dodoma

  1. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba akiwa Dodoma Mjini: Mkinichagua kuwa Rais wa nchi hii nitatoa huduma bora ya afya na kudhibiti vifo vya wajawazito na watoto

    MKINICHAGUA KUWA RAIS WA NCHI HII NITATOA HUDUMA BORA YA AFYA NA KUDHIBITI VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO."PROF.LIPUMBA" DODOMA MJINI Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya Bajeti ndani ya miaka 10 ijayo. Ongezeko la bajeti litawezesha katika kuandaa...
  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania GE2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

    SEPTEMBA 5: CHAUMA KUFUNGUA RASMI KAMPENI MANZESE, DAR Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe ametangaza kufungua rasmi kampeni za chama chake viwanja vya Bakhresa vilivyopo Manzese Dar es Salaam, Septemba 5 Awali chama hiko kilipanga kufungua kampeni zake mkoani Mara, zoezi ambalo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM Kilimanjaro nendeni Dodoma na Mwanza mkajifunze namna ya kushawishi wananchi wahudhurie mikutano yenu

    Nimekuwa nikifuatilia mikutano ya kampeni za Uchaguzi mkoani Kilimanjaro, kiukweli sijaridhishwa na mahudhurio. Nashauri uongozi wa chama mkoani wafike Dodoma na Mwanza wajifunze mbinu za kuweka mahusiano mazuri na wapiga kura na kupelekea ushawishi wa chama kupendwa na wananchi kuhudhuria...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuna magari ya Dodoma-Arusha kuanzia saa saba mchana?

    Salamu Wakuu, napenda kujua usafiri wa kutoka Dodoma kwenda Arusha upoje! Nafahamu kuna magari ya Asubuhi na Hadi saa 3. Vipi kuanzia saa 7mchana!?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hii hapa hotuba ya Tundu Lissu Dodoma, ambayo Magufuli ameamua kumjibu akiwa Musoma.

    ..hotuba ya Tundu Lissu akiwa Dodoma. ..sikujua kuwa amerusha makombora makali kumlenga Magufuli. ..baada ya kuisikiliza nimeelewa kwanini Magufuli amezungumza vile akiwa Musoma.
  6. WaHapahapa

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya Ardhi Jijini Dodoma

    Mhe. Rais na mgombea wa Chama cha mapinduzi, kunajambo yawezekana wasaidizi wako wanakuficha kuhusu migogoro ya ardhi katika eneo la ngome ya CCM Dodoma. Kumekua na migogoro ya kutengenezwa na ile iliyokuwa CDA ambayo uliivunja mara moja ili kuondoa Migogoro ya ardhi jijini Dodoma, Lakini kitu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lissu awapa tafakuri nzito wananchi wa Dodoma

    Katika hotuba yake nzito aliyoitoa Dodoma jana, Tundu Lissu aliwapa tafakuri nzito sana wananchi wa Dodoma juu ya unanyasaji, uonevu na ukatili mkubwa uliofanyika katika utawala wa serikali hii ya awamu ya Tano. Akizungumza kwa kurejea madhila yaliyowakumba wananchi, kyanzia kupotea kwa Ben Saa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dodoma: Yaliyojiri mapokezi ya Tundu Lissu na mkutano mkubwa viwanja vya Uhuru Dodoma

    WanaJF Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuzindua kampeni katika Kanda ya Kati mkoani Dodoma. Rais huyo mtarajiwa wa Tanzania ataambatana na mgombea Mwenza Salum Mwalimu, Katibu Mkuu John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu Tayari Kuna pilikapilika kubwa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea Ubunge wa CHADEMA walioenguliwa wapo zaidi ya wiki moja Dodoma Ofisi za Tume ya Uchaguzi

    1 September 2020 Dodoma, Tanzania Bila Uwoga SUGU ailipua TUME ya UCHAGUZI, Amtaja Katibu wa CCM, - "Amani ya nchi Ipo mikinoni Mwao" Wabunge Wa CHADEMA Walioenguliwa na Wasimamizi wa Uchaguzi Katika Majimbo Mbalimbali Wamekutana Na Waandishi Wa habari jijini Dodoma Kuiomba Tume Ya Uchaguzi...
  10. samirnasri

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa shule ya Martin Luther jijini Dodoma kawageuza wazazi kitega uchumi, anatakiwa kushitakiwa

    Kwa wakazi wa Dodoma jina Martin Luther sio geni unapozungumzia suala zima la elimu. Ni shule iliyopo eneo la kisasa njia ya kuelekea Dar es Salaam. kwa ujumla shule ina mazingira ya kuvutia kwa muonekano wa nje. Kwa upande wa taaluma pia imekuwa miongoni mwa shule bora mkoani Dodoma ikiwa...
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri katika Ufunguzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) - Uwanja wa Jamhuri, Dodoma (Agosti 29, 2020)

    Leo chama tawala (CCM) kinafungua kampeni zake uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kuomba ridhaa ya wananchi kurejea kwenye utawala baada ya ngwe ya kwanza ya miaka mitano ya serikali ya awamu ya tano kuisha. Dkt. John Magufuli Rais anayemaliza awamu yake ya kwanza amepewa ridhaa ya chama hicho...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutoka uwanja wa Jamhuri Dodoma CCM inaenda kuweka mustakabali wa Taifa

    CCM OYEEEEEEE! Kwa mara ya kwanza tangu Taifa letu liwe huru tunaenda kushuhudia chama tawala kikienda kuweka historia mpya kama ilivyo hulka yake kwa kuzindua kampeni za uchaguzi kwa namna ya kipekee katika makao makuu ya nchi DODOMA. Haijawahi kutokea kwa Chama chochote kufanya kampeni ya...
  13. BAVICHA Taifa

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Tundu Lissu afuata gari lake lililoshambuliwa ofisini kwa RPC Muroto. Ashangaa hadi sasa hajahojiwa yeye na Dereva wake

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CHADEMA, Mh. Tundu Lissu, leo ametembelea Ofisi ya Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dodoma kwa lengo la kuchukua gari lake ambalo limehifadhiwa na Jeshi la Polisi Mkoa huo jaribio la mauaji...
  14. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Basi la kampuni ya Ally's lateketea kwa Moto

    Basi la kampuni ya Ally's linalofanya safari zake kati ya Dar na Mwanza lateketea kwa Moto wakati linakaribia Dodoma Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Msimamizi Msaidizi Kata ya Ambureni agoma kutoa Fomu ya Rufaa kwa aliowakata, asema wazifuate kwa Mwenyekiti wa NEC Dodoma, amgomea hata DED

    Huyu msimamizi ana nyodo sana, jana kakataa kuwateua wagombea Udiwani wa Vyama vya Upinzani ikiwemo CHADEMA na ACT. Anadai kuwa hawakulipa shilingi elfu 5 za ada ya kugombea wakati risiti wanazo na waliambatanisha. Ikiwa imesalia chini ya saa 1 KWA AJILI YA RUFAA, bado hataki kutoa fomu ya...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania Updates ---- Tayari Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye ni mgombea Urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form UPDATE:-...
  17. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Profesa Lipumba kurudisha fomu ya (NEC) kesho Agosti 25, 2020 jijini Dodoma

    PROF. LIPUMBA KUREJESHA FOMU (NEC) KESHO AGOSTI 25, 2020 JIJINI DODOMA Mgombea urais wa Chama cha Wananchi CUF, Prof. Ibrahim Lipumba pamoja na Mgombea Mwenza, Hamida Abdallah Huweishi kesho wanatarajia kurejesha fomu katika Ofisi za tume ya taifa ya uchaguzi ( NEC), Njedengwa Jijini Dodoma...
  18. Jumbe Brown

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hekima na Busara za John Madale Shibuda: Kongamano la maombi na maridhiano ya amani leo Mjini Dodoma

    Kongamano la Maombi,Dua Na MARIDHIANO ya Amani Kuelekea Uchaguzi Wa Oktoba 2020. Hakika Alichokihubiri Mzee John Magalle Shibuda Akiwakilisha Vyama 19 vya siasa nchini,kitabaki kuwa Ni MANENO YA DHAHABU Leo,Kesho na Milele. Shibuda Anabaki Ni Alama Ya Kutukumbusha kuwa TAIFA Hili litabaki hata...
  19. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wafanyabiashara uwanja wa wazi Jamhuri Dodoma wabomolewa kupisha uwanja wa kampeni

    Licha ya kuwa na mikataba na manispaa na kufuata masharti ya mkataba ikiwemo kutojenga ofisi za kudumu na kujenga vibanda vya muda yaani temporary, wafanyabiashara kwenye uwanja wa barafu au jamhuri dodoma wamefurumushwa Katika eneo Hilo na manispaa ya jiji huku Tonga tinga likibomoa misingi na...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

    Rais Magufuli amehudhuria misa takatifu ya uzinduzi wa Kanisa la parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino jijini Dodoma. Misa hii inarushwa mubashara TBC na Channel ten. Maendeleo hayana vyama! ========= Baba askofu mkuu amewataka waumini kuzusha macho kuuona uzuri wa kanisa na kuwaasa...
Back
Top Bottom