mbutamaseko
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 735
- 1,050
Ukifuatilia kwa makini utagundua tu hili. Tazama mashairi ya wimbo kama I miss u wa Diamond unauona kabisa uandishi wa Harmo. Cheki na nyimbo zingine kabla ya harmo kuondoka! Leo unakuja kuimbiwa wimbo kama gere melody mbaya, mashairi ya kawaida sana na ndio maana ulidumu kwa Sikh tatu tu.
Angalia wimbo wa JEJE haya Monday mwenyewe hajui maana ya jeje. Ndani ya wimbo jamaa anamini kuimba matusi ndio kunam bust mashairi ya kitoto sana hayana maneno ya kumfikirisha mtu. Ludi kwenye nyimbo kama baba lao au kanyaga. Yaani mashairi ya kawaida sana sema wanayaforce masikio ya watu kuyasikiliza kwa muda mrefu dakika za mwisho zinaishia kuwa nyimbo za watoto....
Nahisi uwepo wa Tembo pale ulikuwa na msaada mkubwa sana kwa Mondy kiuandishi. Na ndio maana haya huyu Zuchi katoka kikawaida sana, kakosa mwandishi japo ni mkali sana wa kuimba.
Amino nakwambia kama harmo angekuwa bado yuko pale Zuchi angetoboa mapema sana ila kwa sasa itabidi itumike nguvu kubwa sana kama iliyotumika kwa Mboso alafu watu wanakuja kumuelewa baadae.
Povu ruksa ila tazama kwa jicho la Muziki utaona.