Naomba kujua Kiungo tegemezi Mkandala kaumia wapi mpaka kaomba Kutolewa?
Je, huyu Waziri Junior lege lege wa leo ndiyo yule ambaye hucheza na Simba SC kwa Kupambana sana?
Huu Mpira walioucheza Dodoma Jjji FC Kipindi cha Pili walikuwa wapi Kuucheza Kipindi cha Kwanza?
Hivi Kipa Makini anaweza...
Bm 3 ana deals 2 moja kwenda sudan au saudi arabia na mshahara ni mkubwa sana ,tatizo ni kwamba kule starehe hakuna sijui kama ataweza.
Kingine kikubwa ni kipa wa Dodoma jiji aitwaye Mohamed Yussuph ambaye yuko kwenye kiwango bora sana anahitajika huko sudan pia
Hii mechi tulishashinda kitambo. Leo Mayele lazima atupie hata 2 kuondoa Gundu mlilomtupia nyie Simba. Hii team yetu kabisa.... Dodoma hawawezi kutukamia...
Yanga tumejipanga hasa msimu huu kuchukua Makombe yote. Na nasema hapa tusipochukua Kombe nipigwe Ban ya Mwezi mzima. Sioni wa kutuzuia...
Habari za muda huu
Leo nimeona kikosi Cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Dodoma jiji nikaona kitu kimoja kuwa hawa utopolo wamekatatamaa na hawajui nn hatima Yao na labda Kuna ugomvi ndani Yao.
Leo Bangala,Aucho na Saidoo wakuwa Benchi kweli?
Tukutane jamuhuri jitu linakufa nyingi
Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC, leo Jumapili Mei 15, 2022, Yanga watakuwa ugenini kwenye Uwanja wa Jamhuri kucheza dhidi ya Dodoma Jiji FC Mkoani Dodoma.
Ikumbukwe kuwa Yanga haijapata bao hata moja katika mechi tatu zilizopita mfululizo katika Ligi Kuu Bara, presha kubwa ipo pia kwa mshambuliaji...
Nipo Dodoma kwa shughuli za ufugaji na kilimo.
Aisee mji wenu unakua kwa haraka.
Ila ka upepo ka baridi asubuhi kamenitingisha kidogo.
Naiona Ndoto ya Nyerere ikitimia.
Hongereni.
Amechaguliwa kwenda chuo. Anasema hapana. Anatpenda aendelee na kidato cha tano kwa mchepuko wake uleule wa masomo ya sayansi. Wapi nigeukie ili nisaidiwe?
Mifano ya Yanga kusaidiwa ushindi na marefu ni mingi,haiesabiki. Dodoma Jiji wasiopohujumiwa na uongozi wanaweza kabisa kuifunga timu mbovu ya Yanga. Lakini najiuliza refa atakubali?!
Hii ishu ya watu wa Dodoma kuwa ombaomba ni ya kihistoria. Ilianza zamani enzi za misafara ya biashara kutoka Bagamoyo hadi Ujiji. H. M. Stanley ameliandika vema hili katika kitabu chache How i Found Livingstone(1871).
Zamani kila misafara inakopita ilitakiwa kuacha kodi(Hongo)kwa chifu. Mara...
Jumapili kuna mchezo hapo kati ya Dodoma vs yanga sc huu mchezo hakikisheni hawa 🐸 hawaondoki na point tatu.
Tunajua wanafanya kila mbinu kuhakikisha wanapata point tatu, wakishirikiana na mbunge najua mnajua cha kufanya.
Kelele zilikuwa nyingi sana, kwa ushirikiano wetu si mnaona nchi...
Halafu TAKUKURU ( PCCB ) mbona mnakuwa Wapole hivi wakati kuna Klabu Moja tokea Juzi hadi Leo inahangaika kutaka Kuwahonga Wachezaji na Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC ili Jumapili waifunge na Wautulize Moto ambao Umeshawaka Klabuni Kwao.
Kudadadeki zenu si mnajifanya mna Kikosi imara na...
Shirika la Marie Stopes Tanzania (MST), limewakutanisha waandishi wa habari zaidi ya 33 pamoja na wadau wengine jijini Dodoma na kuwapa elimu ya afya ya uzazi na kuwaeleza shughuli zinazofanywa na shirika hilo hapa nchini.
Waandishi hao pia walipata fursa ya kufahamu shughuli nyingine za...
Mheshimiwa Mbunge tunajua wewe ni mfia Yanga. Iache Yanga ipambane yenyewe badala ya wewe na uongozi wa Yanga kulazimisha mechi ichezwe nje ya uwanja.
Unahangaika sana kutafuta connection ili Dodoma Jiji isiwafanye vibaya Utopolo wenzio.
Tunajua hatuwezi kukufanya chochote ila huo sio...
Nimefika dodoma toka juzi
Hawachangamki
Hwaongei
Wala hawacheki
Dodoma sio mji wa kibiashara
Dodoma sio mji uliochangamka
Dodoma kuna wagogo ambao hawajui shughuli yao maalumu ni ipi
Dodoma hamna kitu
Nimefika dodoma hamna sehemu ya starehe ambayo watu wanakosa seat za kukaa ata ukifika sa 6...
Ni onyo kali sana kutoka Jeshi la Polisi Tanzania mkoani Dodoma.
Je kuna athari yoyote ya kiusalama kama mteja akikaa kwa style hio ya kujibinua?
inahatarisha usalama wake?
Kichwa cha habari chajieleza..
Huu mwaka wa pili tangu hizi nguzo zisimamishwe baada ya agizo la Hayati Magufuli alipopita kwenda ziarani Iringa..
Alisema haiwezekani anapita mjin halafu kuna giza tuwekewe umeme haraka sana. Nguzo zikawekwa alipofariki na umeme umefariki pia..
Sasa hivi...
Baada ya majaribio ya miaka mitatu, Twaweza, kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, wameonesha kuwa malipo ya fedha kwa walimu kulingana na utendaji (au malipo ya ufaulu) yanaweza kuchangia kuboresha stadi za...
Juzi LATRA wametoa chati za nauli za mabasi ya mikoani na daladala ambazo zilipaswa kuanza tarehe 14/05/2022. Cha kushangaza nauli ya Dodoma mjini kwenda Bahi imepanda na kufikia shilingi 3000. Umbali ambao LATRA wamependekeza nauli ya 1900.
Napenda kujua hivi Serikali ya mkoa wa dodoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.