Kwa hali ya sasa ungewekeza wapi -Dodoma, Katoro au Kahama?

Oct 25, 2021
98
93
Yes wakuu,

Ni mwaka mwingine huooo, its always about kupambana na maisha na kutafuta ugali pale palipo na unga mwingi.

Naongelea penye kasi kubwa ya ukuaji, nguvu ya manunuzi inayoongezeka maradufu na mzunguko wa pesa unao impress.

Recently hii miji imetajwa inayokuwa kwa kasi..Dom, Katoro, Mafinga, Njombe, Kahama. Vp wewe ungeangukia wapi palipo na unga mwingi wa kukupa ugali?

Karibuni
 
Lets say una 30m na unataka hardware ndogo uanze nayo..unge ingilia wapi...?

Ningeenda dom au katoro. Moja maeneo ayo upatikanaji wa stock ni rahisi ata kusafirisha kutoka point ya kununulia hadi hapo.

Dodoma sidhaniii sana kama speed yake ya ujenzi bado ni endelevu kama awamu iliyoisha.

Katoro imezungukwa na vijiji vingi inaweza kulipa vizuri pia
 
Yes wakuu,

Ni mwaka mwingine huooo, its always about kupambana na maisha na kutafuta ugali pale palipo na unga mwingi.

Naongelea penye kasi kubwa ya ukuaji, nguvu ya manunuzi inayoongezeka maradufu na mzunguko wa pesa unao impress.

Recently hii miji imetajwa inayokuwa kwa kasi..Dom, Katoro, Mafinga, Njombe, Kahama. Vp wewe ungeangukia wapi palipo na unga mwingi wa kukupa ugali?

Karibuni
Chagua mwenyewe hapa 👇

1643456511815.png
 
Salam wadau wa JF
Kwa wenye uzoefu wa kupanga Frame hapa Dar Es salam, bei za kupanga kwa maeneo yafuatayo :-
Mwenge
Tegeta
Bunju
Ubungo
Buguruni
Sinza
NB: Nitafurahi kama nitapata bei za kupanga Mkabala na barabara au umbali kidogo (200m toka barabarani)

Ahsante
 
Ukiwa interested zaidi na posta nikupe frame yangu opposite na city mall kabisa ata leo ulipie uanze biashara.
 
Katoro na kahama inakua kwa Kasi na inamzunguko Mkubwa sana wa pesa kama Tunduma
 
Back
Top Bottom