Wale wabishi wajue tu kwamba ukipata Corona unawekwa sehemu ya kutengwa na kupewa chakula.
Hapo ni wewe na Mungu wako wale viongozi wa dini ambao walikwambia usiache kwenda kule kusaliwa watakushauri ujiombee mwenyewe, wale manabii hawatakuja kukuona wale mashehe wa mskitini watakukimbia kama...
Leo ndiyo siku ya kwanza ambayo Rais Magufuli amewaomba viongozi wa dini nchini kote pamoja na waumini wao, wamliiie Mungu wetu ili atuondolee na autokomeze kabisa ugonjwa huu hatari wa Corona unaosumbua duniani kote
Wito huo sisi waumini wa dini mbalimbali tunaupokea kwa moyo mkunjufu na...
Poleni na majukumu ya hapa na pale sasa na kale yanayowafanya msilale, niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Kama kweli maombi yanafanya kazi kwa namna ambayo tunaaminishwa, kwanini viongozi wa dini wameungana kutekeleza agizo la kuvunja mirundikano ikiwemo mijumuiko ya kiibada ili kuikwepa...
Hivi ndivyo ninavyoweza kusema kuhusu wadanganyika kwani ni watu ambao ubinafsi umewatawala kwa kiwango kikubwa ambapo karibu kila mtu anaangalia masilahi yake bila kujali ni watu wangapi waanathirika au kuumia na jambo fulani ambalo yeye analitetea au kuliunga mkono kisa tu yeye anafaidika hata...
Wakuu nawasalim,
Ni dhahiri kwa sasa kila pande ya dunia ugonjwa wa corona madhara yake yamekuwa makubwa zaidi na kila nchi inajaribu kupambana kwa uwezo wake wote ilimradi tu kuuondoa au kupunguza madhara ya huu ugonjwa.
Idadi ya vifo ni vingi zaidi, licha yakuwa taarifa zinazotolewa na...
Sikia kwa makini
Dini uliyonayo ni ujinga
Usijivunie dini
Dini ni udanganyifu
Dini ni upotofu
Dini ndio inakuzuia kufanikiwa
Dini ndio imefunga Afrika kuendelea
Dini inatumiwa na wanasiasa kama mwamvuli
Dini ni takataka kama zingine
Aliyoandika biblia ndiye aliyekuja kuipinga
Aliyeandikwa...
CCM imekuwa na utamaduni usio wa kikatiba wa kuwepo zamu za kugombea urais wa nchi kwa misingi ya dini na kanda. Wakati wa mfumo wa chama kimoja utaratibu huu ulikuwa muafaka lakini katika mfumo wa vyama vingi zamu za kidini na kikanda zimepitwa na wakati.
Nitoe tu angalizo kwa Dr Kigwangalla...
Ukituhumiwa kuua mtu, (au kumnyang'anya mtu haki yake ya kuishi) tunategemea utafikishwa mahakamani na kujibu mashataka ya kosa la kuua. Inawezekana kabisa, hukumu ya kesi yako ikawa ni kuachiwa huru kwa kuwa katika ushahidi uliotolewa ulionyesha labda ulisingiziwa, au uliua kwa kujitetea maisha...
Waumini 18 wa Dini ya Kikristo wamefariki dunia usiku huu mjini Moshi, wakati wakikanyagana kugombea kukanyaga mafuta ya upako katika kongamano la kidini la Mtume Boniface Mwamposa, DC wa Moshi Kippi Warioba amethibitisha
Updates: 00:45
Idadi ya watu waliopoteza maisha kwa kukanyagana imefikia...
NAAMINI BADO WOTE TUNAAMINI MUNGU TUNAPOWEZA KUITA VIBANDA DINI NAWAZA YAFUATAYO
1))NANI ALIERUHUSU USAJILI WA HII VIBANDA DINI
2))KWENYE MKUTANO WA SIASA SIKUZOTE TUNAONA GARI ZA WAH NDUGU ZETU POLISI JE SHIDA IKO WAPI WASIONEAKNE KWENYE HIO MIKUTANO
3))NANI ALIETOA KIBALIA CHA KONGAMANO LA...
Siku zote dhamira ndio uhai na kioo cha nafsi ya mtu. Ndio maana dhamira ikifa mtu hugeuka kuwa kama mnyama.
Dhamira ndio mizania aliyotuwekea Mungu kupima mema na mabaya.
KABUDI wakati anaongea ikulu kwenye kutiliana saini na twiga company alisema dhamira yake ilimuambia ajiuzulu. Na alifikia...
Chama cha Wanasheria wa Kike Visiwani Zanzibar [Zanzibar Female Lawyers Association (ZAFELA)] kimeandaa chapisho linalozungumzia Haki za Mwanamke linaloitwa "Haki za Mwanamke kwa Mujibu wa Qur'an na Sunnah za Mtume (S.AW)"
Katika chapisho hilo, inaelezwa kuwa Uislamu umetoa umuhimu kwa binadamu...
Pamoja na changamoto mbali mbali za dini ya kiislamu. Baada ya kuchunguza sana nimegundua katika ndoa na mfumo wake ni Ndoa bora zaidi kuliko za Kikristo .
Kama ningeweka katika % basi Ndoa za Kiislamu ni 90% ubora na za Kikristo ni kama 40%
Kwa nini nasema hivi?
Kwanza mimi ni mkristo na...
Alfajiri ya tarehe 1, tulikuwa tumepanga safari ya kwenda nje ya nchi mimi na mke wangu, maandalizi yote ya safari yalikamilika vizuri na tulitarajia kusafiri pamoja na mtoto wetu kipenzi.
Tulikuwa tumepanga kwenda nchini Ugiriki katika mji wa Thessaloniki kwaajili ya mapumziko kupisha vuguvugu...
Viongozi wa dini katika nchi yetu tunaelekea katika uchaguzi mkuu wa 2020.
Wanasiasa wameshaanza kujipitisha pitisha kwenye nyumba za ibada na kujifanya ni watu wema Sana na kwamba huu ni wakati wa kuwa wamoja na kuongeza upendo.
Inasikitisha kuona kwamba kwa kipindi Cha miaka minne taifa...
Aman iwe nanyi wakuu
Kwa kweli inchi yetu inaelekea shimoni aisee
Rais anapewa sifa za Kimungu na hakemei
Hakuna hata kiongozi mmoja wa dini ambaye kajitokeza na kukemea
Ni kweli Rais anachapa kazi lakini siyo kwa sifa hizi anazopewa
Nahofia siku moja mwenyezi atatupiga upupu kwa ushenzi wa...
Rais Magufuli amewataka watanzania wapendane na kuacha kubaguana kwa misingi ya ukabila, dini au itikadi za kisiasa.
Dr Magufuli ameyasema hayo wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la Kigongo - Busisi jimboni Misungwi mkoani Mwanza.
Kadhalika Rais Magufuli amewapongeza wanaccm wa...
Kitabu cha dini ya kikristo yaani Bible kinatumika Sana katika Siasa za kila MTU anaukuhimu na mawazo yako yatatawala MILELE.. kwakuwa Leo ni siku ya jumapili ni Bora tujibonyeze kwenye kitabu cha Hesabu tukamsome Simon na population yake ambapo aliamua kuwapeleka vijana wake vitani ili kuondoa...
Nijuavyo mimi, viongozi wa dini wan nafasi kubwa sana katika kusimamia viongozi wa nchi. Zamani wafalme walikuwa hawaendi vitani bila kuuliza ruhusa toka kwa makuani/manabii. Kiongozi wa dini walikuwa na mamlaka ya kukemea wafalme pale walipoenda/tenda kinyume na kusudio la Mungu.
Kwa kipindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.