Diamond Platnumz ulichomfanyia Stonebwoy kwenye Black Madonna ni unyama. Sio kwa kumfunika huku

Dong Jin

JF-Expert Member
Jun 4, 2018
754
1,442
Kama wewe ni msanii na una mpango wa kutoa wimbo ukamshirikisha huyu kijana wa Tandale inabidi ujiandae vya kutosha. Zaidi ya hapo mwachie tu wimbo uwe wake tu kama alivofanya Innos' B na Yope Remix

Hii Black Madonna Stonebwoy ndo anaonekama kama kashirikishwa wakati ni wimbo wake

Nimeshindwa kuupandisha hapa unagoma. Ila naamini wenye ujuzi wataupakia tu

Nimeisikia hiyo ngoma Instagram alichofanya diamond Ni unyama wa Hali ya juu mtoto wa Tandale kachanganya kizungu na kiswahili.
 
Write your reply...kiba hataki kufanya kolabo na wasanii wa nje sababu hapendagi show off yaani kama unajua unajua tu jamaa ni balaa

ndo maana jay z alimsifia ye ni balaa sema hakutaka watu wajue
 
Wimbo wa kawaida tu,diamond amekuwa wa kawaida sana ashaishiwa na ubunifu popularity tu ndo inambeba

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Pia nauona wa kawaida tu. Stye ile ile hamu ya kuurudia sina.
 
Mkuu huo wimbo huwezi kuurudia kusikiliza,ameshuka sana si kama mwanzo nahisi sasa hivi pale WCB hana combination nzuri wa kushauriana tangu Harmonize atoke,kilichombeba sana ni remix na wasanii wanaojua,nadhani kimziki anaanza kutoka kwenye pick labda aje na kitu kipya au style tofauti
Pia nauona wa kawaida tu. Stye ile ile hamu ya kuurudia sina.

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Kwaiyo kwa uwezo wako wa kufikiri una taka kusema harmonize ndo ana waandikia nyimbo au..na adi sasa harmonize kaandika ngoma gani ya kutisha
Mkuu huo wimbo huwezi kuurudia kusikiliza,ameshuka sana si kama mwanzo nahisi sasa hivi pale WCB hana combination nzuri wa kushauriana tangu Harmonize atoke,kilichombeba sana ni remix na wasanii wanaojua,nadhani kimziki anaanza kutoka kwenye pick labda aje na kitu kipya au style tofauti

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Kwanini mondi afifie baada ya harmonize kutoka?
Kwaiyo kwa uwezo wako wa kufikiri una taka kusema harmonize ndo ana waandikia nyimbo au..na adi sasa harmonize kaandika ngoma gani ya kutisha

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Write your reply...kiba hataki kufanya kolabo na wasanii wa nje sababu hapendagi show off yaani kama unajua unajua tu jamaa ni balaa

ndo maana jay z alimsifia ye ni balaa sema hakutaka watu wajue
Hana pesa za colabo we mtafute davido afu mwambie nataka tutor ngoma utaambiwa weka chin million 500 sasa kibamia ataitoa wap
 
Anafunikaga nyimbo nyingi sn anazoshirikishwa mifano ipo mingi sn...
WATORA MARI, GERE, NYEGEZI, YOPE, KWANGWARU,...Hizi nyimbo utadhani za kqake.....
Ila hii ya stonebwoy sio kabisa ni ya kawaida sana.....
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom