dodoma

  1. N

    JamiiForums Tanzania Stend ya Mabasi ya Magufuli Vs stendi mpya ya Dodoma

    Wadau, Kama mtumiaji wa mara kwa mara wa stendi hizi kuna mambo ambayo najiuliza kwamba hawa jamaa waliojenga stendi ya Magufuli imekuwaje wamejenga stendi ambayo sifa yake ni lile ghorofa tu lakini kwa ujumla wake haikidhi mahitaji ya abiria . Rais asingekubali kuizindua na jina lake...
  2. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Muonekano 'bab kubwa' wa barabara ya Jiji la Dodoma baada ya kukamilika

    Mwonekano wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilometa 112.3 ambayo Rais Samia Suluhu aliweka jiwe la msingi la ujenzi akiwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, jana Jumatano Februari 9, 2022. Katika ramani hiyo pia kuna eneo ambalo...
  3. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bado ninaisikia sauti ya Hayati Magufuli akiniambia kuhusu miradi na Dodoma kuwa Makao Makuu

    Rais Samia leo akiwa anaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa barabara za pete(ring road) jijini Dodoma amesema bado sauti ya mtangulizi wake hayati Magufuli anaisikia ikimtaka akamilishe miradi yote aliyoiacha, ikiwemo huo wa ujenzi wa barabara za ring roads zitakazowezesha kuipanga na...
  4. Mathias Raymond Nyakapala

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Shule inauzwa Dodoma

    SHULE INAUZWA DODOMA. -Eneo lina Ukubwa wa Heka 15. -Bei ni Milioni 500 tu(500,000,000) unaweza kulipa kwa Awamu pia na Mazungumzo yapo. -Shule inaunzwa iko Dodoma Wilaya ya Chamwino Km 7 toka Chamwino Ikulu. -Lakini pia pia sio mbali kutoka Mji wa Serikali. -Shule ina Majengo Manne na...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna biashara za mtandao nyingi zinafanyika hazilipi Kodi na hatuzijui. Mfumo wa Anwani utakapoingia, tutawajua

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kukosekana Mfumo wa uhakika wa utambuzi wa Wakazi na Makazi umepelekea athari nyingi kiuchumi, kiusalama na kijamii. Amesema manufaa ya Mifumo hiyo ya utambuzi ni mengi ikiwemo kuwezesha kufanyika Biashara Mtandao na kuimarisha usalama. Ameeleza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa jifunzeni kwa Anthony Mtaka wa Dodoma jinsi ya kufanya motisha kuinua elimu

    Elimu Dodoma ; - Uongozi wa Mkoa Umewazawadia kwa kuwalipia Ada ya miaka 2(Form Five na Form Six). Zawadi hii ni kwa wanafunzi wote waliofaulu mitihani ya kidato cha nne kwa kupata Daraja la Kwanza. Wavulana waliopata Pointi 7 ( Shule za Serikali) na Wasichana wote waliofaulu Daraja la...
  7. Shetemba

    JamiiForums Tanzania Wauza ndizi wagomea soko la Ndugai

    Ni kwamba toka jumanne wiki hii hakuna kitu kinachoitwa ndizi Dodoma. Wauza ndizi wamegoma kuhamia soko la Ndugai wanadai liko porini, waandishi wa habari kazi kwenu.
  8. data

    JamiiForums Tanzania Mwalimu auawa kikatili tena Dodoma wadau, hii inaogopesha

    Mwenye ripoti kamili ndugu zangu. Tuna shida. Tunahitaji uponyaji. Hii inaogopesha.
  9. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Dodoma linamwogopa Dogo Manda? Kuna nini nyuma ya Pazia?

    Miaka kama 20 iliyopita katika kijiji cha Chigongwe nje kidogo ya manispaa ya Dodoma, yalitokea mauaji ya mlinzi aliyekuwa akilinda yard ya kampuni ya Konoike kipindi kampuni hiyo inatengeneza barabara ya Dodoma - Singida - Mwanza. Inasemekana mlinzi huyo alipigwa mshale na watu waliodhaniwa...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya katiba yanukia: Mahakama kuanzisha Supreme Court, jengo limeshajengwa Dodoma

    Katika hotuba yake, Mtendaji Mkuu wa Mahakama ameelezea kwamba ujenzi wa jengo la supreme court unaendelea. Bila shaka muda wowote katiba itafanyiwa marekebisho ili kuijumuisha mahakama hii, ambayo itakuwa mahakama ya juu kabisa, kwa Sasa mahakama ya juu ni mahakama ya rufani(court of appeal)...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Watu 5 wa Familia moja wauawa

    Watu watano wa familia moja wameuawa na watu wasiojulikana katika eneo la Zanka wilayani Bahi mkoani Dodoma. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Onesmo Lyanga amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amebainisha kuwa Jeshi hilo linaendelea na uchunguzi juu ya tukio hilo. Chanzo: Radio One...
  12. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nani aliamuru jengo la bunge Dodoma kujengwa uswahilini

    Kila nikipita mbele ya ofisi za bunge Dodoma najiuliza nani alimuru lile jengo kujengwa pale. Hakuna parking ya kutosha, magari ya wabunge mengi huishia nje ya uzio Ni uswahilini hakuna utulivu huku wahuni wa Makole huku wanafunzi wa CBE na vurugu zao. Mapori yote ya Dodoma mkakosa kukamata...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mbivu na mbichi za Wagombea Uspika wa CCM kujulikana leo Januari 19, 2022

    Mchakato huo unaendelea pia kwenye Chama cha ADC ambacho ni kati ya vyama vya upinzani chenye mgombea, Maimuna Kassim, aliyejitokeza kuchukua fomu ya kuwania kiti hicho kilichoachwa wazi. Wateule ndani ya CCM watajulikana baada ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama hicho kupitisha majina...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Dodoma tumezidi kuonewa kwenye suala la ardhi

    Inauma mwananchi kudhulumiwa maeneo aliyoyaendeleza kabla ya uhuru Inashangaza maeneo ya Msalato, Kiterela watu waliokuwa wanamiliki mashamba ya asili kuporwa kwa kisingizio cha upangwaji Jijji. Mbona MZEE Magufuli eneo alilopitisha SGR Mtumba na alipojenga Mji wa Serikali aliwalipa pesa bila...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania EWURA Makao Makuu Dodoma wajifunza utapeli wa ajira hewa

    EWURA MAKAO MAKUU DODOMA WANATANGAZA. KAZI NA HAWAITO WATU KWENYE INTERVIEW MATOKEO YAKE WANAAJIRI KINYEMELA. Mfano ajira hii tangu itangazwe hadi leo Hakuna kinachoendelea ila unaweza Kukuta Nafasi hii ilishajazwa huku watanzania Salisbury kuitwa kwenye Interview. January Makamba upo...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua 'Logic behind' Ikulu mpya ya Dodoma kufanana Kiujenzi ( Kiramani ) na hii ya Dar es Salaam

    Kama tunajenga Ikulu hiyo hiyo kama ya Dar es Salaam nini maana ya Wasomi wetu hasa wa Ujenzi kuhimizwa zaidi Suala la Ubunifu ili Kupendezesha eneo na hata Mazingira pia? Nayasubiri tu majibu yenu Wapendwa.
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Afungwa miaka miwili kujifanya ofisa TRA

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Dodoma, imemhukumu mkazi wa Dar es Salaam, Kitareti Mahuti, kifungo cha miaka miwili jela na kulipa faini ya Sh. milioni mbili kwa kosa la kujifanya mtumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Hukumu hiyo ilitolewa Jumanne wiki hii na Hakimu Mkazi Aloyce...
  18. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai akutana na Rais Samia Ikulu Dodoma

    Rais Samia Suluhu baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Rais Samia kesho ana Kikao na Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Chamwino. Pia soma; Spika Job...
  19. Undava King

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae kukabidhi crown very soon akiwemo mbabe Mwanza ambaye so far bado anahold title la jiji kubwa after...
  20. nyboma

    JamiiForums Tanzania Usaili wa PCCB Dodoma umenikutanisha na Ex’s wangu kwa ufupi tu ukiona manyoya jua keshaliwa

    Baada ya jana kumpokea stendi kuu ya Dodoma na kumlipia lodge, akanipa tunda maana tuna miaka miwili hatujaonana na huyu Mama E. Asubuhi nikampeleka chuo cha Dodoma kwenye usaili, mchana nikamfuata nikampeleka Malaika Annex kula kuku wa kuchoma baadae nikampeleka room kwake akapumzike kidogo...
Back
Top Bottom