Iran: Mwanajeshi auawa na pia polisi 10 wajeruhiwa kwenye maandamano dhidi ya dhuluma za kidini

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,651
48,416
Iran bao wanaendelea kuliamsha, wanauawa ila hawakomi, serikali inapambana kumlinga 'mungu' na uislamu

Iranian protesters clashed with security forces on Thursday in the town of Karaj, some 40 kilometres west of the capital, Tehran.

Hundreds of people blocked the highway that runs through the city and hurled rocks at police vehicles.

According to the state-run Iranian media, a paramilitary was killed, and at least ten policemen were injured.

The Iranian authorities said they made several arrests and have since cleared the highway.
 
Unamaanisha nini kusema dhulma ya kidini
 
kimsboy njoo huku unaitwa
 
Hili neno "dhuluma za Kidini" linaleta ukakasi sana
 
Nini kingine kama sio dhuluma za kidini, kulazimishia watu dini na wakihoji wanauawa, miezi yote hii bado wanaandamana huku wakiuawa kisa wanalazimishwa kufuata sheria kandamizi za kidini.
 
Nini kingine kama sio dhuluma za kidini, kulazimishia watu dini na wakihoji wanauawa, miezi yote hii bado wanaandamana huku wakiuawa kisa wanalazimishwa kufuata sheria kandamizi za

Nini kingine kama sio dhuluma za kidini, kulazimishia watu dini na wakihoji wanauawa, miezi yote hii bado wanaandamana huku wakiuawa kisa wanalazimishwa kufuata sheria kandamizi za kidini.
Amna dhuluma hapo, ila wanajidhulumu wenyewe....yaan kujihifadh iwe ni dhuluma?
 
Duu yaani nikikuona ubongo wako kilichojazwa humo unaweza is kisa tamaduni za wazungu waliokuambua kuwa ukiitwa Daniel ndio utakubalika mbinguni. Lakini Kuna mjapan anaitwa Honda,Toyota na Kuna mhindi anaitwa Kumar sijui wataenda motoni.. vipi mpaka chakula wakakuambia vya kwao ndio sahihi sio hapo mpaka mavazi kuwa ndiyo haya yanayostahili. Ila komaa beliefs zikikukomaa kichwani Ni nishati moja kubwa mno
punguza mapepe
 
Back
Top Bottom