Tuangalie muelekeo wa dunia kwa miaka mitano ijayo

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,546
2,989
Mimi sio muumini wa nyota wala uchawi napenda kuona zaidi ya kusikia.

Mwaka 1914 dunia ilipigwa vita kubwa ya kwanza yenye ufadhili wa familia au kikundi fulani miaka mitano baadae dunia ikapewa dude linaitwa versail peace treaty na hatimae league of nation miaka ya baadae ikazuka vita ya pili na mdororo wa uchumi hatimae marekani kwa ufadhili wa kundi X likaanzisha marshall plan na open door policy kwa lengo la kutawala miongo ikapita 2019 december tukafikwa na ugonjwa kutoka china tukaingia kifungoni uchumi ukavurugika na kwa bahati mbaya hatujakaa sawa RUSSIA na CHINA wakaendeleza kampeni ya kutotambua mipaka yao kwa nchi nyengine vita ikaanza na hatimae HAMAS 2023 wakaipokea vita na hadi sasa IRAN, SYRIA NA YEMEN wanaenda kujoint forces.

Huenda miaka mitano baadae vita itakuwa na tukaingia phase inayofata ya kutambulisha maroboti kama mbadala wa nguvu kazi iliyopotea au kuanguka kwa nchi za kiarabu na uzalishaji mafuta tukaenda kwenye nishati mbadala.
 
Back
Top Bottom