dodoma

  1. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa Yanga SC mkiendelea Kuwasumbua hasa Wachezaji na Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC tutawatajeni ili Muumbuke

    Halafu TAKUKURU ( PCCB ) mbona mnakuwa Wapole hivi wakati kuna Klabu Moja tokea Juzi hadi Leo inahangaika kutaka Kuwahonga Wachezaji na Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji FC ili Jumapili waifunge na Wautulize Moto ambao Umeshawaka Klabuni Kwao. Kudadadeki zenu si mnajifanya mna Kikosi imara na...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Marie Stopes yatoa Elimu ya Afya ya Uzazi kwa Wanahabari na Wadau

    Shirika la Marie Stopes Tanzania (MST), limewakutanisha waandishi wa habari zaidi ya 33 pamoja na wadau wengine jijini Dodoma na kuwapa elimu ya afya ya uzazi na kuwaeleza shughuli zinazofanywa na shirika hilo hapa nchini. Waandishi hao pia walipata fursa ya kufahamu shughuli nyingine za...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa mbunge acha mara moja "kuuza" mechi ya Dodoma Jiji Vs Yanga

    Mheshimiwa Mbunge tunajua wewe ni mfia Yanga. Iache Yanga ipambane yenyewe badala ya wewe na uongozi wa Yanga kulazimisha mechi ichezwe nje ya uwanja. Unahangaika sana kutafuta connection ili Dodoma Jiji isiwafanye vibaya Utopolo wenzio. Tunajua hatuwezi kukufanya chochote ila huo sio...
  4. Mtapenda

    JamiiForums Tanzania Bora Mbeya ikawa makao makuu ya nchi kuliko Dodoma

    Nimefika dodoma toka juzi Hawachangamki Hwaongei Wala hawacheki Dodoma sio mji wa kibiashara Dodoma sio mji uliochangamka Dodoma kuna wagogo ambao hawajui shughuli yao maalumu ni ipi Dodoma hamna kitu Nimefika dodoma hamna sehemu ya starehe ambayo watu wanakosa seat za kukaa ata ukifika sa 6...
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Polisi mkoani Dodoma wapiga marufuku wanawake kupanda boda boda kwa kujibinua

    Mamlaka za polisi mkoani Dodoma zimepiga marufuku baadhi ya wanawake kupanda boda boda kwa mtindo wa kujibinua.
  6. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa wanawake Dodoma: Ni kosa kubwa sana kubinuka wakati umepanda Pikipiki😂

    Ni onyo kali sana kutoka Jeshi la Polisi Tanzania mkoani Dodoma. Je kuna athari yoyote ya kiusalama kama mteja akikaa kwa style hio ya kujibinua? inahatarisha usalama wake?
  7. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mkonze Dodoma jiji, barabara ya Iringa, tuna nguzo za REA huu mwaka wa pili zimesimamishwa ila hazina nyaya

    Kichwa cha habari chajieleza.. Huu mwaka wa pili tangu hizi nguzo zisimamishwe baada ya agizo la Hayati Magufuli alipopita kwenda ziarani Iringa.. Alisema haiwezekani anapita mjin halafu kuna giza tuwekewe umeme haraka sana. Nguzo zikawekwa alipofariki na umeme umefariki pia.. Sasa hivi...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TWAWEZA yawasilisha Matokeo ya Mpango wa 'KiuFunza' ambao umesaidia Wanafunzi 26,000

    Baada ya majaribio ya miaka mitatu, Twaweza, kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, wameonesha kuwa malipo ya fedha kwa walimu kulingana na utendaji (au malipo ya ufaulu) yanaweza kuchangia kuboresha stadi za...
  9. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Hivi Dodoma kuna Serikali? Kwanini maelekezo ya LATRA yapuuzwe?

    Juzi LATRA wametoa chati za nauli za mabasi ya mikoani na daladala ambazo zilipaswa kuanza tarehe 14/05/2022. Cha kushangaza nauli ya Dodoma mjini kwenda Bahi imepanda na kufikia shilingi 3000. Umbali ambao LATRA wamependekeza nauli ya 1900. Napenda kujua hivi Serikali ya mkoa wa dodoma...
  10. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dodoma imehamia wapi? Mbona Chako ni Chako sijawaona?

    Wakuu habari zenu, nasikitika sana kuona hali inavyo endelea jijini Dodoma, jana usiku nikajisogeza maeneo ya Chako ni Chako ili kuosha rungu, sijui imekuwaje, sijakuta waoshaji, nikaenda mitaa ya uhindini nikawakuta kama watano hivi ila sijaona subwoofer ikabidi niende maisha club, nako...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mungu akubariki kwa kuwaambia watanzania ukweli

    🤝🤝🤝
  12. Mtu Kwao

    JamiiForums Tanzania Ajira za utotoni zimekithiri Dodoma, Serikali iingilie kati

    Salaam... Nipo jijini Dodoma yapata mwezi wa 2 Sasa lakini Kuna jambo linanishangazaa na kunisikitisha sana. Hapa mjini ajira za utotoni zimekithiri sana. Ukienda kwenye migawa hasa ya uswahilini unakuta asilimia kubwa watoto ndio Wana hudumia Ukienda kwenye garage vilevile unakuta vitoto...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Maadhimisho ya Mei Mosi, Waliofukuzwa kwa vyeti feki kulipwa, ahadi ya Nyongeza ya Mishahara yatolewa, Unyanyasaji kazini wakemewa

    Tanzania inaungana na mataifa mengine katika kuazimisha siku hii ambayo itakuwa ni mara ya pili kwa Rais Samia Hassan kuwahutubia wafanyakazi baada ya kushika wadhifa huo. Rais Samia atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho haya huku wafanyakazi akisubiri kwa hamu hotuba yake kutokana na ahadi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile ashiriki katika Dua maalum aliyoiandaa ya kuliombea Taifa na Rais Samia

    MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amejumuika pamoja na viongozi wa Dini, Serikali, Chama Cha Mapinduzi na Wananchi mbalimbali katika Dua maalum aliyoiandaa ya kuliombea Taifa letu na Rais Samia Suluhu Hassan sambamba na kushiriki nao futari ya pamoja aliyoiandaa yeye...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Umoja Party hakijapata usajili wa muda. Anayetumia bendera, nembo au alama ya chama hicho anakiuka Sheria

    Marufuku mtu yoyote au taasisi kutumia jina, nembo, rangi na alama ya chama cha siasa cha "Umoja Party" hadi mchakato wa kupata usajili wa muda utakapokamilika.
  16. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Nimepanga kuhamia Dodoma, nitoke huku niliko.

    Heshima kwenu wakuu, Bila kupoteza muda, Mimi ni kijana wa miaka 27, kwa Sasa nipo kusini mwa nchi lakini siku za usoni natarajia kuhamia Dodoma ili nipambane mbali na nyumbani. Nimefanya maamuzi haya kwa kuzingatia Mambo mengi: Kwanza, Dodoma Kuna fursa nyingi za kiuchumi ambazo zimechagizwa...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Bungeni, Dodoma: Wazalishaji/Wasambazaji waelekezwa kushusha bei za bidhaa muhimu

    Serikali imeagiza Wazalishaji na Wasambazaji wa bidhaa muhimu kushusha mara moja bei za bidhaa zinazopandishwa pasipo kuendana na uhalisia wa Soko. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema hivi karibuni kumekuwepo na taarifa za uhaba na upandaji wa bei usioendana na uhalisia wa Soko kwenye bidhaa...
  18. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridhiano, 2022: Rais Samia asema Maendeleo hayafanywi na CCM na Rais pekee, aahidi ushirikiano na vyama vingine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefungua Mkutano wa Kitaifa wa Haki, Amani na Maridiano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo tarehe 05 Aprili, 2022 katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma. ========= Updates: RAIS SAMIA AMEELEZA HAYA: Binafsi...
  19. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa mizigo Mwanza - Dodoma

    Wakuu habari. Nina Shida ya usafiri wa mizigo yangu kidogo pamoja na mimi mwenyewe kutoka Mwanza kwenda Dodoma. Nikipata gari ya mizigo inayoenda Dodoma nitashukuru. Naomba connection
  20. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua ugawaji wa vitendea kazi kwa maafisa ugani kilimo. Asema Serikali imeongeza bajeti ya utafiti kutoka Tsh 7.35bn hadi 11bn

    Rais Samia Suluhu Hassan anazindua Ugawaji wa Vitendea kazi kwa Maafisa Ugani nchini ikiwemo Pikipiki 2,000, Vifaa vya Kupima afya ya Udongo (Soil agro scanner) 143, simu janja 384 na visanduku vya ufundi vya Maafisa Ugani 3,400. #TunaImaninaSamia #Hakunakinachosimama #KaziInaendelea. ------...
Back
Top Bottom