Ili mtu mweusi aweze kuendelea anabidi kujifunza kutoka kwa mzungu na watu wa dunia ya kwanza

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,998
45,501
Tukubali tu wenzetu wazungu wamepiga hatua kubwa Sana na wako mbele yetu sana.

Tujifunze kupitia wao na sio kuwachukia maana kuwachukia haisadii chochote zaidi ya kuendelea kukaa pale pale.

Ukitaka kuijenga Akili yako ili iwe bora, soma vitabu vya wazungu huko ndo utapata maarifa sahihi na bora.

Sikiliza country music

Ukitaka kujua mambo ya uchumi soma vitabu vyao Kama The psychology of money

Ukitaka kuwa Kiongozi bora soma vitabu vya John Maxwell

Kiufupi tujifunze kwao ili na sisi tupige hatua tuwe na fikra huru ikiwezekana serikali iruhusu vitabu Kama Rich dad poor dady vifundishwe mashuleni.
 
✅🙏🙏🙏
 
Mnajaza seva tu na matusi yenu.

Yaani twende kujifunza kujichukia na kuzodoana, unafiki na ukatili?

Kiuhalisia hakuna la kujifunza huko.
Ni kweli mkuu, haifai kuiga mabaya.

Na mtoa mada naye hajashauri tujifunze mabaya ya Wazungu, bali yale yaliyowafanya watuzidi kwa mazuri kama kutengeneza kifaa kizuri cha mawasiliano kama hicho unachokitumia kuingia JF, n.k.
 
Tukubali tu wenzetu wazungu wamepiga hatua kubwa Sana na wako mbele yetu sana.

Tujifunze kupitia wao na sio kuwachukia maana kuwachukia haisadii chochote zaidi ya kuendelea kukaa pale pale.

Ukitaka kuijenga Akili yako ili iwe bora, soma vitabu vya wazungu huko ndo utapata maarifa sahihi na bora.

Sikiliza country music

Ukitaka kujua mambo ya uchumi soma vitabu vyao Kama The psychology of money

Ukitaka kuwa Kiongozi bora soma vitabu vya John Maxwell

Kiufupi tujifunze kwao ili na sisi tupige hatua tuwe na fikra huru ikiwezekana serikali iruhusu vitabu Kama Rich dad poor dady vifundishwe mashuleni.
Absolutely.
Ni lazima tujifunze na kuiga mazuri yao yote, Yale ambayo tunaona kuwa ni mabaya basi tuwaachie wao wenyewe.
 
Ni kweli mkuu, haifai kuiga mabaya.

Na mtoa mada naye hajashauri tujifunze mabaya ya Wazungu, bali yale yaliyowafanya watuzidi kwa mazuri kama kutengeneza kifaa kizuri cha mawasiliano kama hicho unachokitumia kuingia JF, n.k.
Kwa kutumia Lugha kama hiyo ya 'Mtu mweusi' kwa wengi ni matusi tu. Itoshe hakuna kitu kama Dunia ya kwanza ya pili au dunia yeyote ile tofauti tunayoishi Waafrika, Wazungu, Waarabu n.k

Sambamba, wazo kwamba mtu mweusi yupo inferior na mzungu ni superior haina mashiko.

Wewe unataka kuhalalisha ubaguzi na ukandamizaji?

Hebu nitajie hayo mazuri waliotuzidi?

Ikumbukwe Dunia hii uionavyo leo isingekuwq hivyo kama sio mchamgo ww mtu Mweusi. Mwaafrika to be precise. Ulaya na Marekani, kote huko kumeendelea kutoka kwenye migongo ya Waafrika!
 
Tukubali tu wenzetu wazungu wamepiga hatua kubwa Sana na wako mbele yetu sana.

Tujifunze kupitia wao na sio kuwachukia maana kuwachukia haisadii chochote zaidi ya kuendelea kukaa pale pale.

Ukitaka kuijenga Akili yako ili iwe bora, soma vitabu vya wazungu huko ndo utapata maarifa sahihi na bora.

Sikiliza country music

Ukitaka kujua mambo ya uchumi soma vitabu vyao Kama The psychology of money

Ukitaka kuwa Kiongozi bora soma vitabu vya John Maxwell

Kiufupi tujifunze kwao ili na sisi tupige hatua tuwe na fikra huru ikiwezekana serikali iruhusu vitabu Kama Rich dad poor dady vifundishwe mashuleni.
Watakwambia ni Mabeberu huku wakiiba pesa za miradi iliyofadhiliwa na Mabeberu
 
Kwa kutumia Lugha kama hiyo ya 'Mtu mweusi' kwa wengi ni matusi tu. Itoshe hakuna kitu kama Dunia ya kwanza ya pili au dunia yeyote ile tofauti tunayoishi Waafrika, Wazungu, Waarabu n.k

Sambamba, wazo kwamba mtu mweusi yupo inferior na mzungu ni superior haina mashiko.

Wewe unataka kuhalalisha ubaguzi na ukandamizaji?

Hebu nitajie hayo mazuri waliotuzidi?

Ikumbukwe Dunia hii uionavyo leo isingekuwq hivyo kama sio mchamgo ww mtu Mweusi. Mwaafrika to be precise. Ulaya na Marekani, kote huko kumeendelea kutoka kwenye migongo ya Waafrika!
Ubaguzi upo hata sasa, ulikuwepo na utaendelea kuwepo hapa duniani, haukwepeki.
 
Kwa kutumia Lugha kama hiyo ya 'Mtu mweusi' kwa wengi ni matusi tu. Itoshe hakuna kitu kama Dunia ya kwanza ya pili au dunia yeyote ile tofauti tunayoishi Waafrika, Wazungu, Waarabu n.k

Sambamba, wazo kwamba mtu mweusi yupo inferior na mzungu ni superior haina mashiko.

Wewe unataka kuhalalisha ubaguzi na ukandamizaji?

Hebu nitajie hayo mazuri waliotuzidi?

Ikumbukwe Dunia hii uionavyo leo isingekuwq hivyo kama sio mchamgo ww mtu Mweusi. Mwaafrika to be precise. Ulaya na Marekani, kote huko kumeendelea kutoka kwenye migongo ya Waafrika!
Mkuu, kwanza tukubaliane kuwa hakuna mtu mweusi wala mweupe. Kwa minajili hiyo basi, tuna Wazungu na Waafrika.

Sasa tuingie kwenye hoja!

Unasema Ulaya na Marekani kumeendelea kwa migongo ya Waafrika? Kwa nini Waafrika na wenyewe hawajapaendeleza kwao?

Afrika Kusini imeendelea zaidi kuzidi nchi nyingi za Kiafrika. Unafikiri isingelikiwa Makaburu ingelikuwa na hayo maendeleo?
 
Mkuu, kwanza tukubaliane kuwa hakuna mtu mweusi wala mweupe. Kwa minajili hiyo basi, tuna Wazungu na Waafrika.
Kumbe unajua hivyo lakini haukemei bandiko la mleta mada. Akemewe
Sasa tuingie kwenye hoja!

Unasema Ulaya na Marekani kuendelea kwa migongo ya Waafrika?
Kwani ni uongo?

Kwa nini Waafrika hawajaoaendeleza kwao?
Ukisema Kwao waafrika unasema kwao wapi? Afrika siyo Nchi itoshe hayo maendeleo unayoyasema ni maendeleo yepi hayo? Kuendeleza nini?
Afrika Kusini imeendelea zaidi kuzidi nchi nyingi za Kiafrika. Unafikiri isingelikiwa Makaburu ingelikuwa na hayo maendeleo?
Ndio ingelikuwa na maendeleo.

Maendeleo ni nini? na yanaonekana vipi?
 
Back
Top Bottom