Kutolea mifano ligi yetu na Ligi 5 bora duniani ni kuoneana

herman joshua

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
1,962
3,189
Screenshot_20211027-215936_FlashScore.jpg

Katika pitapita zangu kwenye live score nkakutana na mechi za ligi kuu ya Congo league 1.
Nlichokutana nacho naona ni vichekeshi kuliko hata kwenye ligi yetu, kama inavyoonesha hapo katika msimamo, kunatimu ishacheza mechi saba nyingine ndo kwanza inamechi tatu.
Hizi ndo leveal zetu sasa mambo ya kuanza kutoleana mifano na ligi kuu mara ya uingereza or La liga ni kujionea sisi wenyewe wenzetu wanazaidi ya miaka 50 katika soka washakosea mara kibao mpaka sasa wamesimama, tunalakujifunza toka kwao ila tusitake kufanana nao hata kwa 70% taratibu tutaendelea jifunza na tutafika pale walipo.
 
Sawa lakini baada mpaka kufikia December hutoona viporo. Sisi hivi viporo vitadumu. Utakuta Kuna timu Ina mechi 18 nyingine Ina 13.
 
Back
Top Bottom