dodoma

  1. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa mizigo Mwanza - Dodoma

    Wakuu habari. Nina Shida ya usafiri wa mizigo yangu kidogo pamoja na mimi mwenyewe kutoka Mwanza kwenda Dodoma. Nikipata gari ya mizigo inayoenda Dodoma nitashukuru. Naomba connection
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua ugawaji wa vitendea kazi kwa maafisa ugani kilimo. Asema Serikali imeongeza bajeti ya utafiti kutoka Tsh 7.35bn hadi 11bn

    Rais Samia Suluhu Hassan anazindua Ugawaji wa Vitendea kazi kwa Maafisa Ugani nchini ikiwemo Pikipiki 2,000, Vifaa vya Kupima afya ya Udongo (Soil agro scanner) 143, simu janja 384 na visanduku vya ufundi vya Maafisa Ugani 3,400. #TunaImaninaSamia #Hakunakinachosimama #KaziInaendelea. ------...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia achangia shilingi milioni kumi mfuko wa yatima na wajane mkoa wa Dodoma

    RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ACHANGIA SHILINGI MILIONI KUMI MFUKO WA YATIMA NA WAJANE MKOA WA DODOMA. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amechangia shilingi milioni kumi katika mfuko wa kuwahudumia mayatima na wajane mkoa wa Dodoma. Mchango wake huo...
  4. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Ajali Dodoma: Basi la Geita Express limegongana uso kwa uso na Fuso, watu wanne wathibitka kufariki

    Watu kadhaa wanahofiwa wamefariki dunia baada ya kutokea ajali iliyohusisha basi lijulikanalo kwa Jina la Geita Express kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 134 DXR katika eneo la Chinangali II Mkoani Dodoma. Habari zaidi zinafuata. AJALI YA BASI LA GEITA...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali tukimaliza 'Ngonjera' za 'CCM Madili' huko Dodoma, turudi tuwape Majibu ya kutosha Watanzania juu ya Mafuta na Maisha magumu

    Kuna Watu wamenishangaza na Wananishangaza sana hivi Watanzania sasa wanalia juu ya Gharama za Maisha kupanda huku Bei ya Mafuta ya Kupikia na yale ya Petrol na Diesel nayo yakipanda badala ya Chama kujipanga Kwanza Kulitatua hili kimeamua Kuitana Makao Makuu Dodoma ili Kimsifie Mtu...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu afunga Mkutano Maalum wa CCM Taifa Jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka kwa Wazee nchini kwa kutambua na kuthamini mchango wake mkubwa wa kuleta maendeleo nchini kabla ya kufunga Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika katika ukumbi wa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ya CCM Dodoma hayatuhusu yetu ni Katiba Mpya

    Yatuhusu vipi ya hawa na barakoa zao? Au ya huyu na wahuni wake? Muhimu tutambue: 1. Wananchi walio wengi wanataka katiba mpya isipokuwa wenye maslahi binafsi na iliyopo. 2. Katiba Mpya haitapatikana kwa miito ya mitandaoni au maneno pekee. 3. Katiba Mpya haitapatikana bila ya watu (sisi)...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia akutana na Kuzungumza na Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Maitha Al Shamsi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mhe. Maitha Al Shamsi Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Ikulu Jijini Dodoma tarehe 31 Machi, 2022. Huu ni mwendelezo wa ziara ya Mhe. Rais Samia aliyoifanya katika Falme za Kiarabu UAE...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Jiji la Dodoma mjitathimini, mauaji kata ya Ihumwa na Mtumba yamezidi

    Ni muda mrefu sasa tangu mwaka Jana mpaka mpaka Sasa hivi.Hali ya amani sio shwari Kwa wakazi wa ihumwa , mtumba na mahoma. Jinsia ya kike mabinti na akina mama ndio wahanga wakubwa wa mauaji haya. Jua likizama tu akina dada na mama zetu inawalazimu kubakia ndani kama wafungwa hata dukani au...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kupokea ripoti ya CAG leo Machi 30, Ikulu Dodoma

    Leo Rais Samia atakuwa anapokea ripoti ya CAG Charles Kichere kwa ukaguzi wa hesabu za mwaka 2020/202. Shughuli hivo pevu itaanza saa 4 asubuhi. CAG ana machagua mawili tu,ama kuanika uozo wote wa awamu ya sita au kuchakachua kutaka kuonyesha mama anaupiga mwingi. Kama amenyofoa kurusa zenye...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM taifa, Daniel Chongolo afanya mazungumzo maalumu na Joel Nanauka

    KATIBU MKUU WA CCM TAIFA CDE DANIEL CHONGOLO AFANYA MAZUNGUMZO MAALUMU NA JOEL NANAUKA, DODOMA. 28.03.2022 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Cde Daniel Chongolo, Leo amekutana na Ndg Joel Nanauka na kufanya naye mazungumzo katika ofisi Kuu za CCM jijini Dodoma. Katika mazungumzo...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mkutano mkuu wa CCM Aprili 01, nini maana ya mkutano mkuu wa CCM na nguvu yake?

    Na Bwanku M Bwanku. Jumamosi Machi 12, 2022 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka alitangaza Uamuzi wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kujadili pendekezo la kuitishwa kwa Mkutano Mkuu wa CCM lililotolewa kwenye Kikao chake cha Desemba 18, 2021 na...
  13. BabaPrince

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta rafiki wa kike Dodoma. Nimekuwa mpweke sana

    Mimi ni kijana wa makamo, nimehamishiwa Dodoma kikazi, sasa nimejikuta nipo huku camp nje kabisa ya mji, nimekuwa mpweke sana maana huku tupo midume mitupu mpaka, Na ninavyojiona si muda mrefu nitaanza kuchekacheka mwenyewe hovyo maana nimekosa huduma kwa muda mrefu(jocking) naomba mdada...
  14. BabaPrince

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la usafiri toka Moshi kwenda Dodoma

    Nawasalimu wana jamii wenzangu. Nina tatizo la usafiri toka Moshi kwenda Dodoma. Kwa yeyote mwenye connection ya either Lori au gari yeyote ya kusafirisha mizigo ya nyumbani kama sofa, fridge vitanda nk. tafadhali nijulishe. Au ushauri wa njia bora mbadala ya kuhamisha mizigo pia nakaribisha...
  15. Wordsworth

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dodoma ni chafu!

    Jiji la Dodoma ni lichafu. Barabara zimejaa udongo na matope utafikiri hazijawekwa lami. Tope kama tuko shambani jamani. Mvua imenyesha kidogo maji yamekwama kwenye barabara hamna proper drainage system. Pembezoni mwa barabara hapajasakafiwa vizuri au kuoteshwa majani ili kuzitunza barabara...
  16. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia azindua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya Makao Makuu ya Jeshi la Magereza

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Msalato jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anazindua na kuweka mawe ya msingi kwenye miradi ya Makao Makuu ya...
  17. dubu

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Mikoa inayoongoza kwa Ukeketaji ni Manyara, Dodoma, Arusha, Mara na Singida

    Salaam Wakuu, UKEKETAJI NI NINI? Ukeketaji ni ukataji wa sehemu za siri za mwanamke. Ukataji huo unahusisha maeneo nyeti. Au ni kitendo chochote kinachojeruhi uke kutokana na sababu ambazo sio za kimatibabu. Ukeketaji unaumiza wanawake na wasichana kimaungo na kiakili na hakuna faida yoyote...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mariam Ditopile amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha sekta ya Afya katika Mkoa wa Dodoma

    DITOPILE :RAIS SAMIA AMEFANYA MAKUBWA MKOA WA DODOMA MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha sekta ya Afya katika Mkoa huo ambapo Vituo vya kutolea huduma za afya vimeongezeka kwa asilimia 20 ndani ya mwaka mmoja...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Dodoma

    Kiwanja kinauzwa Dodoma eneo makulu bei ni 15M kwa description za kiwanja 0755151642. Karibuni
  20. micky 00

    JamiiForums Tanzania Natufuta kazi (duka la dawa/ phamacy) Mbeya, Dodoma, Iringa na Singida

    Mimi nikijana wa miaka 23 nimesoma community health pia nimesoma addo dispensing Nina uzoefu wa kazi kwenye kuuza duka la dawa pia napiga kazi kweli Kwa sasa naitaji kazi mazingira hayo hapo tajwa. kama mtu ana connection ya kazi hayo maeneo naomba msaada tafazari ndugu zangu
Back
Top Bottom