dunia

  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Dunia inahitaji kuwa na mbabe mmoja tu ili iwe salama. Dunia ya wababe wengi ni hatari sana

    Dunia salama ni ile yenye mbabe mmoja tu. Dunia ya wababe wengi ni hatari kubwa sana. Vita za dunia zinatokea sababu ya kuwepo kwa wababe wengi. Dunia ya wababe wengi siyo stable na wala haidumu muda mrefu. Kukiwa na wababe wengi lazima watapigana na matokeo yake mshindi anaendelea kuwa mbabe...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Mwarabu kafunga njia Red Sea, meli zinazungukia Afrika, watawala wa dunia wamekwama

    Hakatishi mtu. Kwa amri na utekelezaji wa wanamgambo wa Houthi wa Yemen. Nia na madhumuni wamesema ni kuzuia usafirishaji kwenda Israel. Lakini kwa sababu baharini huwa ni vurugu mechi, li meli la Ukraine lina bendera ya Tanzania, wafanyakazi wa Uturuki, waendeshaji wa Ufaransa, na mzigo wa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Watu wawili wanaodaiwa kuwa Majambazi wamefariki Dunia baada ya kujeruhiwa wakati wakitaka kufanya uhalifu

  4. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Wang Yi barani Afrika italeta uhakika katika dunia inayojaa sintofahamu

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi anatarajiwa kufanya ziara katika nchi za Misri, Tunisia, Togo na Cote d'Ivoire kuanzia tarehe 13 hadi 18 mwezi huu. Huu ni mwaka wa 34 mfululizo kwa waziri wa mambo ya nje wa China kufanya ziara barani Afrika kila mwanzoni mwa mwaka mpya. Mwaka 2023...
  5. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania TANZIA Demi Agoglia Afariki Dunia Wakati Akifanyiwa Upasuwaji Wa Kuongeza Shepu

    Mwanamke wa Uingereza aitwaye Demi Agoglia (26) amefariki dunia siku chache baada ya kufanya upasuaji wa kuongeza shepu (BBL) nchini Uturuki, Magazeti ya Uingereza yameripoti. Demi ambaye alikua Mkazi kutoka Jiji la Manchester alipata mshtuko wa moyo saa chache kabla ya kuanza safari yake ya...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Dunia iingilie kati, wameua tena Kamanda wa Hezbollah Lebanon

    Dunia iwazuie hawa mayahudi. Wameua yena Kamanda Mwandamizi (Senior Commander) wa Hezbollah huko Lebanon. Jamaa wanapiga kila sehemu hawa Waisrael nashindwa waelewa. Wanaenda piga kuua maadui hadi nchi nyingine? Dunia inaangalia tu. Ni nini hiki jamani? Hali ni mbaya kwa sasa jamaa wameamua...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Dunia inadaiwa na nani?

    Nimeona mahali kuwa Dunia inadaiwa Mara 3 ya Pato lake Sasa inadaiwa na Nani ??? Naomba kufahamishwa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwijaku ajenga nyumba ya kitajiri Kigamboni - funzo kwa vijana, dunia haina huruma kwa mwenye aibu,wenye kuwaza ndugu watanionaje

    Habari wadau, Mwijaku chawa na influencer maarufu amejenga nyumba ya ghorofa kigamboni Mwijaku anafanya kazi amazo wengi tunaona ni za aibu ila ana maisha mazuri ambayo wasomi wengi wa zama zake hawana hata nusu yake. Mwijaku ni graduate wa university of Dar es salaam (Udsm) class of 2013 -...
  9. EngFDM

    JamiiForums Tanzania Vita ya 3 ya dunia (WW3)

    Dunia imeshakumbwa na vita nyingi sana, ila kwa mujibu wa historia zipo vita kuu mbili zilizoigawanya dunia kwenye pande mbili, vita zilizosababisha vifo vya mamilioni ya watu, vita ya kwanza ya dunia(WW1) na vita ya pili ya dunia (WW2). Tangu kuisha kwa vita ya pili ya dunia mnamo mwaka 1945...
  10. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Dunia ni kama VIDEOGAME isio na uhalisia wowote

    Fikiria kidogo na namna dunia ilivyo na namna unavyoiishi. Ni kama (VIDEOGAME) isiyo na maana wala uhalisia wowote katika maisha halisi. Hauwezi nielewa kama wewe ni mtu usiyependa ishughulisha akili yako katika vitu uvionavyo. Kama wewe ni mtu unayeangalia (BRITAIN'S GOT TALET) na unaamini...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki Afariki Dunia

    Inasemekana kuwa Rais wa awamu ya Pili wa Afrika Kusini Thabo Mbeki amefariki dunia. Hii ni kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi.
  12. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Dunia ni tamu ila nifupi sana jitahidi kufanya yaliyo MEMA

    Ndugu zangu DUNIA ni kweli ni TAMU ila ni FUPI sana., jitahidi sana kufanya yaliyo MEMA. Katika mema yako usisahau na muumba wako, pia usisahau na WAZAZI wako. Kwani wao ndio wamefanya uone mwanga wa jua wa DUNIA. Pia jitahidi sana kuishi vizuri na wanao kuzunguka pia. Kwani...
  13. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Tuzifahamu familia 13 za Illuminati zinazoiendesha dunia na maisha ya binadamu katika nyanja zote

    TUZIFAHAMU FAMILIA 13 ZA ILLUMINATI ZINAZOIENDESHA DUNIA NA MAISHA YA BINADAMU KATIKA NYANJA ZOTE. Kwa nini ni muhimu kuzifahamu familia 13 za illuminati? Katika kitabu kinachoitwa"Holy blood Holy Grail" unaweza kuona umuhimu wa kuzifahamu familia hizi 13 zinazoutikisa ulimwengu bila ya...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Majengo zaidi ya 100 ya kihistoria na ya kale yamebomolewa na Israel. Ni msiba mkubwa kwa dunia

    Jumla ya majengo yanayozidi 100 yamebomolewa katika eneo la Gaza. Mojawapo lina umri wa zaidi ya miaka 1500 kabla Mtume Muhammad s.a.w hajazaliwa. Imeelezwa ubomoaji huo umepoteza historia muhimu kwa wapalestina na dunia yote kwa jumla. Kwa mujibu wa wasimamizi na wanahistoria wa kipalestina...
  15. stephot

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya dunia

  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watanzania Maarufu waliofariki dunia mwaka 2023

  17. R

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

    Wakuu, Mwaka 2023 unakaribia kuisha, tumekutana na mambo mengi, ya kufunza, kukatisha tamaa, kutusogeza mbele ama kuturudisha nyuma, kutupa nguvu na kutufurahisha pia. Katika mambo yote uliyokutana nayo, ni kipi kimekugusa sana kwa namna moja ama nyingine na kukufunza jambo?
  18. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

    Habari wadau. Joto la Dar sasa hivi linarange kati ya 33 • C hadi 35•C lakini unapata feeling ya 41•C kutokana na humidity. Kwa kweli hali hii ni mbaya sana ambayo kama huna air condition iwe kwenye usafiri au nyumbani kwako kwako maisha yatakuwa ya taabu sana. Tips muhimu za kuishi maisha...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel mambo yamewafika hapa. Watishia kuipiga Lebanon kama dunia itashindwa kuwaondoa Hizbullah mpakani. Je, wataweza?

    Mmoja ya waziri katika baraza la vita la Israel, Benny Gantz ameweka wazi kuwa muda wa majadiliano unakaribia kuisha na kwamba nchi yake itaingia kuipiga Lebanon yote iwapo Serikali ya nchi hiyo na dunia kwa ujumla watashindwa kuwaondoa wapiganaji wa Hizbulah kutoka mpakani kaskazini ya Israel...
  20. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Tuangalie muelekeo wa dunia kwa miaka mitano ijayo

    Mimi sio muumini wa nyota wala uchawi napenda kuona zaidi ya kusikia. Mwaka 1914 dunia ilipigwa vita kubwa ya kwanza yenye ufadhili wa familia au kikundi fulani miaka mitano baadae dunia ikapewa dude linaitwa versail peace treaty na hatimae league of nation miaka ya baadae ikazuka vita ya pili...
Back
Top Bottom