Mkungunero
JF-Expert Member
- Aug 13, 2023
- 408
- 568
Hebu angalia teuzi nyingi za siasa hapa tanzania wengi wamesoma masomo ya Sanaa i.e hgj, hgl, hgk nk.
Nakumbuka wakati tupo secondari ikionekana unsoma masomo hayo kila mtu anakudharu na unaonrkana booonge la kilza.
Tuliyokuwa tunaonekana na kila mtu anatuheshimu na kitupigia salute ni wale vipanga wa Physics, Chemistry, Biology, Mathematics nk.
Sasa Hao wote wa sayansi ni stress tu wametwlekezwa as if walifanya makosa sana kuwa na akili.
Angalia akina Gerson msigw na akina Dr Abasi Ayoub Ryoba au palamagamba wote Hao walisoma kiswahili tu lakini wanatesa kwa pesa.
Hii nchi haiwezi kuendelea kamwe. Mareakani watu wenye akili wanapewa kipau mbele na wako kwenye position ya kuwa billionaires kama Elon musk aliyesoma physics na economics chuo kikuu.
Angalau kidogo kitila mkumbo alisoma masomo magumu i.e PCB japo alikosea kernd akusomea ualimu mana ualimu siyo proffesion every body can teach.