Reggae, ujumbe na swali kwa mabeberu watibuaji wa amani duniani.

Tumi Lambo

Member
Oct 21, 2021
63
27
Kuhusu mwimbo huu kiufupi.
😉
Elimu hata kuhesabu kuligunduliwa na Mwafrika mweusi, hata chuo kikuu cha kwanza duniani kilikuwa Mali, na Wayahudi wa kweli walioandika Biblia hasa agano la kale walikuwa Waafrika weusi kule Mashariki ya kati baada ya utumwa Misri. Kwa hiyo Waafrika na watu weusi mjisikie fahari na siyo vinginevyo na tofauti.

Hili ni swali na hoja kwa wale wanaojiita viongozi wa dunia kwa ajili ya dunia bora zaidi, kumbe ni kwa ajili ya uharibifu na ubomoaji wa nchi tajiri wa madini, ili kupora kirahisi mali zao kwa kutaifisha kwa kutumia nguvu na ubabe, na kujenga kwao.
✌️
n
❤


 
Back
Top Bottom