Wakuu habari zenu, nasikitika sana kuona hali inavyo endelea jijini Dodoma, jana usiku nikajisogeza maeneo ya Chako ni Chako ili kuosha rungu, sijui imekuwaje, sijakuta waoshaji, nikaenda mitaa ya uhindini nikawakuta kama watano hivi ila sijaona subwoofer ikabidi niende maisha club, nako...
Salaam...
Nipo jijini Dodoma yapata mwezi wa 2 Sasa lakini Kuna jambo linanishangazaa na kunisikitisha sana. Hapa mjini ajira za utotoni zimekithiri sana. Ukienda kwenye migawa hasa ya uswahilini unakuta asilimia kubwa watoto ndio Wana hudumia
Ukienda kwenye garage vilevile unakuta vitoto...
Tanzania inaungana na mataifa mengine katika kuazimisha siku hii ambayo itakuwa ni mara ya pili kwa Rais Samia Hassan kuwahutubia wafanyakazi baada ya kushika wadhifa huo.
Rais Samia atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho haya huku wafanyakazi akisubiri kwa hamu hotuba yake kutokana na ahadi...
MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amejumuika pamoja na viongozi wa Dini, Serikali, Chama Cha Mapinduzi na Wananchi mbalimbali katika Dua maalum aliyoiandaa ya kuliombea Taifa letu na Rais Samia Suluhu Hassan sambamba na kushiriki nao futari ya pamoja aliyoiandaa yeye...
Marufuku mtu yoyote au taasisi kutumia jina, nembo, rangi na alama ya chama cha siasa cha "Umoja Party" hadi mchakato wa kupata usajili wa muda utakapokamilika.
Heshima kwenu wakuu,
Bila kupoteza muda, Mimi ni kijana wa miaka 27, kwa Sasa nipo kusini mwa nchi lakini siku za usoni natarajia kuhamia Dodoma ili nipambane mbali na nyumbani.
Nimefanya maamuzi haya kwa kuzingatia Mambo mengi:
Kwanza, Dodoma Kuna fursa nyingi za kiuchumi ambazo zimechagizwa...
Serikali imeagiza Wazalishaji na Wasambazaji wa bidhaa muhimu kushusha mara moja bei za bidhaa zinazopandishwa pasipo kuendana na uhalisia wa Soko.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema hivi karibuni kumekuwepo na taarifa za uhaba na upandaji wa bei usioendana na uhalisia wa Soko kwenye bidhaa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefungua Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridiano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo tarehe 05 Aprili, 2022 katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.
=========
Updates:
RAIS SAMIA AMEELEZA HAYA:
Binafsi...
amani
ccm
democracy
dodoma
governance
haki
madarakani
maridhiano
mkutano
rais samia
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
shetani
tanzania
tcd
uchumi wa kati
ukweli mchungu
vyama vya siasa
wadau
Wakuu habari.
Nina Shida ya usafiri wa mizigo yangu kidogo pamoja na mimi mwenyewe kutoka Mwanza kwenda Dodoma.
Nikipata gari ya mizigo inayoenda Dodoma nitashukuru.
Naomba connection
Rais Samia Suluhu Hassan anazindua Ugawaji wa Vitendea kazi kwa Maafisa Ugani nchini ikiwemo Pikipiki 2,000, Vifaa vya Kupima afya ya Udongo (Soil agro scanner) 143, simu janja 384 na visanduku vya ufundi vya Maafisa Ugani 3,400.
#TunaImaninaSamia
#Hakunakinachosimama
#KaziInaendelea.
------...
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ACHANGIA SHILINGI MILIONI KUMI MFUKO WA YATIMA NA WAJANE MKOA WA DODOMA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amechangia shilingi milioni kumi katika mfuko wa kuwahudumia mayatima na wajane mkoa wa Dodoma.
Mchango wake huo...
Watu kadhaa wanahofiwa wamefariki dunia baada ya kutokea ajali iliyohusisha basi lijulikanalo kwa Jina la Geita Express kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 134 DXR katika eneo la Chinangali II Mkoani Dodoma.
Habari zaidi zinafuata.
AJALI YA BASI LA GEITA...
Kuna Watu wamenishangaza na Wananishangaza sana hivi Watanzania sasa wanalia juu ya Gharama za Maisha kupanda huku Bei ya Mafuta ya Kupikia na yale ya Petrol na Diesel nayo yakipanda badala ya Chama kujipanga Kwanza Kulitatua hili kimeamua Kuitana Makao Makuu Dodoma ili Kimsifie Mtu...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka kwa Wazee nchini kwa kutambua na kuthamini mchango wake mkubwa wa kuleta maendeleo nchini kabla ya kufunga Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika katika ukumbi wa...
Yatuhusu vipi ya hawa na barakoa zao?
Au ya huyu na wahuni wake?
Muhimu tutambue:
1. Wananchi walio wengi wanataka katiba mpya isipokuwa wenye maslahi binafsi na iliyopo.
2. Katiba Mpya haitapatikana kwa miito ya mitandaoni au maneno pekee.
3. Katiba Mpya haitapatikana bila ya watu (sisi)...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mhe. Maitha Al Shamsi Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Ikulu Jijini Dodoma tarehe 31 Machi, 2022. Huu ni mwendelezo wa ziara ya Mhe. Rais Samia aliyoifanya katika Falme za Kiarabu UAE...
Ni muda mrefu sasa tangu mwaka Jana mpaka mpaka Sasa hivi.Hali ya amani sio shwari Kwa wakazi wa ihumwa , mtumba na mahoma.
Jinsia ya kike mabinti na akina mama ndio wahanga wakubwa wa mauaji haya. Jua likizama tu akina dada na mama zetu inawalazimu kubakia ndani kama wafungwa hata dukani au...
Leo Rais Samia atakuwa anapokea ripoti ya CAG Charles Kichere kwa ukaguzi wa hesabu za mwaka 2020/202. Shughuli hivo pevu itaanza saa 4 asubuhi.
CAG ana machagua mawili tu,ama kuanika uozo wote wa awamu ya sita au kuchakachua kutaka kuonyesha mama anaupiga mwingi.
Kama amenyofoa kurusa zenye...
KATIBU MKUU WA CCM TAIFA CDE DANIEL CHONGOLO AFANYA MAZUNGUMZO MAALUMU NA JOEL NANAUKA, DODOMA.
28.03.2022
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Cde Daniel Chongolo, Leo amekutana na Ndg Joel Nanauka na kufanya naye mazungumzo katika ofisi Kuu za CCM jijini Dodoma.
Katika mazungumzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.