Serikali ya Iran yashtushwa kwa wingi wa Wairan kubadilika dini na kuwa Wakristo

Status
Not open for further replies.

The Stress Challengerr

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
2,478
6,763
Inakuwaje wanaJF!

Ni rahis sana kwa mkristo kuwa Muislam kuliko Muislam kuwa Mkristo kwasababu kwa wakristo wengi kuna uhuru na siyo kulazimishwa na hakuna kutishiwa kuuwawa kama kwa Waislam ulibadilisha dini.

Ndio maana kuna msemo wa wale waliobadilisha dini kutoka uislamu hadi Ukristo wanaitwa 'one in a billion'.

Serikali ya Iran imeshtushwa kwa wimbi kubwa la raia wake kubadilisha dini kutoka uislam na kumkubali Yesu kama Mungu wao. Kinachowashangaza ni jinsi gani hii kasi inaongezeka licha ya kubana Ukristo kila mahali na Ukristo ni uhalifu katika sheria za Iran.

Mkuu wa 'TISS' ya Iran Mahmood Alavi ameiita hii ni hatari na wale wote waliobadilisha wamekamatwa.

Pia wa Kurd kwa utitiri wanabadilisha dini kutoka uislamu na kumkubali Yesu ni Mungu wao. Pia baadhi yao wa narudi kuabudu dini ya miungu yao Zoroastrianism ambayo ilikuwepo kabla ya dini ya Kiislamu.

Linki hapo chini.

Iranian intelligence minister concerned with growth of Christianity; converts summoned

IN JESUS WE MUST TRUST. ( KATIKA YESU LAZIMA TUAMINI NARUDIA TENA LAZIMA TUAMINI)

JESUS FIRST JESUS FOREVER!
 
Kuna siku nilikua naangalia documentary you tube kuna mu Iran amekimbia nchi akawa ana migrate kwa njia za panya kwenda US kupitia Mexico anasema amekimbia kuuwawa Iran kisa amebadili dini amekua Mkristo.
 
KITU AMBACHO WENGI HAWAKIJUI NI KUAMINI KUWA MASHIA (raafidhwa) NI WAISLAAM
MASHIA AMBAO WAPO IRANI NA SEHEMU KIDOGO YA SYRIA NI TAMAAM MAKAFIRI WENZENU KWA HIYO SIONI CHA AJABU CHA KUSHANGAA
YAANI HAPO NI KAAFIRI ALIKUWA AMEJIFICHA SASA AKAJIWEKA WAZI.
Nitashangaa siku nikiisikia habari kama hiyo ikitokea
Saudi Arabia
Yemen
Lebanon
Palestine
Jordan
Bahrain
Iraq
U A E
Libya
Egypt
Somalia,
Lakin wenzenu wala hamna cha kushangilia
 
MTUME MUDY ALIKUWA ANAYAJUA HAYA???!!
 
Kwani yesu ni mungu?

Tuanzie hapo na weka ushahidi wamaneno yake sio ya petro au yako.

Umesahau pale alipokua analia nakusema mnataka kuniua mimi mtu?

du! Mungu alikua anakunya kama sisi
 
Sisi wa africa hizi dini tumedandia treni kwa mbele tu, utakuta jitu jeusi kama mimi eti linamuita mwanzake kafiri kisa tu linajua kuswali kwa kiarabu au utakuta jamaa jingine kwao ni Koromije huko lakini utalisikikia mimi ni mwana wa Israel, dah! Sijui nani alituroga sisi watu weusi
 
pain in the ass. Umia kimyakimya.

Cheki video hapo chini wa somali waliobadili dini na kumkubali Yesu Mungu wao. Kumbuka kureply na ulale na maumivu ya kimyakimya

Soma habari ya mleta mada bila kukurupuka kisha njoo ukoment tena, alisema " kuna wimbi la wa Persia kuritad " Wewe unaleta video za wasomali wawili.
haina maana kuwa hakuna Muslims wajinga ( wanaoritad) hata hapa tz ila
Sio kwa kiwango kilichosemwa hapo juu.
naona Dunia nzima mnashangilia kudhan Mashia ni waislam sasa idadi ya Makufari wanao silimu kwa mwaka haisemeki
Tena sio kutoka kwa Nyie masikini lah
ULAYA ( werevu)
 
KITU AMBACHO WENGI HAWAKIJUI NI KUAMINI KUWA MASHIA (raafidhwa) NI WAISLAAM
MASHIA AMBAO WAPO IRANI NA SEHEMU KIDOGO YA SYRIA NI TAMAAM MAKAFIRI WENZENU KWA HIYO SIONI CHA AJABU CHA KUSHANGAA
YAANI HAPO NI KAAFIRI ALIKUWA AMEJIFICHA SASA AKAJIWEKA WAZI.
Nitashangaa siku nikiisikia habari kama hiyo ikitokea
Saudi Arabia
Yemen
Lebanon
Palestine
Jordan
Bahrain
Iraq
U A E
Libya
Egypt
Somalia,

Lakin wenzenu wala hamna cha kushangilia

Tuanze na hii kwanza ili ujue si mtu mmoja anayefunuliwa Kweli. Kimbia wewe acha kuabudu mashetani utakwenda motoni!.

Look here

JESUS IS LORD!. HE IS THE MESSIAH NO MATTER WHAT THE DEVIL AND ITS AGENTS INCLUDING YOU SHALL EVER OVERCOME JESUS!.

Wenye ufahamu wanakimbia kwa kuwa wanajua nini walichokuwa wanakiabudu!. Umebaki wewe!.
 
Propaganda tu,iran pia ina wakristo toka zamani,tambua iran imekuwa karibu na nchi za magharibi kwa mda mrefu be mpaka 1979,kwahiyo ni wazi kuwa walikuwepo christian na nyumba za ibada zao,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom