Kama 99.9% ya Viongozi wa Dodoma Jiji FC akina Mbunge Mavunde na Kunambi ni Yanga SC lia lia, leo mnategemea kabisa Yanga SC isishinde Goli nyingi?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Dodoma Jiji FC kabla ya Kucheza na Simba SC kuanzia Msemaji wao, Mlezi wao Mkuu na Mbinge Antony Mavunde hadi Kiongozi wao Mwandamizi Kunambi walikuwa mara kwa mara wakizungumza, wakiitishia Simba SC huku wakiikamia ile mbaya Mechi husika.

Je, mmeshajiuliza ni kwanini Viongozi hawa hawa niliowataja hapa kuelekea Mechi yao ya Leo dhidi ya Yanga SC wamekaa Kimya na hata Mbunge Mavunde hajatoa Ahadi yake ya Pesa Tsh Milioni 10 au 20 kwa Wachezaji wa Dodoma Jiji FC kama ambavyo aliwaahidi kipindi kile wanacheza na Simba SC pale Jamhuri Stadium Dodoma?

Nawapa Pole wale Wote ambao mnadhani na Kujidanganya kuwa leo Yanga SC itafungwa au itatoka Sare na Tawi lake la Dodoma Jiji FC Mkapa Stadium ila kwa Watu wa Mpira tunajua leo Dodoma Jiji FC anaenda kugawa Takrima ya Kalamu ya Magoli kwa Yanga SC ili waiache mbali Simba SC kwa idadi Kubwa ya Magoli kwani mwendo wa Simba SC wa zile Goli 4 zilizoanza kwa KMC FC zimeitisha.

GSM natumai kuwa mmeshamaliza Kazi.
 
Kweli wewe Kolo, nadhani hiz nyuz utaziandika nyingi mwaka huu maana kufunga ni hadi yetu.. Na siku tukija kucheza na nyie Makolo ulete Uzi kama huuhuu.

Sasa we kwa akili yako ya huko matakoni unadhani Dodoma.Jiji ana kikosi cha kuweza kuifunga Yanga..? Kama ww tu kolo ulishindwa na ukatoka Huku ukishangalia Sare ataweza Dodoma jiji
 
Kweli wewe Kolo,,, nadhani hiz nyuz utaziandika nyingi mwaka huu maana kufunga ni hadi yetu.. Na siku tukija kucheza na nyie Makolo ulete Uzi kama huuhuu...


Sasa we kwa akili yako ya huko matakoni unadhani Dodoma.Jiji ana kikosi cha kuweza kuifunga Yanga..? Kama ww tu kolo ulishindwa na ukatoka Huku ukishangalia Sare ataweza Dodoma jj
Hawa jamaa wanawatwisha wenzao zigo la misumari la kuifunga Yanga ambalo wao walishindwa kulibeba.
 
Sasa kama huyo Mbunge na wenzake wamekaa kimya, kwa nini usiende wewe ukawatangazie hao wachezaji dau la milioni 50 kabisa ili kuhakikisha Yanga inafungwa leo?

Wabongo mna tabu sana! Sijui ni kwa nini mnapenda kuisakama Yanga! Yaani hamfurahii kabisa kuona inashinda. Mechi bado kuchezwa, tayari maneno yameanza! Yanga ndiye Bingwa msimu huu! Kama hutaki kukubali matokeo, unaweza kuhamia Zanzibar au Burundi.
Ni wivu tu umewazonga, wasione yanga inashinda wanaanzisha nongwa eti ina honga. Akili za makolo sometimes hazieleweki nikuwapotezea tu
 
Sasa kama huyo Mbunge na wenzake wamekaa kimya, kwa nini usiende wewe ukawatangazie hao wachezaji dau la milioni 50 kabisa ili kuhakikisha Yanga inafungwa leo?

Wabongo mna tabu sana! Sijui ni kwa nini mnapenda kuisakama Yanga! Yaani hamfurahii kabisa kuona inashinda. Mechi bado kuchezwa, tayari maneno yameanza! Yanga ndiye Bingwa msimu huu! Kama hutaki kukubali matokeo, unaweza kuhamia Zanzibar au Burundi.
Kote umeongea poa Ila kujihakikishia et yanga Ni bingwa msimu huu hapa ndipo mnapofel Wana yanga wengi .
Huu Ni mpira yoyote anaweza kuwa bingwa ,anaweza kuwa Azam ,Simba ,Dodoma ,Biashara ,Mbeya city n.k ,mnapata wap huo ujasiri et yanga Ni bingwa huu msimu, asipokua bingwa ndio kuongeza pressure za bure na kuwasumbua madaktari wetu .
Mpira sio kujihakikishia ,yaan useme mm Ni bingwa huu msimu had itokee na sio mechi 10 tu au kuongoza lig Basi nyie Ni bingwa .
Chelsea nao walianza kelele Kama za wana yanga Ila siaz kimya kabisa ,kuongoza lig sio ubingwa ,vuta subra fikisha hata michezo 28 huko kidogo utapata mwanga km kwel yanga Ni bingwa au lig bado mbichi,
Ligi inavyokwenda si ajabu bingwa akapatikana hata kwa utofaut wa magoli pekee ,kwa lugha nyepes Ni kwamba inaweza tokea bingwa akapatikana had Ile mechi ya mwisho ya 32. Lolote linawezekana kwenye mpira.
 
Ubora wa kikosi cha Yanga unawatoa jasho wapinzani
Sijaona ubora wa Yanga Zaid Ni timu ya kawaida tu Kama zilivyo Mbeya city.
Timu inkuaje Bora inapigwa nje ndan na River?
Ubora wa timu uonekane hata nje ya tz .
Fei anaimbwa Sana hapa tz Ila akikutana na timu za nje ya tz haonekan kabisa Wala anakua Hana uwezo wa kuibeba timu began kwake alafu ajab watz wankwambia fei alipaswa acheze Ulaya

Ili ujue wewe Ni Bora lazima ukutane na walio Bora na uwakazie au ikiwezekana uwafunge,.
Simba katokewa club bingwa na Galaxy lain hajatoka kinyonge ,kamfunga Galaxy kwao na yeye Galaxy kamfunga Simba kwao ,Sasa uto nje ndan kipigo alafu unajiita wewe Ni Bora ,Bora kwa lipi?
 
Back
Top Bottom