Oktoba 6 ni siku ya Mtindio wa Ubongo duniani

Truth sniper

Member
Jan 22, 2012
90
148
Kila ifikapo Oktoba 6 kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya Mtindio wa Ubongo/ cerebral palsy, ambapo kwa Mara ya Kwanza siku hii iliadhimishwa mwaka 2012.

Madhumuni ya siku hii ni kuielimisha jamii kuhusu tatizo hili pia kuhamasisha uwepo wa mazingira jumuishi na wezeshi kwa watu walioathiriwa na tatizo hili.

Kama jamii tunawajibu wa kuhamasisha wazazi na jamii katika kuwapa fursa kama vile elimu, afya n.k watu. walioathirika na tatizo.

Serikali pia ijaribu kuangalia suala la bima ya afya kwa watoto, kipindi cha nyuma (toto afya kadi) kilikuwa msaada mkubwa kwa wazazi wenye watoto wenye hili tatizo.

Fahamu zaidi Kuhusu Mtindio Wa Ubongo;

Soma > Tatizo la mtindio wa ubongo (CEREBRAL PALSY)
 
Haya CHADEMA siku yenu ndio Imefikia sasa, 😂😂😂😂
Leo nimejifunza kitu kikubwa mno kutoka kwa mkurugenzi wa TBC, kumbe utapia mlo unamadhara makubwa sana ukubwani hasa katika afya ya akili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom