dhidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania tukiamua, elimu inaweza kuwa silaha dhidi ya maadui watatu wa maendeleo

    Moja kati ya hotuba maarufu sana ya aliyewahi kua muasisi wa taifa letu, Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere ni ile ya mwaka 1995, ambapo kiongozi huyo aliongea kuhusu swala zima la maadui watatu wa maendeleo, ambao ni umasikini, ujinga na maradhi. Katika karne hii ya 21, adui ujinga amekua...
  2. Najma Omary

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ustahimilivu kwa Wakulima dhidi ya mabadiliko ya Tabia Nchi

    USTAHIMILIVU KWA WAKULIMA DHIDI YA MABADILIKO YA TABIA NCHI. Utangulizi Mabadiliko ya Tabia nchi ni jumla ya mabadiliko ya hali ya hewa ya eneo fulani. Kilimo ni jumla ya shughuli zinazohusisha uzalishaji wa mazao mbalimbali kwa ajili ya chakula ama biashara. Shughuli za kilimo zimekua na...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mexico: Ukatili dhidi ya wanawake wafikia asilimia 70

    Ripoti mpya ya Idara ya Takwimu (INEGI) imesema #Ukatili dhidi ya Wanawake na Wasichana umeongezeka zaidi ndani ya miaka mitano iliyopita, uchunguzi umebaini wanawake 7 kati ya 10 wameripotiwa kukabiliwa na aina fulani ya ukatili. Rais wa Idara hiyo, Graciela Marquez ameeleza kuwa unyanyasaji...
  4. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Shutuma nzito dhidi ya waigizaji wa bongo movie

    Tunapenda kupeleka shutuma hii kwa waigizaji wa bongo movie hasa episode za ndoa/mahusiano/mapenzi. Waigizaji hawa wamekuwa wakiingiza ubaya, ubabe, ufedhuli, kiburi, umalaya, wizi, utapeli, ushirikina, mauaji, matumizi ya dawa za kulevya, ndani ya mapenzi kitendo ambacho kimekuwa kikifundisha...
  5. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Griezmann anatoka kwenye benchi na kuipa Atletico ushindi dhidi ya Valencia

    Griezmann anatoka kwenye benchi na kuipa Atletico ushindi dhidi ya Valencia Antoine Griezmann aliingia akitokea benchi na kuipa Atletico Madrid ushindi wa 1-0 wa LaLiga dhidi ya Valencia siku ya Jumatatu huku kikosi cha Diego Simeone kikiibuka na kipigo chao kisichotarajiwa cha nyumbani kutoka...
  6. Boqin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI William Ruto awachochea Wakalenjin dhidi ya Wakikuyu

    Video moja iliyowekwa kwenye mtandao wa Facebook inadai kuwa Naibu Rais wa Kenya William Ruto "ameichochea" jamii yake ya Wakalenjin dhidi ya Wakikuyu wakati wa mkutano wa kampeni kabla ya uchaguzi wa Agosti 9 2022. Katika kipande hicho cha video kilichochapishwa tarehe 29 Julai, Ruto...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asema majaji wanawake wamesaidia kupunguza malalamiko dhidi ya Mahakama

    Rais Samia amesema malalamiko kutoka kwa wananchi kwenda kwa mahakama yamepungua kwa kiasi kikubwa ambako kumetokana na sababu mbalimbali ikiwemo kuwa na majaji wanawake. Kwa sasa amesema ameshateua majaji 23 wa kike na 27 wanaume na ameazimia kufikia 50/50. Amesema majaji wanawake wanateuliwa...
  8. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Watanzania weusi na Chuki binafsi dhidi ya Watu weusi

    Unashangaa wamewekeza kushambulia vidagaa kama akina Mwigulu kwamba sijui ni Ufisadi, Mwigulu anashambuliwa tu kwa kuwa ni mtu mweusi na Mkristu na anashambuliwa na mtu mweusi na Wakristu wenzake. Tuweke mambo sawa, hata kama Mwigulu kafanya Ufisadi ambapo sina uhakika lkn hakuna watu...
  9. Sagira

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tuimarishe mapambano dhidi ya ugonjwa wa akili nchini Tanzania

    Unajiona sio mtu mwenye umuhimu tena kwenye haya maisha na hujui nini kimekukuta au wapi ulipokosea, unatamani kulia sana na upate mtu wa kumweleza unayoyapitia, umeamua kuwa mtu wa liwalo na liwe, sikia nafahamu maumivu uliyokuwa nayo unahisi watu hawajali kuhusu unayopitia siyo kweli fahamu...
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge Mteule wa Kimilili akana mashtaka ya mauaji dhidi yake

    Mbunge wa Kimilili, Didmus Barasa, anayedaiwa kumuua kwa Risasi Brian Olunga amekanusha mashtaka hayo huku Wakili wake Nathan Tororei akiomba aachiliwe kwa dhamana Upande wa mashtaka umeomba Mahakama hiyo kumpa Barasa dhamana ya gharama kubwa kutokana na aina ya kosa analodaiwa kutenda pia...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya uchokozi dhidi ya China inayotekelezwa na Marekani yazidi kuwa wazi

    Fadhili Mpunji Wiki mbili baada ya Spika wa baraza la wawakilishi la bunge la Marekani kutembelea Taiwan, kinyume na kanuni za Umoja wa Mataifa kuhusu uhusiano wa kidiplomasia, na kinyume na makubaliano yaliyofikiwa na serikali za China na Marekani, kwa mara nyingine tena Marekani imefanya...
  12. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania TOZO ni Payback ya Globalist kwa Watanzania kwa kuhepa Lockdown!

    Tanzania ndiyo nchi pekee au moja kati ya nchi chache Duniani ambazo hazikwenda lockdown ya corona, wakati wengine wamejifungia chumi zao zikidumaa sisi tulipiga kazi kama Kiongozi wetu alivyosema, fikiria tu Uganda walifunga Shule kwa zaidi ya wiki 80, sisi hakuna lockdown tulipiga kazi, sasa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Agosti 30 kila mtu kwa Imani yake na mahala alipo tumlilie Mungu dhidi ya TOZO

    Watanzania tuna silka yetu ama ukipenda tabia yetu iliyozoeleka ya kutokupigana hasa tunapokuwa kwenye mtanziko ama mkwamo wa Jambo lolote lile. Huu siyo uzumbukuku, uzoba ama uzwazwa kama wengi wasemavyo bali ni karama toka kwa mola waliopewa watu wa taifa hili. Nchi hii ni Kisiwa cha baraka...
  14. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha kutoa ufafanuzi dhidi ya "upotoshaji wa tozo"

    Kama kawaida Yao, tengeneza tatizo tatua tatizo then jipongeze! Ndio wanachotaka kufanya. Gerson Msigwa anasema kuwa Wizara ya Fedha itatoa "ufafanuzi" kuhusu Tozo maana kuna upotoshaji mkubwa unaofanywa mitandaoni! Anadai eti tozo zilikuwepo.....
  15. Ndulungu

    JamiiForums Tanzania Nachukizwa na uongo wa mashabiki ukraine kuhusu hali ya vita vyake dhidi ya urusi

    Mashabiki wa ukraine achani uongo,zelensky anapewa dozi kutwa mara tatu licha kupewa msaada wa silaha na marekani na ulaya lakini msaada huo umeshindwa kufua daft kwa mziki mnene wa urusi
  16. B

    JamiiForums Tanzania Thamani ya Legacy dhidi ya Pata potea ya 2025

    Mama Samia alikuwa na muda wote wa kutuwekea misingi imara ya Tanzania mpya yenye haki kamili. Tukawa na Tanzania isiyokuwa na malalamiko. Sote tukajisikia kuwa na haki sawa. Ajabu na kweli mzuka uliompitiliza wa 2025 umempiga upofu. Haoni wala hasikii. Haya matozo yanayopigiwa kelele kila...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ruto ana funzo kwetu dhidi ya walamba asali

    Walamba asali wamejisahau. Wamedhani sisi tunayo furaha mno wao na familia zao wakiendelea kujimilikisha nchi na kujineemesha. Tozo hizi wanazo turundikia sisi, zina ridhaa gani nasi? Ruto na jamii ya Wakenya iliyochoka mno na madhila kama ya kwetu, ilisimama imara vilivyo kuwakataa walamba...
  18. Stroke

    JamiiForums Tanzania Li Jinglan Mkalimani wa Nyerere aliyefariki akisubiria malipo ya fidia dhidi ya NHC kwa miaka 19

    Mkalimani wa Mwalimu Nyerere Bi. Li Jinglan amefariki Agosti 5 huku akisotea malipo ya Tsh. 1. Bilioni alizoshinda kama fidia dhidi ya NHC. Baada ya kushinda kesi mwaka 2003 dhidi ya NHC na Nyingine mbili, Mkalimani huyo wa Mwalimu Nyerere hakuwahi pata malipo yake. Pole Bi. Li Jinglan.
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kubenea ashinda kesi dhidi ya Makonda. Alidaiwa kumtusi na kuhatarisha usalama

    Leo Mahakama ya Kisutu imempa ushindi Mbunge wa zamani wa Ubungo , Saed Kubenea dhidi ya Mwanaccm Paulo Makonda. Ikumbukwe kwamba Makonda akiwa na vyeo vya kuteuliwa alimshitaki Kubenea kwa kumtusi na kumhatarishia Maisha (YAANI ETI KUBENEA AHATARISHE MAISHA YA MAKONDA!) Kubenea alikuwa...
  20. Nobunaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanzo wa uasi wa Mlima Kenya dhidi ya Rais Kenyatta

    Rais Uhuru Kenyatta alipowasihi wafuasi wake wa Mlima Kenya mwaka wa 2013 kumkumbatia William Ruto kama mrithi wake anayetarajiwa, alikuwa ameweka agano bila kujua hangeweza kulivunja. Wakaazi wa Mlima Kenya walikuwa wamedhamiria sana kumuona Dk Ruto akichukua mamlaka mwaka wa 2022 hivi kwamba...
Back
Top Bottom