Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,186
- 10,922
Marekani imethibitisha na kukubali kuwa kweli Iran imefanikiwa kuingiza satelite yake N3 kufikia orbit ambako huogelea satelite za mataifa mengine yaliyowahi kufanya hivyo.
Pamoja na kukubali huko Marekani imesema kitendo hicho cha Iran ni kukiuka maazimia ya vikwanzo kwa nchi hiyo jambo ambalo linaweza kuipa uwezo Iran kurusha makombora ya nyuklia.
Akitetea mafanikio hayo kiongozi mmoja wa kijeshi wa Iran amesema kufanikiwa kuingiza satelite yake km450 kutoka ardhini kutaifanya Iran iweze kuongoza droni zake kwa ufanisi zaidi na kuzipeleka mbali zaidi ya pale zinapofikia sasa.