Kama tujuavyo Iran ni mnyonge wa Israel, sasa Israel wanaweza kutoa msaada wa suluhu dhidi ya drones

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,745
48,385
Israel walikua wamekaa pembeni hawataki kuingia kwenye huu ugomvi, ila baada ya kuona Iran anajikweza kwa drones zake alizotoa kama msaada kwa Urusi ili zitumike kuua watu wa Ukraine, ameanza kutoa matamko na tujuavyo yeye haitakua shida kwake kudungua hizo drones.
==================

Israel is "deeply concerned" by Russia's use of Iranian-made Shahed 136 suicide drones in its latest large scale missile attack on Ukrainian cities, including the capital, Kyiv, which resulted in 19 deaths and extensive destruction, the Times of Israel reported.

"The massive Russian attack on Ukraine using Iranian-made weapons is a precedent for the Israeli army. Given the developments in Ukraine, one should speculate what will happen if Iranian missiles on their way to Israel are not intercepted," the Times of Israel news website said yesterday.

Middle East Monitor
 
Unapenda kuandika habari za uongo sana humu JF na kutengeneza fake news na propaganda sijui wanakulipa how much?Because habari zako zote zinafavor one side na kibaya zaidi nyingi ni habari ya uongo,fake na kuongezea chumvi, Israel amegoma kumpa silaha Ukraine

ISRAEL YAKATAA KUIPA SILAHA UKRAINE.

Waziri mkuu wa zamani wa Israel Benjamin Netanyahu - בנימין נתניהו na waziri wa Ulinzi wa Israel Ganzy wamekataa kwa pamoja kuisaidia Ukraine silaha za kivita ili iweze kupambana na russia. Viongozi hao wamesema kwamba, israel haitaki kuingia kwenye huu mgogoro na nchi za ULAYA na. NATO zinatosha kuipa silaha Ukraine.

Kumbuka kuwa #Netanyahu ni rafiki mkubwa wa russia na kuna mvumo wa #BenjaminNetanyahu anaweza akarudi madarakani kwenye kugombea kiti cha Uwaziri mkuu.

Hata hivyo pia WAZIRI WA ULINZI WA ISRAEL AMEKATAA KUIPOKEA SIMU YA WAZIRI WA ULINZI WA UKRAINE
 
Soma uzi tena uelewe, huyo Iran wenu ni mnyonge wake Israel...
 
Huu ujumbe uliokoti ni wa zamani kabla vita ya Ukrain haijaiva kiasi hiki cha Iran kujiingiza kichwa kichwa, Tunaongelea sasa ambapo upepo umebadilika kwa russia kuishiwa na silaha na kuhitaji msaada toka Iran na Iran kukubali na kupeleka hizo drons ambazo zimeuwa 19 Kyiv.

Izrael pamoja na hayo uliyosema wameona kuna haja na wao kuitia adabu Iran kwa vile kw namna moja au nyengine ameonekana msaada kwa Russia haya mambo lazima yabalance.
 
Waziri wa Israel huyu hapa

Waziri wa Israel huyu hapa

Hiyo tweet inaonekana ni ya October 16,Je,ni aunthetic? Leo nimeona French 24 taarifa ikisema Israel imegoma kuipa silaha Ukraine!
Lakini Kuna hii

Israel denies selling weapons to Ukraine​

  • Middle East
  • Anadolu Agency
  • Published Date: 11:14 | 19 October 2022
  • Modified Date: 11:19 | 19 October 2022
Israeli Defense Minister Benny Gantz has denied selling weapons to Ukraine amid the Russian invasion of the European country.
"We are not selling weapons to Ukraine," Gantz said in an interview with the Jewish ultra-Orthodox Kol Chai radio.
The defense minister said that Tel Aviv had not previously sold arms to Ukraine.
On Monday, Diaspora Affairs Minister Nachman Shai called on the Israeli government to send weapons to Ukraine in response to reports about sending Iranian missiles to Russia.
Commenting on Shia's statements, Gantz said, "he is mistaken, I am the defense minister who is responsible for exporting Israeli weapons."
In response to Shai's statement, former Russian President Dmitry Medvedev warned Israel against arms deliveries to Ukraine.
"Israel seems to be going to supply weapons to the Kiev regime. A very rash step. It will destroy all interstate relations between our countries," he said.

Habari za upotoshaji jukwaa hili zimekuwa nyingi!
 
Israel hawezi ipa silaha Ukraine ili aharibu uhusiano wake na Russia. Kumbuka Russia anacontrol airspace ya Syria. Na israel hataki Iran apate mwanya WA kukaa pale Syria maana atakuwa anamchungulia. So mkataba wao ni kwamba Russia asimruhusu Iran kupata access kwa Syria nao hawataingilia mambo ya Russia. Na ndio maana waziri WA ulinzi kaja mbio kukanusha Habari za kuipa silaha Ukraine maana akiiudhi Russia then akamuachia Iran njia pale Syria. Basi ngoma itakuwa INOGILE
 
Waziri wa ulinzi wa Israel ameyaita hayo ni mawazo ya mtu binafsi,ila yeye ndio Yuko responsible kuexport silaha na hawatauza silaha Kwa Ukraine!
Ukiona mpaka Dmitry Medvedev anaanza kutoa kauli kuna kitu sio bure, na vilevile kumbuka Nachman Shai naye ni waziri hivyo mpaka naye anaongea kuna jambo hapo. Na huyo waziri wa ulinzi anaongelea yaliyopita na hasemi kuwa kamwe Israel haitoiuzia au kuipa Ukraine msaada wa silaha. Kwa hiyo kuna uwezekano kabisaa siku zijazo silaha za Israel zikatumika na Ukraine siku zijazo
 
Unapenda kuandika habari za uongo sana humu JF na kutengeneza fake news na propaganda sijui wanakulipa how much?Because habari zako zote zinafavor one side na kibaya zaidi nyingi ni habari ya uongo,fake na kuongezea chumvi, Israel amegoma kumpa silaha Ukraine

ISRAEL YAKATAA KUIPA SILAHA UKRAINE.

Waziri mkuu wa zamani wa Israel Benjamin Netanyahu - בנימין נתניהו na waziri wa Ulinzi wa Israel Ganzy wamekataa kwa pamoja kuisaidia Ukraine silaha za kivita ili iweze kupambana na russia. Viongozi hao wamesema kwamba, israel haitaki kuingia kwenye huu mgogoro na nchi za ULAYA na. NATO zinatosha kuipa silaha Ukraine.

Kumbuka kuwa #Netanyahu ni rafiki mkubwa wa russia na kuna mvumo wa #BenjaminNetanyahu anaweza akarudi madarakani kwenye kugombea kiti cha Uwaziri mkuu.

Hata hivyo pia WAZIRI WA ULINZI WA ISRAEL AMEKATAA KUIPOKEA SIMU YA WAZIRI WA ULINZI WA UKRAINE
Huyu Jamaa watakuwa Wana MFR sio Bure. International forums ameifanya kama misi la mamaye
 
Israel walikua wamekaa pembeni hawataki kuingia kwenye huu ugomvi, ila baada ya kuona Iran anajikweza kwa drones zake alizotoa kama msaada kwa Urusi ili zitumike kuua watu wa Ukraine, ameanza kutoa matamko na tujuavyo yeye haitakua shida kwake kudungua hizo drones.
==================

Israel is "deeply concerned" by Russia's use of Iranian-made Shahed 136 suicide drones in its latest large scale missile attack on Ukrainian cities, including the capital, Kyiv, which resulted in 19 deaths and extensive destruction, the Times of Israel reported.

"The massive Russian attack on Ukraine using Iranian-made weapons is a precedent for the Israeli army. Given the developments in Ukraine, one should speculate what will happen if Iranian missiles on their way to Israel are not intercepted," the Times of Israel news website said yesterday.

Middle East Monitor
Eti kama tujuavyo! Una hakika muajemi mnyonge kwa myahudi au maoni yako tu
 
Ukiona mpaka Dmitry Medvedev anaanza kutoa kauli kuna kitu sio bure, na vilevile kumbuka Nachman Shai naye ni waziri hivyo mpaka naye anaongea kuna jambo hapo. Na huyo waziri wa ulinzi anaongelea yaliyopita na hasemi kuwa kamwe Israel haitoiuzia au kuipa Ukraine msaada wa silaha. Kwa hiyo kuna uwezekano kabisaa siku zijazo silaha za Israel zikatumika na Ukraine siku zijazo
So tuanze kuongelea hisia badala ya uhalisia?Waziri wa ulinzi amenyoosha baada ya waziri wa mahusiano kujikoroga, Medvedev alirespond baada ya kauli hiyo ndipo Waziri wa Ulinzi akasema hayo ni maoni ya huyo waziri Wala sio msimamo wa Israel!
So as of now,msimamo wa Israel ni kutojihusha na Huo mgogoro!
Israel anajua what is at stake!
 
Kwa hiyo Medvedev mpaka anaongea naye anaongea tetesi au uhalisia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom