dharura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania WHO wajadiliana kuhusu kutangaza Monkeypox hali ya dharura Kiafya

    Wataalamu wa Afya wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wamekutana kujadiliana kuona kama kuna ulazima wa kutangaza Monkeypox kuwa hali ya dharura kiafya. Hicho ni kikao cha pili ambapo inaelezwa kuwa kuna watu zaidi ya 15,400 walioripotiwa kupata maambukizi ya Virusi hivyo katika Nchi 71 tangu...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Ecuador yatangaza hali ya dharura kutokana na uhalifu wa magenge

    Rais Guillermo Lasso ametangaza Hali ya Dharura ya siku 60 katika Majimbo matatu kutokana na ongezeko la matukio ya uhalifu. Ecuador imeshuhudia ongezeko kubwa la mauaji na uhalifu unaohusiana na magenge Rais Lasso amesema amri ya kutotoka nje itawekwa na maelfu ya Wanajeshi na Maafisa wa...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mbunge ataka taarifa za zuio la bodaboda lijadiliwe kwa dharura Bungeni, Spika aikataa hoja

    Mbunge wa Ukonga, Jerry Slaa ametoa hoja ya kusimamisha ratiba ya Bunge ili kujadili hoja ya vijana waliojiajiri katika usafiri wa bodaboda na Bajaj ambao kulikuwa na taarifa wamezuiwa kuinjia maeneo ya Mjini Mkoani Dar es Salaam. Slaa alitoa hoja hiyo Bungeni leo Alhamisi Aprili 21, 2022...
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Sri Lanka imeomba Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) usaidizi wa dharura wa kifedha

    Sri Lanka imeomba Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa usaidizi wa haraka wa kifedha na mkopeshaji wa kimataifa anaweza kuzingatia hilo baada ya kusita kwa awali, msaidizi wa waziri wa fedha wa nchi hiyo alisema. Maandamano yamezuka katika taifa hilo huku likipambana na mzozo mbaya wa...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania #Mwaka mmoja# wa Rais Samia tunatarajia vitengo vya huduma za dharura zaidi ya 150

    Moja ya maamuzi makubwa yaliyifanywa na Mhe. Rais wa JMT Samia Suluhu Hasan ni kutumia fedha za mkopo wa uviko 19 kujenga madarasa na majengo maalumu ya huduma za dharura nchini. Hii ni kutoka sufuri hadi 150 . Best achievment in one year! CCM HOYEE!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka na Dharura wadau

    Mimi ni kijana na hadi leo nimetazama nakala ya Cheti changu cha kuzaliwa nitatimiza miaka 31 mapema mwezi March lakini jambo la kushangaza mipango yangu inazunguka nainuka kwa muda kisha narudi tena kuanza moja maisha yangu hayaendi mbele. Ipo hivi. Nilihitimu Chuo cha Mafunzo ya ualimu kwa...
  7. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro hali mbaya: Maulid Kitenge ataka hatua za dharura zichukuliwe kuwanusuru Wamasai

    Kituo cha Wanahabari watetezi wa Rasilimali na taarifa (MECIRA) kimeitaka serikali kuchukua hatua madhubuti za haraka na dharura ili kunusuru maisha ya wananchi jamii ya kimasai wanaoishi katika tarafa ya Ngorongoro iliyopo ndani ya hifadhi ya Ngorongoro sambamba na kunusuru mazingira na...
  8. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Nchi inakumbwa na hofu kubwa ya njaa na kupanda sana kwa bei za vyakula. Rais aandae wananchi kukabiliana na hali hii na ashugulikie kwa udharura

    Hali ni mbaya. Kuna maeneo watu wamechanganyikiwa hawajui walime nini. Naona Serikali na viongozi wako bize na uchaguzi 2025. Natamani Serikali itoke adharani kufanya Mambo yafuatayo: 1. Kuhamasisha ulimaji wa mazao ya muda mfupi na yanayostaimili ukame kama mtama, mahindi na maharage. 2...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa dharura unahitajika. Dhamana ni nyumba iliyopo Dar es Salaam

    Ndugu zangu, nimefikiwa na watu wanahitaji shilingi milioni tano (5,000,000) kwa shughuli za kibiashara. Wanasema wako tayari kulilpa mkopo huo kwa riba ya miezi miwili. Nilipowahoji, ili kuwasaidia, wakasema 1) Wanamazao yao ya biashara wanatakiwa kuyaweka sawa na kuyafikisha sokoni kabla...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kujenga chumba na sebule ya dharura

    Wakuu habari za hapa jamvini? Nitumbukie kwenye mada yenyewe. Ni hivi nilijenga msingi wa nyumba ya vyumba vitatu moja master, sebule, dining, stoo na public toilet katika plot mbili tofauti na sehemu tofauti pia moja wilayani kwetu na nyingine katika kata yangu. Sasa kote nimeshindwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Kesi ya Mbowe na Kauli tata za Serikali - Katiba Mpya ni Hitaji la Dharura sana

    Kauli hii ni rasmi ya serikali: Ukichanganya na mfano wa kauli kama hizi (kwenye kesi ya Mbowe) zenye kutokea upande wa serikali: 1. Mahakama si mama yako, 2. Waraka wa mshitakiwa kama nyenzo yake kujitetea ni "takataka," 3. Mtake msitake mawakili wa serikali ni mawakili wa mahakama, 4...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Somalia yatangaza hali ya dharura kutokana na ukame

    Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Mohamed Hussein Roble ametangaza Hali ya Dharura kutokana na Ukame mbaya, akiwataka Wananchi na Jumuiya ya Kimataifa kusaidia wahanga. Ukame mbaya umeripotiwa sehemu kadhaa Nchini Somalia, na vifo vya watu panoja na mifugo vimeripotiwa. Takriban Raia Milioni 3.5 tayari...
  13. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania Unahitajika ukaguzi wa dharura bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    Waziri anayehusika atoe amri ya ukaguzi wa dharura na kutumia vyombo vya usalama na TAKUKURU kwa kuwa kuna viashiria vikubwa ya matumizi mabaya ya fedha na utoaji mikopo mwaka huu licha ya serikali kusema kuwa imetenga bajeti kubwa zaidi kuliko miaka mingine. 1. Idadi ya wanafunzi walioomba...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasilisha Hati ya dharura Bungeni

    Spika Ndugai ametangaza mabadiliko madogo ya ratiba ya vikao vya Bunge ambayo yametokana na Muswada wa Hati ya dharura kutoka kwa Rais Samia ambapo amepeleka mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ambayo mojawapo wataangalia sheria ya tozo ya kodi ya mazao ambayo anataka iondolewe. Kamati ya Bunge...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Waziri Mkuu Abiy Ahmed atangaza hali ya dharura nchini kote

    Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ametangaza Hali ya hatari nchini kote Ethiopia, hii ni baada ya wapiganaji wa Jimbo la Tigray wa TPLF kuteka miji miwili ya Dessie na Kombolcha iliyoko Katika Jimbo jirani la Ahmara. Waasi hao wa Kaskazini mwa Ethiopia ambao wamekuwa wakipigana na vikosi vya...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Kikao kizito cha dharura cha bodi ya simba kinaendelea muda huu

    Maduka yanayotembea yenye miguu miwili yajiandae, story zenu za mpira una matokeo matatu kasimulieni wake zenu na marehemu bibi zenu, nyambafu
  17. Superbug

    JamiiForums Tanzania Dharura Makunganya Morogoro; Kuna roli la mafuta limeharibika na kuziba njia. Polisi wahini

    Polisi Morogoro wahini pale wanapokaa trafiki Kuna lori limeziba njia na pana kona kali na mteremko. Ni hatari Sana RTO Morogoro fuatilia.
  18. H

    JamiiForums Tanzania Dereva wa treni ya abiria hupataje taarifa kama kuna dharura au hatari ili aweze kusimama

    Kwenye usafiri wowote kunaweza kutokea hatari au dharura yeyote..Nakumbuka nikiwa Kwenye safari fulani ya gari moshi ilitokea sintofahamu ndani ya mabehewa abiria wakawa wanataka kwenda kutoka nje huku treni iko kwenye mwendokasi lakini bahati nzuri treni ikasimama katikati ya pori na hiyo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tukio lililonifumbua macho kuhusu changamoto huduma ya dharura katika hospitali zetu

    Huduma ya dharura katika hospitali zetu imekuwa sio dharura tena badala yake kumfanya mgonjwa asubiri hali ambayo ni hatari kwa afya na usalama wa mgonjwa anayehitaji huduma hiyo Binafsi mara nyingi nimekuwa nikisikia malalamiko juu ya ya uzorotaji wa huduma ya dharura katika hospitali nyingi...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Ufilipino: Matumizi ya dharura ya Moderna yaidhinishwa kwa wenye miaka 12 hadi 17

    Taifa hilo limeidhinisha matumizi ya dharura ya Chanjo dhidi ya COVID-19 ya Moderna kwa Watoto wa kuanzia umri wa miaka 12 hadi 17. Kwa mujibu wa takwimu za WHO, Ufilipino imerekodi maambukizi 2,020,484 Mamlaka ya Chakula ya Dawa Nchini humo imesema kutokana na Kirusi cha Corona aina ya Delta...
Back
Top Bottom