TANZIA Khalfani Seleman Kikwete ambaye ni kaka wa Rais mstaafu Kikwete afariki dunia

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Rais mstaafu Jakaya Kikwete anatangaza msiba wa kaka yake ndugu Khalifan Seleman Kikwete uliotokea leo asubuhi. Msiba upo Msasani kwa Rais huyo mstaafu.

--
TANZIA
Innalilahi Wainnaillaih Rajiuun. Nawajulisha taarifa ya Msiba mkubwa wa Kaka yetu Mkubwa Bwana Khalfani Selemani Kikwete aliyefariki asubuhi hii.Msiba upo Msasani Nyumbani kwa Mh. Rais Mstaafu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Taratibu za mazishi na mengineyo tutajulishana.

Ahsanteni sana.
Kwa Niaba ya Familia

Ridhiwani J. Kikwete (Mb)
 
TANZIA
Innalilahi Wainnaillaih Rajiuun. Nawajulisha taarifa ya Msiba mkubwa wa Kaka yetu Mkubwa Bwana Khalfani Selemani Kikwete aliyefariki asubuhi hii.Msiba upo Msasani Nyumbani kwa Mh.Rais Mstaafu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. Taratibu za mazishi na mengineyo tutajulishana.

Ahsanteni sana.
Kwa Niaba ya Familia

Ridhiwani J. Kikwete (Mb)
 
Back
Top Bottom