FIFA kuandaa Kombe la Dunia 2030 kwenye Mabara Matatu; Amerika Kusini, Ulaya na Afrika

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
576
1,626
kombe.jpg

Tukio hili kubwaa katika ulimwengu wa soka litasherekea miaka 100 kwa shindano hilo mwaka 2030 kufanyika katika mabara matatu ya Amerika Kusini, Ulaya, na Afrika. Uamuzi huo unaweza kuwa mwanya kwa Saudi Arabia kupata nafasi ya kuandaa mashindano hayo mwaka 2034.

Kombe la Dunia la Soka litafanyika katika nchi sita kwenye mabara matatu katika toleo lake la miaka mia moja mwaka 2030, utaratibu huo tofauti na ilivyofanywa hapo nyuma ulipitishwa jana Jumatano katika mkutano wa baraza la FIFA.

Katika utaratibu huo, nchi tatu za Amerika Kusini - Argentina, Paraguay, na Uruguay - kila moja itaandaa mechi ya ufunguzi kwenye ardhi yake na kisha kujiunga na timu zingine katika michuano iliyobaki, ambayo itafanyika Hispania, Ureno, na Morocco.

Nchi sita kwa awali zilishirikiana kikanda katika zabuni tofauti za kuandaa Kombe la Dunia litakalofikisha miaka 100 mwaka 2030.

=====

Soccer’s biggest event will celebrate its centenary by placing games in South America, Europe and Africa. The decision could pave the way for Saudi Arabia to host in 2034.

Soccer’s World Cup will be staged in six countries on three continents in its centenary edition in 2030, an unexpected and complex alteration to its traditional format that was approved on Wednesday in a meeting of FIFA’s governing council.

In the unusual arrangement, three South American countries — Argentina, Paraguay and Uruguay — each will host a single opening match on home soil and then join the rest of the field for the remainder of the tournament, which will take place in Spain, Portugal and Morocco.

The six countries had initially joined forces regionally in separate bids for the hosting rights to the 100th anniversary World Cup, a globe-stopping, monthlong soccer festival that produces billions of dollars in revenue for FIFA every four years.

NY Times
 
Back
Top Bottom