Kilichovunja ndoa ya Diamond na Tanasha ni hiki

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Ni malaika slt, binti kutoka Australia, Mond alipagawa akafa video vixen wa jeje
 
Mwanaume ukiwa na Pesa na umaarufu + mvuto ni ngumu kubaki na mwanamke mmoja , Mfalme Daudi na maombi yote lakn bado mambo yalimwendea ovyo , unaweza ukawa na demu mkali kabisa ukaamin hapo ndo umefika Ila akipita demu mwingine anatikisa wezere unastukia kitu kimesimama kinamtaka daaah.....
 
Back
Top Bottom