Hadi kufikia Alhamisi Septemba 29, 2022, Shirika la Kimataifa la Kutetea Waandishi wa habari (CPJ) limerekodi kukamatwa kwa waandishi wa habari wasiopungua 28 nchini Iran wakati wa maandamano ya nchi nzima kupinga kifo cha Mahsa Amini.
Mapema wiki hii, CPJ ilitoa wito kwa mamlaka za Iran...
Utafiti wa Taasisi ya Utafiti REPOA unaonesha Watanzania wana hofu ya kukosa huduma muhimu za kijamii endapo watamchagua kiongozi yeyote kutoka vyama vya upinzani.
Utafiti huo umeonesha kuwa asilimia 88 ya wananchi waliohojiwa walisema hawapo tayari kuandamana kuishinikiza Serikali kuwapatia...
Alipoulizwa kwa nini serikali yake inapunguza kodi wakati huu wa kindumbwendumbwe cha uchumi kote duniani, Liz Truss, Waziri Mkuu wa Uingereza alisema: ' We want people to keep more of the money they earn, so they can have more control over their lives and invest'
Tunataka watu wasalie na kiasi...
Hatua ya serikali kutoza tozo kama njia ya kuongeza mapato yake ili kutoa huduma kwa wananchi ambao wanadai hiki na kile, imepokelewa kwa kiasi kikubwa kwa kukataliwa ikiwemo na wabubge wenyewe waliopitisha sheria hizo.
Wakati upingaji huu unatokoea na kuendelea, wanaopinga wanakubali tozo toka...
Kumekuwa na kasumba mbaya ya kuwabagua watu wenye ulemavu kazini. Ubaguzi unaweza kufanywa na waajiri dhidi ya watu wenye ulemavu au kufanywa na waajiriwa wengine dhidi ya watu wenye ulemavu.
Ubaguzi kwa kigezo cha ulemavu au tofauti zozote katika sehemu ya kazi sio jambo linalotakiwa...
Beki wa Simba Sc Inonga Baka ameanza kwenye cha Congo kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Burkina Faso. Hii imenistua kidogo,maana kosi la Congo limeesheheni nyota
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imekubaliana kuwawekea vikwazo watu wa karibu na Serikali ya Kijeshi ya Guinea kufuatia Mapinduzi ya Mwaka 2021 yaliyoiondoa Serikali ya Kiraia Madarakani
Viongozi wa Guinea wanasema wanahitaji miaka mitatu kuirejesha Nchi hiyo katika...
Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wanasema wanaamini kuwa Serikali ya #Ethiopia inahusika na uhalifu dhidi ya binadamu unaoendelea katika eneo la #Tigray, Kaskazini Mwa Nchi hiyo
Katika Ripoti hiyo, Tume ya Wataalamu wa Haki za Kibinadamu iliangazia kile ilichokiita taarifa za kuaminika za mauaji...
Uamuzi huu umekuja ikiwa ni siku chache tangu Mathias Pogba akamatwe kwa kuhusishwa na utapeli dhidi ya ndugu yake Paul Pogba. Ataendelea kuwa mahabusu akisubiri uamuzi wa Mahakama kuhusu dhamana yake.
Taarifa za Mahakama zimesema watu wengine wanne pia wamewekwa chini ya uchunguzi rasmi kwa...
SHIRIKIANENI NA TIRA KUKINGA WANANCHI DHIDI YA MAJANGA.
Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Hussein A. Kattanga amewataka Makatibu wakuu nchini kuhakikisha wananchi wanakingwa na huduma za bima. Balozi Kattanga ameyasema hayo alipokuwa akifungua mafunzo maalum ya umuhimu wa sekta ya bima katika...
Serikali ya kijambazi, kifisadi, kihuni ndiyo inayoweza fanya hivi kwa wananchi wake. Inaiba pesa za wananchi wake maskini kwa kupachika tu majina ya kihuni.
Watu wameamua kurudisha pesa walizopoteza kwenye awamu ya Magufuli kwa kuwaibia wananchi wake maskini. Maskini kwa sasa ndiyo wanaona...
“Hempu ni hitaji la kwanza la ulazima kwa utajiri na ulinzi wa nchi…huduma kubwa/ nzuri ambayo inaweza kupewa taifa lolote ni kuongeza mmea wenye manufaa kwenye utamaduni wake.” –Thomas Jefferson, Raisi wa tatu wa Marekani na muasisi wa taifa hilo.
Mgombea Uraisi wa Kenya Prof. G. Wajackoya...
Mara mojamoja tu Simba warushieni vijisenti hawa ndalakyuya, wako sokoni wanajiuza hawana tofauti na wale viumbe wa corner bar mwenye dau kubwa ndiye watamuheshimu na kumnyenyekea, wengi wao hawajui hata taaluma ya uandishi ni kitu gani, hopeless creatures
Kwa sasa PESA ZA MWARABU...
Wakuu habari.
Naombeni msaada anayeijua mbegu bora ya hoho inayoweza kabiliana na tatizo la kinyaushi.
Aise ili tatizo limekuwa changamoto sana kwa baadhi ya mazao ya mbogamboga.
Ikiwezekana taja jina la mbegu na bei yake kulingana na gram
Nitashukru sana nikipata huo msaada
A. Simba SC ya Mgunda?
B. Simba SC ya Matola?
C. Simba SC ya Wachezaji wa Kufurahia Kuondoka kwa Kocha Maki?
D. Simba SC ya Wachezaji Wenyewe kuamua Kuwajibika na Kujitoa kuipigania Jezi?
Jamaa damu zinavuja, yuko hoi....
Jameni ifike hatua Warusi watafute namna ya kumshawishi Putin aachie ujinga ili hizi aibu zipungue, ageuze majeshi yarudi nyumbani...
Ukrainian media outlets and social media users have speculated that a top Russian commander has been captured as Kyiv's...
Mtu huyo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 hadi 35 aliokotwa hapo, huku pembeni yake kukiwa na chupa yenye pombe.
Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia leo na kuthibitishwa na wenyeviti wa mitaa hiyo miwili huku chanzo cha mauaji hayo kikiwa bado hakijajulikana na upelelezi wa kubaini...
Chama Kikuu cha upinzani UNITA, kimewasilisha pingamizi la kisheria dhidi ya matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Agosti 24 wa wiki iliyopita na kusema kuwa Uchaguzi huo ulikuwa na dosari
Chama tawala cha MPLA - ambacho kimekuwa madarakani tangu 1975 - kilitangazwa kuwa mshindi wa Uchaguzi huo kwa...
Ripoti iliyotolewa na Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, imeishutumu China kwa ukiukaji mkubwa wa Haki za Binadamu baada ya kuwaweka kizuizini waumini wengi wa Kiislamu katika mji wa Xinjiang.
Mashirika ya kutetea Haki za Binadamu yanaishutumu Beijing kwa dhuluma dhidi ya Wauyghur...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.