tatizo ni kua hizi hisia hazidumu kwa muda mrefu, i wish it could be that, life would be so wonderful.
  2. Prof Koboko

    Ujumbe kwa wadai katiba mpya wote: Hakuna njia rahisi ya kupata katiba duniani

    Katika hili naomba nieleweke kabisa kwamba katiba mpya si mali ya CHADEMA wala wanaharakati, ni mali ya watanzania wote wakiwemo wanachama wote wa CCM. Tusisikilize watu wachache wa taifa hili ambayo wanasema hakuna haja ya katiba sijui tusubiri kwanza. Niwaambie wote tunaopigania katiba mpya...
  3. GENTAMYCINE

    Je, duniani kote Mchezaji mahiri Siku ya Kuagwa na Klabu yake huanzia Benchi na kuishia Kumwagiwa tu Maji 'Vumbi' ya Kandoro?

    Kuna Waafrika wachache wanasababisha Waafrika wote tuonekane si tu Wapuuzi bali Washamba sana hapa duniani. Tuacheni Kukurupuka tunachekwa sana.
  4. M

    Tahadhari: Tusijiamini sana, mauaji ya Rais wa Haiti yanaweza kutokea kwa Wengine. Umakini uongezwe kwa Marais Duniani

    Chanzo kimoja kutoka huko nchini Haiti moja ya sababu ya Assassination hiyo ni Kitendo cha Rais huyo Kutengeneza Makundi kuanzia katika Chama chake, Idara yake ya Usalama wa Taifa, Jeshini na pia Kumuamini Mtu Mmoja ( Mstaafu ) ambaye alimchuuza ili auwawe ili Mtu aliyeandaliwa Kimkakati kwa...
  5. Yoda

    Bei ya mafuta ghafi ya petroli Julai 2021 yazidi kupaa duniani

    Pipa la mafuta ghafi ya petroli duniani limepanda kwa kiwango cha juu kabisa katika kipindi cha miaka 3 toka mwaka 2018 hadi kufikia $75 leo 2021 hii ikilinganishwa na $65 mwaka 2018. Inategemewa bei kuendelea kupanda hadi kufikia $85 kwa pipa. Hii ni habari mbaya kwa uchumi wa mataifa maskini...
  6. MkulimaAgriClinic

    Fahamu kuku ghali zaidi duniani

    Kuku Wa kabila la Dong tao ambao wanatambulika kwa kuwa na miguu minene ndiyo kuku ghali zaidi duniani.Kuku hawa huuzwa kwa bei hadi kufikia dola za marekani 2000. Wanapatikana kwa wingi nchini Vietnam. Awali kuku hawa, walitumika kama mapambo katika nyumba za kifalme, sasa hivi...
  7. Kasomi

    Watu wenye uwezo wa Ajabu Duniani

    JIONEE WATU WENYE UWEZO WA AJABU NA KUSHANGAZA Je, unafahamu kuwa watu wenye nguvu za ajabu kuliko uwezo halisi wa kibinadamu wapo? Ni kweli watu hao wapo na wengine wanaishi hadi sasa. Ni watu ambao wana vitu vya ajabu kama uwezo, nguvu na kuwa imara madhubuti. Wafuatao ni baadhi ya watu hao...
  8. A

    Mchele ndiyo nafaka inayoliwa zaidi duniani ikifuatiwa na ngano

    Mchele uligundulika miaka 15,000 iliyopita katika mabonde nchini ya milima huko China na Brazil. Mbegu za awali Brazil zilipotea wenyeji hawakuwa makini sana katika kilimo cha mpunga. Mchele ni nafaka iliyowatajirisha wafanyabiashara kwa miaka mingi. Miaka ya mwanzoni mchele ulikuwa ni...
  9. Deejay nasmile

    Je, wamjua Binadamu anayeongoza kufanya mema na binadamu anayeongoza kufanya mabaya duniani?

    Binadamu tumeumbiwa mapungufu na kila mmoja ana yake. Ila tumezidiana kwa kiwango fulani.. Kuna mwingine anapenda kula chakula kingi...ila hapendi kuona mtu kavimbiwa. Kuna mwingine anapenda muziki mzuri ila hawapendi wanamuziki. Kuna mwingne anapenda dini sana lakini hapendi kushiriki...
  10. K

    Rais, kivutio kikuu cha Wawejezaji Duniani ni utawala unaotabirika kisiasa na kisheria

    Naomba kumshauri Rais kwamba kwa mtazamo wangu Ni vigumu kupata wawekezaji walio serious kuja kuwekeza nchini kwa sababu nchi yetu haina mfumo mzuri wa kisheria na kikatiba. Haki Tanzania inapatikana kwa utashi wa Rais na si kwa kuzingatia misingi ya kisheria. Ni kweli anaweza anaweza kuvutia...
  11. Jidu La Mabambasi

    Hii inawezekana Tanzania tu, si mahali pengine popote duniani

    Picha hii inaonyesha ukomavu, mshikamano na umoja na amani katika nchi inayoitwa Tanzania, nchi Mungu ametutengea waja wake. Hakuna mahali Rais Mwanamke, Muislamu, amezungukwa na maaskofu, kama Malaika wa amani, na hata hakuna kabisa wale jamaa zetu wenye mitutu mkubwa, hawapo. Picha hii...
  12. MURUSI

    Aina za Uwekezaji wa Watanzania wengi hautupi nafasi kushindana huko Duniani

    Uwekezaji unao fanywa na asilimia kubwa ya sisi Watanzania haitupi kuweza kushindana huko Duniani na mataifa mengine. Tumekuwa na aina za uwekezaji ambazo sana ni kwa ajili ya Familia zetu na sio za kututambulisha Duniani au kusaidia nchi. Chukulia mfano Mji kama Kahama, Ule ni mji una Mgodi...
  13. L

    Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

    Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha Awe mkristo kiimani Awe either single, mgane au mtalaka...
  14. Sam Gidori

    Aharibu mali zenye thamani ya Tsh. Milioni 4 baada ya Mke kugoma kubaki nyumbani kusherehekea Siku ya Akina Baba Duniani

    Mwanaume mmoja kutoka Kijiji cha Gichugu Kaunti ya Kiriyanga nchini Kenya ameharibu mazao yanayokadiriwa kuwa na thamani ya Shilingi za Kenya 200,000 (sawa na Tsh. milioni 4.3 ) baada ya mke wake kukataa kubaki nyumbani kusherekea Siku ya Kina Baba Duniani. Kwa mujibu wa mashahidi, mwanaume...
  15. Sam Gidori

    Jiwe la Almasi la tatu kwa ukubwa duniani lachimbwa Botswana

    Jiwe kubwa la almasi ambalo ni la tatu kwa ukubwa duniani limepatikana nchini Botswana, katika machimbo ya dhahabu ya Jwaneng yanayotajwa kuwa yenye utajiri mkubwa zaidi wa almasi duniani. Jiwe hilo lenye ukubwa unaolingana na ngumi lina uzito wa karati 1,098. Thamani ya jiwe hilo inatarajiwa...
  16. Miss Zomboko

    Viwango vya migogoro kote duniani vimeongezeka tangu kuzuka kwa janga la virusi vya corona

    Viwango vya migogoro kote duniani vimeongezeka tangu kuzuka kwa janga la virusi vya corona. Hii ni kulingana na ripoti ya kila mwaka ya faharasi ya amani duniani iliyochapishwa Alhamisi na taasisi ya uchumi na amani. Ripoti hiyo, inayotathmini hali ya mwaka 2020, inaonyesha kwamba mizozo...
  17. Sky Eclat

    Tukiacha kutumia akili zetu tutaongeza umri wa kuishi duniani

  18. Samia atosha tukutane2030

    Utajiri wa 'ngende' (ushirikina) una masharti magumu kuliko utajiri wowote ule duniani

    Mambo vipi wazee! Aisee duniani kuna mambo sana. Ukienda gende yenyewe original kutafuta utajiri hakika utaupata endapo tu utazingatia masharti yao. Sharti lao kuu uwe na biashara, hili sharti halihitaji biashara kubwa. Hata biashara ya kuuza nyanya chungu poa tu, hata kuuza mishikaki ya mia...
  19. mama D

    Hivi ni kweli uke wenza unaweza kusaidia kupunguza zinaa duniani?

    Wanaume nyie ndio wa kutoa huduma zote kwetu na familia na mnaujua uzito wa mzigo mnaoubeba sawasawa. Hebu tusaidieni uzoefu na mawazo tusijeyaharibu mambo huku Wanawake kupendana buana
Back
Top Bottom