Kilichotutokea jana Bambalaga - Dodoma

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
7,732
2,000
Tukiwa tunapta vinywaji tukiwa na jamaa zangu, mmoja wetu alimtaka demu mmoja mbaye inaonekana alikuwa muuzaji wa K, jamaa alimwimbisha demu akakubali akajumuika na sisi.

Yule demu alikuwa anafanya movement ambazo nizitilia shaka, mara kadhaa alikuwa anaenda kuongea na mabaunsa sikujua walikuwa wanaongea nini lakini niligundua aliakuwa wanafanya mipango ya kumdhuru jaama ya yetu, alimchukuwa jamaa na kwenda kwenye parking ili huku yule demu akiwa ameshika chupa yake (ya huyu binti), Binafsi kwakuwa nilishamtilia shaka na mimi nikanyanyuka bila wao kujua nikawa nawafutilia, Basi yule demu akaanza kumpa yule jamaa denda, huku akitomasa mshikaji.

Bada ya dk kama 5 hivi nikaona jamaa yupo hoi kalegea balaa demu akawa kamuacha wakaja jamaa wawili mmoja ni dogo mmoja mweusi hivi alikuwa anaangalia watu ikiwa walikuwa wanapata huduma na mwingine ni muhudumu wa kiume mweupe hivi. Walianza kumpapasa jamaa wachukuwe simu na wallet ilibidi nishitue oya mbona unataka kumubia mshikaji, wakaanza kuwa na hofu, ahaaa kalewa tunataka tumsaidie mara ooh hajalipa bili alitaka kukimbia, ikawa mzozo balaa.

Huwezi amini mabaunsa walikuja wakamkomalia jamaa alitaka kuondoka bila kulipa bili, chap wakaandika karatasi ya bili 48,000, wakati bili hiyo tuliilipa mapema kabisa.

Kwakuwa jamaa walikuwa wamejipanga ikabidi tu nilipe tena kwa niaba ya jamaa ili kumnusuru maana niliona jamaa wamedhamiria.

Ikibidi tuondoke ila jamaa akawa hajitambui, mchana huu ndiyo anapata nafuu.

Inaonekana wale wadada poa wanashirikiana na wafanyakazi wa pale kuwawekea wateja madawa ya kulevya

Kwa hiyo ndugu zangu mkienda pale muwe na taadhari sana.
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
12,792

Jitu hulijui unaanzaje kulila denda?
 
namanga-kitonga

JF-Expert Member
Feb 4, 2020
546
1,000
Unawaonea aibu kupataja jina hapo sehemu?Taja ili warekebishwe.
Umeambiwa Bambalaga. Iko karibu na Shopping Mall/Shell kabla ya Kisasa.

Jamaa yako kama sio wewe ni mjinga tu!! Alikubalije/ulikubalije kuliwa denda kirahisi hivyo?

Inaonekana yeye/wewe ni mgeni pale. Wajanja wanapajua kuwa pale ni mesheni town tupu wamejaa.

Wanamharibia mwenye baa bila yeye kujua. Anatakiwa awe anawabadili kila mara ili wawe na hofu ya kutokufanya ujinga.

Siku nyingine uchukue tahadhari kwani pale sio poa ni pa hovyo sana.
 
kawoli

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
6,729
2,000
Hiko kibaa chenu huwa kina kashfa kibao ila mnazidi kwenda kila siku.
Amini usiamini watu wajanja na wanaojielewa bambalaga walishapapiga chini siku nyingi sana kutokana na matukio ya kishamba kama hayo.
Asilimia kubwa ya wateja wa bambalaga ni wageni wa mikoani wanaoenda kwenye semina dodoma. Nawale mabaunsa na macgangudoa wanajua sana kuwasoma majingajinga ndio wanawapiga matukio.
 
Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
2,733
2,000
Tukiwa tunapta vinywaji tukiwa na jamaa zangu, mmoja wetu alimtaka demu mmoja mbaye inaonekana alikuwa muuzaji wa K, jamaa alimwimbisha demu akakubali akajumuika na sisi.

Yule demu alikuwa anafanya movement ambazo nizitilia shaka, mara kadhaa alikuwa anaenda kuongea na mabaunsa sikujua walikuwa wanaongea nini lakini niligundua aliakuwa wanafanya mipango ya kumdhuru jaama ya yetu, alimchukuwa jamaa na kwenda kwenye parking ili huku yule demu akiwa ameshika chupa yake (ya huyu binti), Binafsi kwakuwa nilishamtilia shaka na mimi nikanyanyuka bila wao kujua nikawa nawafutilia, Basi yule demu akaanza kumpa yule jamaa denda, huku akitomasa mshikaji.

Bada ya dk kama 5 hivi nikaona jamaa yupo hoi kalegea balaa demu akawa kamuacha wakaja jamaa wawili mmoja ni dogo mmoja mweusi hivi alikuwa anaangalia watu ikiwa walikuwa wanapata huduma na mwingine ni muhudumu wa kiume mweupe hivi. Walianza kumpapasa jamaa wachukuwe simu na wallet ilibidi nishitue oya mbona unataka kumubia mshikaji, wakaanza kuwa na hofu, ahaaa kalewa tunataka tumsaidie mara ooh hajalipa bili alitaka kukimbia, ikawa mzozo balaa.

Huwezi amini mabaunsa walikuja wakamkomalia jamaa alitaka kuondoka bila kulipa bili, chap wakaandika karatasi ya bili 48,000, wakati bili hiyo tuliilipa mapema kabisa.

Kwakuwa jamaa walikuwa wamejipanga ikabidi tu nilipe tena kwa niaba ya jamaa ili kumnusuru maana niliona jamaa wamedhamiria.

Ikibidi tuondoke ila jamaa akawa hajitambui, mchana huu ndiyo anapata nafuu.

Inaonekana wale wadada poa wanashirikiana na wafanyakazi wa pale kuwawekea wateja madawa ya kulevya

Kwa hiyo ndugu zangu mkienda pale muwe na taadhari sana.
Umalaya ni ku risk maisha.nadhani hapo Bambalaga wanampango wa kuwazibiti malaya
 
Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
19,686
2,000
Umeambiwa Bambalaga. Iko karibu na Shopping Mall/Shell kabla ya Kisasa.

Jamaa yako kama sio wewe ni mjinga tu!! Alikubalije/ulikubalije kuliwa denda kirahisi hivyo?

Inaonekana yeye/wewe ni mgeni pale. Wajanja wanapajua kuwa pale ni mesheni town tupu wamejaa.

Wanamharibia mwenye baa bila yeye kujua. Anatakiwa awe anawabadili kila mara ili wawe na hofu ya kutokufanya ujinga.

Siku nyingine uchukue tahadhari kwani pale sio poa ni pa hovyo sana.
Umeulizwa weye?Acha kiherehere!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom