matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,587
- 15,371
Ukichelewa au ukihairisha utatakiwa kuongeza pesa ya ziada kufidia ili uingie kwenye manifest ya ndege nyingine siku nyingine au saa nyingine kama kutakuwa na nafasi. Hii haina shida maana sio uzembe wao ni wa abiria.
Ila sasa wao nao wanapohairisha safari au kusogeza mbele muda kwa sababu zilizo nje ya uwezo na ufahamu wa abiria. Je haoni na wao wanawajibu wa kumcompaseti abilia kwa ajili ya hiyo delay. Mfano mtu anawahi business deal ambayo iko defined na muda hawaoni kama kuna matokeo nyemelezi hasi kwa abilia?
Silalamiki ila hii tabia naona inashika kasi, je ni utaratibu wa kawaida katika aviation industry au ni utanzania wetu.
Wajuvu msaada.
Cc barafu wa Jf