dini

  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kabudi ungeisikiliza dhamira yako sasa viongozi wako wa dini wamekuingiza cha kike

    Siku zote dhamira ndio uhai na kioo cha nafsi ya mtu. Ndio maana dhamira ikifa mtu hugeuka kuwa kama mnyama. Dhamira ndio mizania aliyotuwekea Mungu kupima mema na mabaya. KABUDI wakati anaongea ikulu kwenye kutiliana saini na twiga company alisema dhamira yake ilimuambia ajiuzulu. Na alifikia...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dini ya Kiislamu na usawa kwa Mwanaume na Mwanamke: Haki ya Mwanamke katika Elimu | Haki ya kutafuta Elimu

    Chama cha Wanasheria wa Kike Visiwani Zanzibar [Zanzibar Female Lawyers Association (ZAFELA)] kimeandaa chapisho linalozungumzia Haki za Mwanamke linaloitwa "Haki za Mwanamke kwa Mujibu wa Qur'an na Sunnah za Mtume (S.AW)" Katika chapisho hilo, inaelezwa kuwa Uislamu umetoa umuhimu kwa binadamu...
  3. malisoka

    JamiiForums Tanzania Natamani sana Ndoa za dini ya Kiislamu " Its the best marriage Ever"

    Pamoja na changamoto mbali mbali za dini ya kiislamu. Baada ya kuchunguza sana nimegundua katika ndoa na mfumo wake ni Ndoa bora zaidi kuliko za Kikristo . Kama ningeweka katika % basi Ndoa za Kiislamu ni 90% ubora na za Kikristo ni kama 40% Kwa nini nasema hivi? Kwanza mimi ni mkristo na...
  4. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Hadithi: Bila Passport Mtoto Hataingia Nchini

    Alfajiri ya tarehe 1, tulikuwa tumepanga safari ya kwenda nje ya nchi mimi na mke wangu, maandalizi yote ya safari yalikamilika vizuri na tulitarajia kusafiri pamoja na mtoto wetu kipenzi. Tulikuwa tumepanga kwenda nchini Ugiriki katika mji wa Thessaloniki kwaajili ya mapumziko kupisha vuguvugu...
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania GE2020 Viongozi wa dini na siasa za Tanzania

    Viongozi wa dini katika nchi yetu tunaelekea katika uchaguzi mkuu wa 2020. Wanasiasa wameshaanza kujipitisha pitisha kwenye nyumba za ibada na kujifanya ni watu wema Sana na kwamba huu ni wakati wa kuwa wamoja na kuongeza upendo. Inasikitisha kuona kwamba kwa kipindi Cha miaka minne taifa...
  6. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Haipendezi mwanadamu kupewa sifa za KIMUNGU, imetosha sasa Magufuli kumfananisha na MUNGU

    Aman iwe nanyi wakuu Kwa kweli inchi yetu inaelekea shimoni aisee Rais anapewa sifa za Kimungu na hakemei Hakuna hata kiongozi mmoja wa dini ambaye kajitokeza na kukemea Ni kweli Rais anachapa kazi lakini siyo kwa sifa hizi anazopewa Nahofia siku moja mwenyezi atatupiga upupu kwa ushenzi wa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sisi watanzania ni Wamoja tusibaguane kwa makabila, dini na siasa awapongeza CCM na kusema Wapinzani wanaisoma namba

    Rais Magufuli amewataka watanzania wapendane na kuacha kubaguana kwa misingi ya ukabila, dini au itikadi za kisiasa. Dr Magufuli ameyasema hayo wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja la Kigongo - Busisi jimboni Misungwi mkoani Mwanza. Kadhalika Rais Magufuli amewapongeza wanaccm wa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Siasa za Dini: Neno la bwana ni kitabu cha Hesabu kinachotoa project ya Kufanya KAZI pamoja katika kuondoa Siasa Ngumu

    Kitabu cha dini ya kikristo yaani Bible kinatumika Sana katika Siasa za kila MTU anaukuhimu na mawazo yako yatatawala MILELE.. kwakuwa Leo ni siku ya jumapili ni Bora tujibonyeze kwenye kitabu cha Hesabu tukamsome Simon na population yake ambapo aliamua kuwapeleka vijana wake vitani ili kuondoa...
  9. Ulimbo

    JamiiForums Tanzania Ni ipi nafasi ya viongozi wa dini katika katika mstakabali wa amani ya nchi?

    Nijuavyo mimi, viongozi wa dini wan nafasi kubwa sana katika kusimamia viongozi wa nchi. Zamani wafalme walikuwa hawaendi vitani bila kuuliza ruhusa toka kwa makuani/manabii. Kiongozi wa dini walikuwa na mamlaka ya kukemea wafalme pale walipoenda/tenda kinyume na kusudio la Mungu. Kwa kipindi...
  10. Abdalah Abdulrahman

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini na utawala wa Dr John Magufuli

    Viongozi wa dini zote wanalojukumu kubwa la kujenga mioyo ya wanachi kwa kutekeleza yale Mungu anayoyataka na kuya acha yale Mungu anayokataza. Hili linathibitika katika dini ya Kiislamu tunapo ambiwa katika Quar-an takatifu kuwa litoke kundi miongoni mwenu litakalowaamrisha watu mema na...
  11. the truecaller

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wameamua kutuonesha njia sahihi

    Nimetoka kule tweeter,nilichokiona ni mashambulizi lukuki toka kwenye huu upande wa pili. Wamejaa sumu kupita kiasi dhidi ya viongozi wetu wa dini hasa maaskofu wetu na ni dhahiri kwamba wapinzani wa kitanzania hawaheshimu uhuru wa mawazo tofauti na wanayotaka wao kuyasikia. Ukiwasifia...
  12. Ringo Malisa

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mkoa wa Dar ataka viongozi wa dini kutoa azimio kumuunga mkono Magufuli

    Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum amewataka viongozi wa dini kutoa azimio la kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Rais wa Tanzania, John Magufuli. Amesema miaka minne tangu Magufuli alipoapishwa kuwa Rais amefanya mambo makubwa ambayo hawakuyategemea. Ametoa kauli hiyo leo...
  13. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Rai yangu kwa waumini: Kauli za viongozi wetu wa dini tuchanganye na akili zetu

    Wasalaam, Leo viongozi wetu wa dini wametoa maono hatujui kama yametoka kwa mungu au kwa shetani kikubwa ni ushauri waliotupatia watanzania kwamba tuwapuuze vyama vya upinzani hasa vile 7 vilivyosusia uchaguzi wa Nov 24 na kwamba tukapige kura kwa wingi kuipigia CCM ili hali CCM wenyewe...
  14. Mfalme wa Genge

    JamiiForums Tanzania Tuache kuwasakama viongozi wetu wa dini

    Imekuwa ni kawaida sana kwa viongozi wetu wa dini kutuhamasisha kutumia haki zetu kama raia wa Tanzania kushiriki katika chaguzi mbalimbali kuanzia kujiandikisha kupiga kura na hata kuchagua viongozi tunaowataka. Wakati wa zoezi la kujiandikisha kupiga viongozi hawa wa dini walituhamasisha...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda akutana na Viongozi wa madhehebu na Taasisi za dini, asema anayoyafanya Rais Magufuli yanazidi maelekezo ya ilani ya CCM

    Ni katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere. Karibu! Kardinali Pengo na Sheikh wa mkoa kwa niaba ya Mufti wanauombea mkutano huo. Sasa viongozi wa dini wanaangalia mkanda wa video unaomuonyesha RC Makonda akitolea ufafanuzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo. ====== Mkuu wa Mkoa wa Dar...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Nakalema awataka viongozi wa dini wasaidie katika mapambano dhidi ya rushwa Uganda

    Kiongozi mkuu wa Taasisi ya kupambana na Rushwa Uganda Bi. Edith Nakalema amewaomba viongozi wa dini kusaidia katika harakati za kukemea rushwa nchini Uganda. Kiongozi huyo akiwa amehudhuria ibada ya Jumapili katika kanisa la Mtakatifu Paulo lililopo Mulango Jijini Kampala, amesisitiza kuwa...
  17. Mystery

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuvurugika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ni kwanini Waziri Jafo hajiuzulu?

    Kila kona unayotembelea ndani ya nchi hii, hakuna habari nyingine unayokutana nayo, bali ni malalamiko ya vyama vya upinzani, kufanyiwa hila katika zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa, kwa kuenguliwa wagombea wake kugombea katika uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika hapa nchini, tarehe 24...
  18. Influenza

    JamiiForums Tanzania Wazee, Viongozi wa dini washauriwa kutumia nafasi zao

    Kuelekea uchaguzi serikali za Mitaa mwaka na Uchaguzi mkuu mwakani, Wazee na Viongozi wa Dini watakiwa kutumia nafasi zao katika jamii ili wapatikane Viongozi bora kwa lengo la Maendeleo ya Taifa. Hata hivyo wazee hao wamesema Wananchi wamekuwa wakikata tamaa kutokana michakato ambayo imekuwa...
  19. bahati93

    JamiiForums Tanzania Napinga kibali cha Papa kwa Mapadre

    Habari za kushinda. Hapa majuzi nimesika Habari iliyonifanya kushtuka sana kimawazo juu ya huko tunakoelekea. Habari yenyewe ilikuwa ni juu ya papa wa roma kutoa kibali kwa mapadre wa jamii moja huko amerika kusini kuoa na kuzaa watoto. Ni habari inashtusha sana endapo itaendelea kutokea katika...
  20. BJBM

    JamiiForums Tanzania Hii nyimbo ya dini inaitwaje?!

    Salamu wanajukwaa! Natafuta jina la wimbo unaoanza dakika ya 0:07
Back
Top Bottom