Dunia haina usawa, Miguna Miguna kaamua kulianzisha dhidi ya Raila Odinga

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,762
21,223
Huyu jamaa kama mnakumbukumbu ndiye aliyemwapisha aliyekuwa jamaa yake wakati huo ndugu Raila Odinga baada ya uchaguzi uliompatia ushindi Rais mstaafu Uhuru Kenyatta.

Jamaa baada ya kuona mambo magumu alikimbilia uhamishoni Canada.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida jana amempiga na kitu kizito ndg Raila kwa maneno haya hapa.

"Conman Raila Odinga has declared that he wants to be the 6th president of Kenya. He dangles the presidency as a TOXIC TOOL for personal ENRICHMENT. Raila must stop using the presidency to keep Luos in BONDAGE. If he refuses to retire, we will retire him by any means necessary".
 
RAO alishasema amechoka na unafiki wa Kenyatta
 
Back
Top Bottom