Uwezekano wa Diamond Platnumz kuendelea kuishi na Tanasha ni Mkubwa sana

Brightg

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
373
660
Wengi huwa nawaambia ukiona mtu na demu wake au mke wanagombana usiingilie kwa kumchamba au kumsema vibaye mwingine au kumuelekeza chuki dhidi ya mmoja no uta ahibika, lazima tuishi kwa kuwaelewa na kuwaombea ipo siku watarudiana.

Niliwahi kwenda kuamua ugomvi wa binam na mumewe nikamlazimisha waachane na arudi nyumbani tukaondoka, badae asubuhi mdada aliamka na kwenda kwa mumewe wakaendelea na maisha ilikuwa ngumu sana kwangu, niseme kwamba Diamond na Tanasha watakuwa walitofautiana kwa kitu kidogo sana ni kitu cha kawaida wote bado wadogo hizi hasira huwa zipo tu.

Hawa wawili watarudiana hivi karibuni. swala la muda tu
 
wapambane na hali zaooo...mi yangu yananishinda huku...nini kushupalia ya wengine
 
Mahawala hawaachani kwani "hawala hana talaka ukimtaka unampata"-Prof Jay.

Mwisho wa siku watajua wenyewe.
 
Bongo fleva imeanza kuimbwa kizungu, "Di make me I go dieee". Tutaelewana tu humo humo
 
Kwahiyo unatakeje mkuu?
Wengi huwa nawaambia ukiona mtu na demu wake au mke wanagombana usiingilie kwa kumchamba au kumsema vibaye mwingine au kumuelekeza chuki dhidi ya mmoja no uta ahibika, lazima tuishi kwa kuwaelewa na kuwaombea ipo siku watarudiana.

Niliwahi kwenda kuamua ugomvi wa binam na mumewe nikamlazimisha waachane na arudi nyumbani tukaondoka, badae asubuhi mdada aliamka na kwenda kwa mumewe wakaendelea na maisha ilikuwa ngumu sana kwangu, niseme kwamba Diamond na Tanasha watakuwa walitofautiana kwa kitu kidogo sana ni kitu cha kawaida wote bado wadogo hizi hasira huwa zipo tu.

Hawa wawili watarudiana hivi karibuni. swala la muda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noma sana mkuu hii album imenishangaza, hawa jamaa wawe wanatafuta watu wa kuwaandikia nyimbo za kiingereza.

We acha tu kaka. Hawa jamaa hawajui kwamba kuimba ni kipaji na uandishi wa nyimbo ni kipaji kingine.
 
Noma sana mkuu hii album imenishangaza, hawa jamaa wawe wanatafuta watu wa kuwaandikia nyimbo za kiingereza.
my baby tomato sweet like mangoooo kutwa nipo macho i wanna be ya jangooo ioooh.
Konde muzungu
Konde white
Pongezi kwa sarah
 
Nikajua una ushahidi kumbe ni hisia zako na binamu yako ulivyoingilia ugomvi wao
 
Uzi wa kipuuzi kweli.Lete mambo yenye tija tumsaidie Rais wetu kujenga nchi.Achana na mambo ya nyunchi.Bucha tofauti nyama ni ile ile.

Dogo acha ujinga sana wewe.

Back
Top Bottom