Jeje ya Diamond Hadi sasa ipo 1 on trending

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,583
18,915
Wimbo wa diamond imeendelea kuwa no 1 on trending YouTube Ina wiki 1 tokea itoke. Ngoma za darassa,Nandy pamoja na aslay zimeshindwa kufika no 1 ngoma zote hizo zimetoka kipindi kimoja na ngoma ya jeje.

Ukiachana na Hilo ngoma ya jeje imefanikiwa kuchezwa na media kubwa za kimataifa Kama MTV Brasil, MTV france, MTV baseeast, Soundcity na MTV germany.pia imeshika number 1 ya kudownloadiwa Sana kwenye Top 100 African song on boomplay.Hadi sasa wimbo wa jeje una viewers mil 4.3 lakini pia diamond amefanikiwa kuongeza followers laki 1+ kwenye account yake ya Instagram tokea wimbo huo utoke na sasa amefikisha followers mil 8.8
 
Hayo mafanikio yanakusaidia nini wewe?

Yanachangia nini kwenye pato lako la kila siku..?

Oops!

Grow up....!

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Video napenda tu kale kabinti kanavyocheza ila wimbo sijauelewa kiivyo!
 
Back
Top Bottom