Siku ya Wanawake Duniani: Diamond awatumia ujumbe mzito Wema, Zari, Hamisa na Tanasha

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
10,560
2,000
Screenshot_20200308-163425.png
Screenshot_20200308-163445.png

===================

Leo nimeona nitumie haki yangu ya kikatiba ya uhuru wa kutoa maoni.

Nitangulie kwa kukumbusha kama tujuavyo mapenzi ya kweli ni ngumu sana kuyahamisha toka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine hivyo basi inapotokea watu wakapendana kwa dhati ni kuwaombea wafike hatua ya kuoana na kuishi pamoja, yaani ni kama shabiki wa timu ya mpira ambapo hata akisema naihama timu lakini bado moyo wake utakuwa kwenye timu yake ya mwanzo.

Vijana Diamond & Wema ni majina makubwa na brands kali sana hapa nchini. Hawa walipendana kwa dhati lakini hawakufanikiwa kufika mbali kutokana na sababu mbalimbali lakini sababu inayotajwa zaidi ni tabia zisizofaa kati yao. Kila mmoja alikuwa macho juu.

Alicho-post Diamond Siku wa Wanawake Duniani

View attachment 1381859

Nimeamua niseme sio vibaya wakiona inafaa wasione haya kurudiana na waanzie pale walipoishia.

Hawa vijana kiukweli wanateseka nafsini kila mmoja kwa style yake. Post ya leo ya diamond kwa siku ya wanawake ni ushahidi usiotia shaka kwamba wawili hawa bado nafsi zao hazijatengana. Ninyi mna maoni gani?
 
yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
4,625
2,000
kasahaulika yule mrembo wakuitwa akiba anaesifiwa daily kwa uzuri na diva
 
diranqhe

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
889
1,000
Leo nimeona nitumie haki yangu ya kikatiba ya uhuru wa kutoa maoni.

Nitangulie kwa kukumbusha kama tujuavyo mapenzi ya kweli ni ngumu sana kuyahamisha toka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine hivyo basi inapotokea watu wakapendana kwa dhati ni kuwaombea wafike hatua ya kuoana na kuishi pamoja, yaani ni kama shabiki wa timu ya mpira ambapo hata akisema naihama timu lakini bado moyo wake utakuwa kwenye timu yake ya mwanzo.

Vijana Diamond & Wema ni majina makubwa na brands kali sana hapa nchini. Hawa walipendana kwa dhati lakini hawakufanikiwa kufika mbali kutokana na sababu mbalimbali lakini sababu inayotajwa zaidi ni tabia zisizofaa kati yao. Kila mmoja alikuwa macho juu.

Alicho-post Diamond Siku wa Wanawake Duniani

5EEDF712-81C1-4621-975A-132659421F72.jpeg

Nimeamua niseme sio vibaya wakiona inafaa wasione haya kurudiana na waanzie pale walipoishia.

Hawa vijana kiukweli wanateseka nafsini kila mmoja kwa style yake. Post ya leo ya diamond kwa siku ya wanawake ni ushahidi usiotia shaka kwamba wawili hawa bado nafsi zao hazijatengana. Ninyi mna maoni gani?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom