Ifahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
Picha: Tyson Nduguru
Pichani ni ndugu yetu/rafiki yetu anayefahamika kwa jina la TYSON NDUNGURU maarufu mtandaoni kama Tyzee SwahiliHood.
Ndugu yetu tokea alivyotoka nyumbani kwake siku ya ijumaa ya tarehe 26/05/2023 hajarudi wala kuonekana nyumbani kwake hadi dakika hii tunapoandika tangazo...
Shirika la Afya Duniani (WHO) leo Mei 11, 2023 limetangaza rasmi kuwa Ugonjwa wa Homa ya Nyani (Mpox) sio tena janga la Dharura ya Kimataifa.
Taarifa hii inakuja siku moja baada ya kamati ya Dharura ya ugonjwa huo kuketi na kutoa tathimini kuwa kwa sasa ugonjwa huo haustahili tena kuwa...
“Uzinduzi wa kibao chenye namba za dharura kwa kila kaya.”
Hili ni pendekezo kwa Serikali ianzishe au iruhusu upachikaji wa ubao wenye orodha ya namba za dharura ndani ya nyumba kwa kila kaya lengo kuu la ubao huu ni “kutoa taarifa mapema kwenye mamlaka husika ili kupata msaada wa haraka na...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja na wananchi wanaohudumiwa na Mtambo wa kuzalisha maji Ruvu Juu kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa wastani wa saa 16 siku ya Jumamosi , Aprili 15, 2023.
Muda: Kuanzia Saa 12 jioni hadi Saa 4...
Rubani wa Afrika Kusini, Rudolf Erasmus ambaye alitua kwa dharura baada ya kugundua nyoka mwenye sumu kali aina ya cobra akiwa amejificha chini ya kiti chake.
Rudolf Erasmus alikuwa akiendesha ndege ndogo binafsi mapema wiki hii akiwa na abiria wanne kutoka jiji la Bloemfontein kwenda Pretoria...
Rubani wa Afrika Kusini anapongezwa kwa kufanikiwa kutua kwa dharura baada ya kuona nyoka aina ya fira ‘Capa cobra’ akiwa amejikunja chini ya kiti chake, ripoti ya vyombo vya habari nchini humo yasema.
Rudolph Erasmus alikuwa akisafirisha abiria wanne kutoka Cape Town kuelekea mji wa kaskazini...
MHE. SOSPTER MUHONGO AGAWA CHAKULA CHA DHARURA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO
Leo, Jumanne, 4.4.2023, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Mhe. Prof. Sospeter Muhongo ametembelea Kijiji cha Kusenyi, Kata ya Suguti kwa malengo yafuatayo:
1. Kutoa pole kwa waathirika wa mafuriko ya juzi na jana
2...
Habari waungwana!
Mimi bhana nakwazika sana na suala hili hasa wakati wa dharura hawa TANESCO bhana ni wazito mnoo kufika eneo lilipotokea tatizo.
Niliwah pata shida ya Luku, nikapiga simu na nipo karibu na ofisi zao, wakasema watafika ndani ya muda mfupi, cha ajabu nililala giza kiukwel maana...
Shirika la Ndege la Precision Air limethibitisha kuwa ndege zake mbili zimeshindwa kufanya safari zake kama kawaida baada ya ndege moja kupata hitilafu na nyingine kulazimika kutua kwa dharura. Precision Air imethibitisha hilo kupitia Taarifa yake leo Februari 03, 2023 ikibainisha kuwa, moja ya...
Amani iwe Kwenu
Benki kuu (BOT) imeshatoa takwimu kuonesha mfumuko wa bei umeongezeka kwa zaidi ya asilimia 1 ndani ya miezi michache. Sasa mfumuko unafikia asilimia 4 na ushei.
Dunia nzima sasa inaputia wakati mgumu kiuchumi hususan kipindi hiki cha mtanange wa kule Ukraine.
Kwa serikali...
Wakuu habari za mchana?
Ni matumaini yangu kuwa mko poa,katika siku za hivi karibuni kumezuka mijadala kadhaa mitaani, katika mitandao na hata kimataifa kuwa uongozi wa Rais Samia umeghubikwa na sintofahamu nyingi hususan katika masuala muhimu na ya msingi yanayolenga maisha ya wananchi moja...
Moja kati ya habari inayosubiriwa kwa hamu na umma wa Tanzania ni yatakayojiri leo katika kikao cha dharura cha baraza la mawaziri aliloitisha leo Rais Samia ikiwa na ajenda mficho 4 unaoakisi kutoa majibu sahihi juu ya masuala yafuatayo:
1. Ajali ya ndege ya Precision Air kutokana na kile...
ACT Wazalendo wameitisha kikao cha dharura cha Kamati kuu kujadili Kwanini Rais Dr Mwinyi kamteua Mkurugenzi yule yule wa 2020 kuendelea na Majukumu yake.
Lakini huku Tanganyika Dr Mahera yule yule wa 2020 wamemkubali.
J3 Ubarikiwe sana.
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso Leo tarehe amefika ofisi za RUWASA sehemu ya uchimbaji visima na ujenzi wa mabwawa (DDCA) na kutoa maelekezo mahususi kwa Taasisi hiyo kwa kushirikiana na Bonde la Wami/Ruvu kuainisha maeneo yenye uwezekano wa kupata maji chini ya ardhi na visima vya dharura...
Napendekeza ile menu yake iwe inaboreshwa kutokana na milipuko ili kurahisisha/kutimiza kusudio lake
Mf: kipindi cha janga la korona; kuwe na namba 1> Ukitaka maelezo yoyote kuhusu korona bonyeza moja
na vivyo hivyo kipindi hiki chenye hatari ya Ebola lakini muhimu zaidi IPOKELEWE bila...
Jumla ya wanafunzi 521 wa Shule mbalimbali Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, wameripotiwa kukimbia masomo kwa kipindi cha miezi miwili iliyopita hali ambayo imeilazimu Serikali kutangaza mpango wa dharura wa kukabiliana na tatizo hilo.
Ni katika kukabiliana na changamoto ya utoro shuleni, ambapo...
FEDHA YA DHARURA ITENGWE HARAKA KUOKOA ELIMU NCHINI🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
✍️Mwl. Modest Alphonce
(Mwandishi wa Makala hii ni mwalimu wa Sekondari, mwalimu wa Taaluma Mwandamizi na Mjumbe wa Kamati ya Shule ya Msingi iliyopo jijini Dsm)
Wakati shule wanazosoma watoto wa watunga Sera hapa nchini zikizidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.