Watanzania bhana yaani kwa Benchi hili la Ufundi lenye Watu 'dhaifu' kama Shedrack Nsajigwa, Ivo Mapunda na Nadir Haroub mliamini Kombe la Dunia mpo?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
6,803
2,000
Watajwa wote hapa juu hawana Mafanikio ya Kujivunia na Wachezaji kuifunza kutoka Kwao cha Kushangaza eti na Wao ni sehemu ya Benchi la Ufundi la Taifa Stars kwanini Congo DR wasiupige mwingi na Kutufunga Goli Tatu nzuri.
 
Mwambwaro

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
2,170
2,000
Nyie kabla ya match mlikuwa mnasema tunafuz tunakikos kizur tulipata sare kwao ila baada ya match mnaanza oooh Congo timu kubwa blaa blaa bench la ufund
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
16,269
2,000
Watajwa wote hapa juu hawana Mafanikio ya Kujivunia na Wachezaji kuifunza kutoka Kwao cha Kushangaza eti na Wao ni sehemu ya Benchi la Ufundi la Taifa Stars kwanini Congo DR wasiupige mwingi na Kutufunga Goli Tatu nzuri.
Hivi hii nchi haina mabeki wengine wa pembeni zaidi ya Shomari na Mohamed Hussein?
 
MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
6,803
2,000
Hivi hii nchi haina mabeki wengine wa pembeni zaidi ya Shomari na Mohamed Hussein?
Hivi ni nchi gani au Kocha gani duniani mwenye Akili timamu anaweza Kumpanga Beki Mbilikimo Dickson Job kucheza namba Nne na Beki anayetumia Nguvu na Upumbavu mwingi kuliko Akili kama Bakari Nondo Mwamnyeto kuwa Beki wa mwisho namba Tano?
 
Bukali

JF-Expert Member
May 7, 2018
1,208

Ulitaka awe nani?
 
Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
9,676
2,000
Hao jamaa mnawalaumu bure, hiyo timu hata kama ingepewa Guardiola, Klopp na Moyes wawe kwenye benchi la ufundi jointly lakini bado tu wangefungwa kwa sababu hatuna wachezaji wenye vipaji vya asili vya kusakata kabumbu. That's the fact.
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
18,330
2,000
Watajwa wote hapa juu hawana Mafanikio ya Kujivunia na Wachezaji kuifunza kutoka Kwao cha Kushangaza eti na Wao ni sehemu ya Benchi la Ufundi la Taifa Stars kwanini Congo DR wasiupige mwingi na Kutufunga Goli Tatu nzuri.

Wacha tumalizane na Sirro, Kingai, Mahita, Jumanne na Msemwa kwanza Qatar ina maana kama Taifa tu wamoja
 
tyc

JF-Expert Member
Feb 25, 2014
1,019
2,000
Hivi hii nchi haina mabeki wengine wa pembeni zaidi ya Shomari na Mohamed Hussein?

Hao wachezaji wana experience kubwa na wamefikia mafanikio ya kufika robo fainali CAFcl kwa misimu miwili.

Sasa ukisema hawafai basi tuambie ni kina nani walistahili hizo nafasi na wakaachwa..!???
 
tatamajuva

Member
Sep 11, 2019
65
125
Poulsen ameangushwa na bench la ufundi kwani mtu Kama shedrack nsajigwa. anaonekana akili za mpira Hana ila alikuwa anatumia maguvu tu, unawaacha watu Kama mwl wa cambiaso maxxime, kocha Serengeti QUeens,
Kim poulsen abaki na timu ya Taifa kwa muda mrefu ili atengeneze philosophy ya timu na awachague wasaidizi wake mwenyewe.
Kocha asiingiliwe kuchagua wachezaji kuunda timu ya Taifa.
Wizara ya utamaduni ,Sanaa na michezo ijenge academy Kila mkoa ili kukuza na kuibua vipaji
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom