dharura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Richard

    JamiiForums Tanzania Bunge liitishe kikao cha dharura kujadili kufungwa kwa ubalozi wa Denmark 2024

    Kama tulivyosikia Denmark ambae ni moja ya nchi mshirika mkubwa na mdau wa maendeleo wa nchi yetu "Development partners" wanafunga ubalozi wao Tanzania ifikapo 2024. Denmark walianzisha ushirikiano wa kimandeleo na Tanzania mwaka 1963 miaka miwili baada ya nchi yetu kupata uhuru wake mwaka...
  2. buffalo44

    JamiiForums Tanzania SoC01 Iundwe idara ya ambulance na uokoaji ili kusaidia kwenye dharura na uokoaji kuepusha vifo vinavyoepukika kwa kuwahi matibabu

    Salaam wakuu. Nchi hii ni yetu sote, matatizo yetu tunaweza kuyatatua kwa rasimali kidogo tulizonazo. Hapa Tanzania suala la Ambulance hata hatuelewi linafanyaje kazi. Mara nyingi ambulance zinasafirisha referred patient (Wagonjwa pendekezwa kwenda hospital nyingine). Kwa matatizo ya dharura...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Emergency Call Tanzania

    Wakuu habari. Nchi nyingi za wenzetu, mfano Marekani tunaona kwenye movie na tukigoogle kwamba wana emergency call 911 ambayo ikitokea issue unapiga hafu wanatuma mtu kutoa msaada kama ni ambulance, polisi au zima moto. Mfano, 911 ilianzishwa USA mnamo 1968 na hadi sasa ipo na imefikia ukipiga...
  4. amakyasya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa Wanandoa: Bila tendo la ndoa hakuna ndoa(?)

    Jamani hakuna ubishi kuwa tendo la ndoa ndilo linaloshikilia ndoa bila hivyo hakuna maana ya ndoa. Hata kama kuna mataizo mwanandoa hastahili kumnyima unyumba mwenzie, cha kufanya ni kutafuta suluhu ya tatizo huku huduma ya msingi ya ndoa ikiendelea kama kawaida. Kilichotokea kwa mumewe Flora...
  5. jembe afrika

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano ya aina hii ni ya uuwaji kabisa

    Nimejikuta naandika hapa kwa namna nilivyojionea mwenyewe kwenye mahusiano. Unakuta uko kwenye mahusiano na mtu...unamsaidia mambo hata kama si kuyamaliza ila yale ya dharura unayapa kipaumbele, ikumbukwe kila mmoja anashughuli inayomuingizia kipato. Sasa inafikia mwanamme kazi zako zimesimama...
  6. Loveeness78

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa dharura

    Salaam kwenu wana JF, hususani jukwaa la biashara, chumi na ujasiriamali. Mwenzenu nimetingwa na nimekwama kidogo kwenye biashara yangu. Naombeni kujua ni sehemu gani nawezakupata mkopo wa dharura (ndani ya masaa 24 au 48) kwa riba nafuu. Mkopo ninaohitaji ni laki7 na nitarejesha ndani ya...
  7. MaxShimba

    JamiiForums Tanzania Weka In Case Of Emergency (ICE) kwenye simu yako ya mkononi endapo utapata tatizo wasamaria wema waweze kuwasiliana na watu wako wa karibu

    Katika maisha ya sasa hivi ni kawaida mtu kuweka PASSWORD kwenye simu yake ili kulinda na kudhibiti matumizi asiyopenda watu wafanye bila idhini yake. Hivyo basi ni vema kuweka taarifa za muhimu sana kama namba za simu za kuwasiliana nazo hata kama simu iko LOCKED. Unaweza kuhifadhi namba za...
Back
Top Bottom