orangutan
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 759
- 772
Dee7 (jina lake maarufu) aliekuwa mtangazaji wa radio Kiss FM ya jijini Mwanza amefariki dunia hapo jana tarehe 23.09.2023.
Kwa wale waliokuwa wapenzi wa kipindi cha African Beats pale Kiss FM mtakuwa mnaikumbuka vyema sauti yenye mamlaka ya huyu ndugu yetu na bila kusahau mchango wake mkubwa wa kuzipatia airtime nyimbo nyingi za underground hiphop artists wa kibongobongo.
To put it short, this brother had unconditional love to the game of bongo hiphop. Bila kusahau mapenz yake aliyokuwa nayo na mziki wa reggae...
Tumuombee marehemu apate pumziko la amani. Amiin🙏🏾