TANZIA Francis Mtega, Mbunge wa Mbarali afariki dunia kwa ajali ya bodaboda

MAWEED

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
3,270
10,959
Salaam,

Mbunge wa jimbo la Mbarali mkoani Mbeya kupitia tiketi ya chama cha CCM, ndungu Francis Leonard Mtega amefariki dunia leo.

Update zote kuhusu maziko, ugonjwa na msiba nitaleta hapa..

Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.

Innalillah wainna ilayhi rajiuun.

===
0.42547900 1626783327.png

Kupitia ukurasa wa WhatsApp wa M/kiti UVCCM Wilaya Mbarali, Medson Mwambapa (Sweetbert); Mbunge wa Mbarali, Francis Mtega amefariki kwa ajali ya Pikipiki aliyokuwa anaiendesha akitokea shambani kwake kugongana na trekta.

20230701_180008.jpg
 
Back
Top Bottom