Serikali ya Rais Samia kukusanya TZS 1.6BL ili kuchagiza Stars ifuzu kombe la dunia 2022 Qatar,

Ze Bulldozer

JF-Expert Member
Jun 12, 2020
730
500
BILIONI 1.6 KUCHAGIZA TAIFA STARS KUFUZU KOMBE LA DUNIA QATAR 2022

===
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania pamoja na wadau wa soka nchini kuungana kwa pamoja na kuhakikisha timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa Miguu (Taifa Stars) inafanya vizuri kwenye michezo yote iliyobaki ili kufuzu kushiriki kombe la Dunia litakalofanyika nchini Qatar 2022.
===
Ametoa wito huo leo (Alhamis, Novemba 4, 2021) wakati akiongoza Kikao cha pamoja cha wadau wa soka Nchini katika ukumbi wa uwanja wa Taifa wa Uhuru, jijini Dar es Salaam. Ambapo katika kikao hicho wadau wa Taifa Star wamechangia Shilingi Bilioni 1.6 ambazo zitatumika kuihudumia timu katika maandalizi ya mechi zilizobaki za kufuzu kombe la Dunia.
===
Akizungumza kwenye kikao hicho, Mheshimiwa Majaliwa amesema ni lengo la Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha anakuza sekta ya michezo nchini na anataka kuona mafanikio katika timu za Taifa hivyo mikakati ya kuifanya timu ya Taifa ifanikiwe ni sehemu ya kutimiza malengo ya Mheshimiwa Rais.
===
Katika hatua nyingine Waziri Mkuu ametoa wito kwa wamiliki wa viwanda, Taasisi za Umma na binafsi pamoja na wadau wengine kuendelea kujitokeza kuichangia timu ya Taifa ili iweze kuweka Historia ya kushiriki kombe la dunia kwa mara ya kwanza.
===
Wadau Walioshiriki katika kikao hicho ni pamoja na GSM, TAIFA GAS, AZAM, CRDB, NBC, LAKE OIL, STAR OIL, K4 SECURITY, KAMBIASO pamoja na wadau wengine.

IMG-20211105-WA0021.jpg
 
PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
17,223
2,000

View attachment 1999713
Mpaka hapo mmeshaitia nuksi timu yetu kuanzia hapo mechi ya Congo tutapoteza.
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
5,279

Soka sio kama siasa za CCM, kwamba pesa inanunua kura, hata wa kikusanya bn5 taifa star haiwezi kufudhu kombe la dunia mwaka 2022.
 
PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
17,223
2,000
kwanini mkuu?
Viongozi ambao siyo chaguo la wananchi hawawezi kuwa na mikono ya baraka kwa watu.

Chapili wakishaweka fedha hizo kwa timu wataanza kutia pressure kwa wachezaji hivyo wachezaji kushindwa kufanya vizuri.

Historia inaonyesha hivyo kila serikali ilipoweka msukumo kwenye timu ya taifa hata kama ilikuwa inamwelekeo mzuri inapoteza kwa sababu viongozi hawa wahuni wahuni watakuwa wanaenda hata saa nane za usiku kambini na kuongeza pressure kwa wachezaji.
 
Mbaga III

JF-Expert Member
Jan 25, 2019
2,410
2,000
BILIONI 1.6 KUCHAGIZA TAIFA STARS KUFUZU KOMBE LA DUNIA QATAR 2022

===
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania pamoja na wadau wa soka nchini kuungana kwa pamoja na kuhakikisha timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa Miguu (Taifa Stars) inafanya vizuri kwenye michezo yote iliyobaki ili kufuzu kushiriki kombe la Dunia litakalofanyika nchini Qatar 2022.
===
Ametoa wito huo leo (Alhamis, Novemba 4, 2021) wakati akiongoza Kikao cha pamoja cha wadau wa soka Nchini katika ukumbi wa uwanja wa Taifa wa Uhuru, jijini Dar es Salaam. Ambapo katika kikao hicho wadau wa Taifa Star wamechangia Shilingi Bilioni 1.6 ambazo zitatumika kuihudumia timu katika maandalizi ya mechi zilizobaki za kufuzu kombe la Dunia.
===
Akizungumza kwenye kikao hicho, Mheshimiwa Majaliwa amesema ni lengo la Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha anakuza sekta ya michezo nchini na anataka kuona mafanikio katika timu za Taifa hivyo mikakati ya kuifanya timu ya Taifa ifanikiwe ni sehemu ya kutimiza malengo ya Mheshimiwa Rais.
===
Katika hatua nyingine Waziri Mkuu ametoa wito kwa wamiliki wa viwanda, Taasisi za Umma na binafsi pamoja na wadau wengine kuendelea kujitokeza kuichangia timu ya Taifa ili iweze kuweka Historia ya kushiriki kombe la dunia kwa mara ya kwanza.
===
Wadau Walioshiriki katika kikao hicho ni pamoja na GSM, TAIFA GAS, AZAM, CRDB, NBC, LAKE OIL, STAR OIL, K4 SECURITY, KAMBIASO pamoja na wadau wengine.

View attachment 1999713
Wachangieni hata 100tz billions shillings ila kufuzu sahauni. Hakuna mambo ya kina jecha huko kombe la dunia. Uwezo hamna na uwezo haununuliki ni.mipango ya muda mrefu kupitia uwekezaji bora kwenye miundo mbinu yote kwenye shughuli za michezo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom