dunia

  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Huku Russia vs Ukraine, kule Israel vs Palestina

    Ehe bwana ehe, mimi kama Muhaya original kabisa, na thubutu kusema Dunia mpaka sasa bado inaupiga mwingi kabisa. Mambo kama haya tuliyazoea kipindi kile cha Ofisa Bin Laden Mwamba kabisa aliyeitikisa Dunia na Marekani kwa mapigo yake na akili yake ya kipekee ambae kwa karne hii hakuna mtu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania CEO Yanga: Tutaionyesha dunia ukubwa na ubora wa Yanga

    “Tumepangwa kwenye kundi lenye ushindani pamoja na mabingwa watetezi Al Ahly. Bila shaka ni kundi lenye msisimko wa aina yake. Ushindani hautufanyi tuogope, bali inatupa fursa ya kuonesha dunia ukubwa na ubora wetu” @andre_mtine - Mtendaji Mkuu wa Yanga SC
  3. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Lady Cathy Ferguson, mke wa Sir Alex Ferguson amefariki dunia

    Habari za huzuni jioni hii, kutoka katika kitongoji cha Cheshire, Greater Manchester ni kuwa Lady Cathy Ferguson, mke wa Sir Alex Ferguson amefariki dunia. Wawili hao walioana mwaka 1966 na wamedumu kwenye ndoa mpaka mauti yalipomfika bibie Lady Cathy akiwa na miaka 85. Ameacha watoto watatu...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Oktoba 6 ni siku ya Mtindio wa Ubongo duniani

    Kila ifikapo Oktoba 6 kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya Mtindio wa Ubongo/ cerebral palsy, ambapo kwa Mara ya Kwanza siku hii iliadhimishwa mwaka 2012. Madhumuni ya siku hii ni kuielimisha jamii kuhusu tatizo hili pia kuhamasisha uwepo wa mazingira jumuishi na wezeshi kwa watu walioathiriwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania FIFA kuandaa Kombe la Dunia 2030 kwenye Mabara Matatu; Amerika Kusini, Ulaya na Afrika

    Tukio hili kubwaa katika ulimwengu wa soka litasherekea miaka 100 kwa shindano hilo mwaka 2030 kufanyika katika mabara matatu ya Amerika Kusini, Ulaya, na Afrika. Uamuzi huo unaweza kuwa mwanya kwa Saudi Arabia kupata nafasi ya kuandaa mashindano hayo mwaka 2034. Kombe la Dunia la Soka...
  6. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Maisha ya dunia bila shetani yasingenoga

    Dunia kuna nguvu kuu mbili, umepewa free will uamue, uwe kwa shetani au Mungu. Shetani ndie mungu wa ulimwengu huu kwa wasio na Mungu. Matatizo shida vurugu kila kitu kibaya chanzo ni shetani. Kila lolote lililo baya lina uzuri ndani yake. Maendeleo ya dunia ni matokeo ya shida, shida ndio...
  7. Webabu

    JamiiForums Tanzania Tumebakiwa na miaka michache tu tukutane na wenzetu nje ya dunia

    Uzi huu unakusudiwa uwe ni endelevu na uwe unapokea taarifa mpya mpya kila huo muda unavyokaribia.Kwa sababu imeelezwa kuwa matayarisho yanaendelea kukutana na wenzetu nje ya dunia. Wanasayansi wengi wanaamini kuwa zipo dalili nyingi zaidi sasa kuwa binadamu hatuko peke yetu kwenye ulimwengu wa...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Iran yafanikiwa kurusha chombo kufikia Orbit za dunia

    Marekani imethibitisha na kukubali kuwa kweli Iran imefanikiwa kuingiza satelite yake N3 kufikia orbit ambako huogelea satelite za mataifa mengine yaliyowahi kufanya hivyo. Pamoja na kukubali huko Marekani imesema kitendo hicho cha Iran ni kukiuka maazimia ya vikwanzo kwa nchi hiyo jambo ambalo...
  9. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Dunia na maajabu yake huyu ni mchezaji gani? 😂

  10. M

    JamiiForums Tanzania Dunia hii vilaza ndo wanafanikiwa, wenye akili wanaishia kufa kwa stress

    Hebu angalia teuzi nyingi za siasa hapa tanzania wengi wamesoma masomo ya Sanaa i.e hgj, hgl, hgk nk. Nakumbuka wakati tupo secondari ikionekana unsoma masomo hayo kila mtu anakudharu na unaonrkana booonge la kilza. Tuliyokuwa tunaonekana na kila mtu anatuheshimu na kitupigia salute ni wale...
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Zoleka Mandela, Mjukuu wa Nelson Mandela afariki Dunia akiwa na umri wa miaka 43

    Zoleka Mandela: Nelson Mandela's granddaughter dies in South Africa at 43 Zoleka Mandela, granddaughter of South Africa's first democratically elected President Nelson Mandela, has died of cancer at the age of 43. She passed away on Monday evening surrounded by friends and family, a...
  12. orangutan

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa Kiss FM na RFA Dee7 afariki dunia

    Dee7 (jina lake maarufu) aliekuwa mtangazaji wa radio Kiss FM ya jijini Mwanza amefariki dunia hapo jana tarehe 23.09.2023. Kwa wale waliokuwa wapenzi wa kipindi cha African Beats pale Kiss FM mtakuwa mnaikumbuka vyema sauti yenye mamlaka ya huyu ndugu yetu na bila kusahau mchango wake mkubwa...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Dunia inarudi ilipotoka, itarudi kwa maumivu makali sana

    DUNIA INARUDI ILIPOTOKA, ITARUDI KWA MAUMIVU MAKALI SANA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kila kitu kitarudi katika sehemu yake. Kila mtu atarudishwa katika nafasi yake. Hakuna atakayevuka mipaka yake tena. Bahari itajidhibiti mawimbi yake, wala maji hayataenda sehemu ya nchi kavu, Usiku...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mara: Kijana aliyejeruhiwa kwa mishale katika mgogoro wa ardhi Bunda afariki Dunia

    UPDATE: Aliyefariki ni Isore Mtegetu Marwa (28) Mkazi wa Mekomariro Wilaya ya #Bunda alijeruhiwa wakati wa vurugu zilizohusisha baadhi ya Wakazi wa Mekomariro dhidi ya Wananchi wa Kijiji cha Ryaming’orori Wilayani Serengeti ambapo pia watu wengine kadhaa wakijeruhiwa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama: Tuwalinde Watoto, Dunia Imebadilika

    WAZIRI MHAGAMA: TUWALINDE WATOTO, DUNIA IMEBADILIKA Wazazi na walezi wametakiwa kuhakikisha wanawalinda watoto dhidi ya vitendo vya kikatili kwa kuhakikisha wanatoa taarifa ili hatua za kisheria zichukuliwe badala ya kuwa sehemu ya kuwaficha watu wanaofanya vitendo hivyo vinavyosababisha...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Aliyekuwa akisafirisha Mirungi afariki dunia wakati akijaribu kuwakimbia Polisi

    Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Mkacha Mohamed (35), mkazi wa Soya wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma, amefariki dunia baada ya kuanguka na pikipiki akiwa na mwenzake wakiwakimbia Polisi wa Kibaya waliokuwa kwenye doria kijiji cha Namelock. Vijana hao walikuwa wanasafirisha shehena ya dawa...
  17. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Angalia picha ya Dunia ukiwa Sayari ya Mars

    Angalia Dunia ukiwa sayari ya Mars. Hii ni picha imechapishwa na NASA ikionyesha Dunia kutokea Mars.
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mkuu aliyepewa fedha za TAKUKURU Afariki Dunia, yadaiwa amekunywa kimiminika chenye sumu

    Mnamo tarehe 14.09.2023 majira ya saa 1:30 asubuhi huko katika nyumba za Walimu wa Shule ya Sekondari Mtanila iliyopo Kijiji cha Igangwe Wilaya ya Chunya, Mkuu wa Shule hiyo aliyefahamika kwa jina la MAGWIRA NKUTA [41] alifariki dunia baada ya kunywa kimiminika kinachodhaniwa ni sumu. Chanzo...
  19. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Tuikumbuke 9.11.2001: Tarehe kama ya leo iliyobadilisha historia ya Dunia

    Wengi wetu miaka 21 nyuma tarehe kama ya leo tunaikumbuka siku hiyo tukiwa na umri tofauti na majukumu tofauti. Wengi wengine walikuwa baddo hawajazaliwa au walikuwa wadogo sana kiasi hawajaelewa kilichotokea lakini leo hii hakiwaodoshei kutojuielewa siku hiyo. Binfasi naikumbuka siku hiyo na...
  20. comte

    JamiiForums Tanzania Mafuta yanapanda bei kwenye soko la dunia

    Mwezi Juni 2023 mafuta kwenye soko la dunia yalikuwa 70 USD, mwanzo wa mwezi Septemba yamefika 90 USD. Inakadiriwa kufikia mwisho wa mwaka huu pipa litakuwa 120 USD bei iliyokuwepo kabla ya janga la COVID 19. Hii inetokea baada ya OPEC na wazalishaji wengine wa mafuta kupunguza uzalishaji na...
Back
Top Bottom