Wazee wenzangu wa kuweka mizigo (betting) hembu njoeni tuzijadili hizi point alizopewa Yanga sc dhidi ya Geita Gold leo hii.

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,687
5,443
Mazee hapa kuna kamtego nini nikitia kamilioni nikimpa yanga si nitanemeka, alafu kama kuna kitu kinaniambia acha ujinga 😂😂


40A4720D-F879-46DE-8C14-47244FB1879B.jpeg
 
Mimi shabiki wa Yanga ila hii game leo ni very tough sana kuna asilimia chache za Yanga kutoboa. Kwanza inachezwa Kirumba halafu Geita naye ndio kaanza kuipata fomu yake pili Yanga ana game tough mbele ya kimataifa so tutegemee baadhi ya mastaa aidha kutokuanza au kutokujituma kwa kuhofia kuumia.

Tunazo asilimia chacge kutoboa leo. Halafu mkuu leo weekend kama ukitulia mbona unapata odds 1.5+ zenye uhakika mpaka weekend inaisha unakua usha double mtaji wako. Nikuchambulie leo na kesho ila tu nikumbuke kama upo tayari niambie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom