Kuanzia leo, wewe siyo baba yangu, na hutaruhusiwa kwa lolote dhidi ya Mali zangu

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,012
8,360
Nina mengi ya kuelezea mpaka ninapofikia uamuzi huu wa kumkana Baba yangu mzazi Yaani Mzee Leo ila itoshe kusema nimeshawishiwa baada ya kuona mzazi amemkataaa Mwanae kupitia kwenye vyombo vya habari na mimi kama mwana JF ninayo haki yangu ya msingi kumkataa Baba yangu kama ifatavyo

" Mimi Sifi Leo nikiwa na akili zangu timamu, pasipo kushurutishwa na mtu yoyote kuanzia leo nautangazia umma yakuwa wewe Mzee Leo sio baba yangu na wanangu sio ndugu zako, hautoruhusiwa kuhusika na Mali zangu Wala ndugu wanao Toka kiunoni mmwangu Mimi na wake zangu"

"Pia stohusika na madai yoyote yanayo kuhusu wewe Mzee Leo na hata ukifa sitokuja na nikifa usidiriki kuja kwenye Msiba wangu na ukilazimisha kuja wanangu wachukue hatua yoyote dhidi Yako".

Mwisho mwenye jambo lolote awasiliane na wakili wangu anae julikana Kwa jina la

Kiboko ya wazazi wasio tunza watoto wakiwa wadogo Advocat
S L P. Manyonvu kyaibumba.
 
Kijana wa watu kashiba michembe na uji wa mtama ameamu kuja kupiga miayo humu ndani.
Haya bana, tumekuelewa. Kwakua babaako yupo JF bas atakuja kuyasoma
Tena ni miongoni mwa wahasisi mtafute utamjua member wa nkkwanza hivi nyie mafala nn yeye kutukana ni haki sisi kuwakana ni kosa
 
Duh, hizi gongo zinazochanganywa nandabokiki na banana huku hujala huwa zinakuwa na madhara makubwa sana
Mkuu umenivunjia heshima sijawai kukuvunjian heshima Mimi nimeandika jambo Ili nikiwa seriazi and ver siriazi usinitusi unaniumiza simtaki babangu alikmnyaga mama akaniAa na mm nimekanyaga nimezalisha so what sasa
 
Haya sasa, wababa suruali mmeanza kukanwa na watoto wenu.

Kuna baba juzi kastuka watoto wameenda mahakamani na kubadili ubini kabisa.
 
Mkuu umenivunjia heshima sijawai kukuvunjian heshima Mimi nimeandika jambo Ili nikiwa seriazi and ver siriazi usinitusi unaniumiza simtaki babangu alikmnyaga mama akaniAa na mm nimekanyaga nimezalisha so what sasa
Umetoa maneno kama Steve wa Yanga, yule lialia
 
Ukute alifanya kutegeshewa mimba na mama yako , yeye hakuwa na utayari wa malezi na matunzo wakati huo je angefanyaje?

Sio kila mahusiano yanalenga kuzaa.

Usimlaumu mkwezi nazi imeliwa na mwezi .
 
Back
Top Bottom