Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 930
- 1,408
Siku chache zilizopita mlifanya kongamano la kuliombea taifa kuingia katika uchaguzi mkuu. Mlisisitiza amani, amani, amani. Haya yanayoendelea hamyaoni?
Wagombea ubunge na udiwani kupitia upinzani hasa CHADEMA wameenguliwa katika majimbo zaidi ya 20 kwa uonevu huku tume ya uchaguzi ikikaa kimya.
Baadhi ya polisi nao wanasaidia kufanikisha mpango huu mchafu ni amani gani inayoweza kupatikana bila haki? Mungu uliyehai, Mungu wa kweli nakuomba watu wa namna hiyo uwachukue waje Mbinguni wakae upande wa kuume kwako?
Kinachoendelea sasa Tanzania ni uchafuzi wa uchaguzi.